Lipumba achochea tena udini: Waumini walishwa kiapo!

Lipumba achochea tena udini: Waumini walishwa kiapo!

Status
Not open for further replies.
Mkuu mkumba umeeleza vizuri ila ujue tu kuwja hata kuandika mabandiko ya aina hii ni njia hiyohiyo ya kuendekeza udini. Hili ni la hatari mno na hata gazeti kama TanzaniaDaima ni moja kati ya magazeti yanayoendekeza hayo.
 
Tuwekeeni na video yake ili tuisuse kabisa CUF,maana wao wanayoyajua ni hayo tu,jamani tuuche udini hautusaidii,tanzania hii hakuna mtu amabye hana ndugu muislamu au mkristo,sasa utajisikia vipi ukiona ndugu yako huyo anapigwa au kuumizwa?
 
Ndugu zangu

Tunavutana weee, tunatupiana maneno weee nk nk
Ila bila kuona hiyo video mimi nadhani hii habari bado ni "tetesi"
Sii mnajua ukanjanja na bei poa ya baadhi ya wanahabari ?

Tuwe makini na haya mambo, tatizo neno likishatoka halirudi

Respect !!!
 
Nahamia TLP kutoka CUF maana mimi ni mkristo na chama changu kimeanza kuonyesha ubaguzi mapema badala ya kuleta umoja wa kitaifa
 
Mkuu mkumba umeeleza vizuri ila ujue tu kuwja hata kuandika mabandiko ya aina hii ni njia hiyohiyo ya kuendekeza udini. Hili ni la hatari mno na hata gazeti kama TanzaniaDaima ni moja kati ya magazeti yanayoendekeza hayo.
CHAMVIGA kuandika si jambo baya,maana akiachwa ataendelea kufanya haya mambo,cha umuhimu ni kuwasema na kuwapuuza watu wanaondeleza mambo haya,mimi sioni sababu kwa mhalifu kufumbiwa macho,lazima watu wamjue ili wamuepuke,hili si jambo zuri kwa msomi na mwenyekiti wa chama kikubwa kama Prof Lipumba,ngoja tusubiri hiyo video clip tuone inasemaje?
Maoni yangu kwa CUF wamuangalie sana Lipumba,na ikiwezekana aondoke kabisa kwenye hiyo nafasi hakuna haja ya kuendelea kumng'ang'ania anaharibu chama.
 
simshang'ahi LIPUMBA kwa maana daima hayo ndiyo mawazo ya "Prof. UCHWARA" yeyote na popote duniani. :::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::: yaan jamaana udini uwa uko kwenye damu yake na aikili zake so hata iwe je hawezi kubadilishwa/kubadilika, na kwa ili jambo moja ni bora na muhimu sana yaana "kumpuuza tu" ::::::::::
 
kwaio wakristo tulio CUF hatutakiwi tena uku ? Mwenyekiti wetu kageuka mwanaharakati wa kiislamu..naona Cuf tunaondoka na CCM kuelekea kaburini sasa ..
 
Huyu Lipumba kuna mtu kamtia uchizi, vitu anavyozungumza utafikiri mtoto wa darasa la pili. Yawezekana Lipumba mwenyewe ni project ya CCM kwenye mambo ya udini amabayo CCM wanajua udini unaweza kuwatoa kwenye tundu la sindano 2015.

Hahahaha! Wewe kaka MBWA WA MANZESE, sio "kuwatoa kwenye tundu la sindano" ni "kuwapitisha kwenye tundu la sindano". Ni kweli, 2015 ni rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko hawa jamaa; ccm. Acha wafurukute kwa udini pengine utawasaidia kupita.
 
Huyu Lipumba kuna mtu kamtia uchizi, vitu anavyozungumza utafikiri mtoto wa darasa la pili. Yawezekana Lipumba mwenyewe ni project ya CCM kwenye mambo ya udini amabayo CCM wanajua udini unaweza kuwatoa kwenye tundu la sindano 2015.

Huyu nae ni profesa!!!
 
Huwezi tofautisha CHADEMA na maaskofu. CDM ni political wing ya KANISA. Nani asiyejua 99% mko CHADEMA kwa sababu Ukristo wake. You can fool nobody!

Bado hujaenda Misri? Au bado hujamaliza kazi uliyotumwa ya kuchafua mioyo ya wafuasi wa dini hiyo kwa roho chafu ya udini? Endelea tu kwani mwisho aw siku, kitaeleweka tu.
 
Waunge chama kimoja kabisa wasitujazie utitiri wa vyama ambavyo havina tija hapa? Nani asiye wajua kama wao wanahubiri siasa za dini toka miaka hiyo sasa cjui mwaka 2015 mgombea wa ccm akiwa mkiristu wataunga na nani? Na hicho chama chao tendwa anakiangalia tu.
 
Hakuna tatzo kwa aliyosema... kama amekosea tutasikia vyombo vya usalama vkifanya kazi yake.. na huyo Tendwa pia..:thumbup:
 
Sijaona kibaya alichonukuliwa akikisema Prof Ibrahim Lipumba.

Hahahahaaaa....nimefurahi kukuona ingawa sikupendi!!!LoL..Nilidhani umefungwa maisha kumbe ulifungwa miaka kadha? Umebadilika au unaendelea kizomba zomba?
 
Last edited by a moderator:
2 days back.

Niliona ulivyokuwa unamsahihisha mtu, kuwa wewe ni Sangarara na si Sangara. Lol.

Ramadhan Kareem

Inshaalah Kheri

Karibu sana, nadhani nilikuona maeneo hayo ila nilikuwa nakimbizana na mambo mengi mtaani huku, sikuweza hata kukusabahi.
 
Huyu Lipumba kuna mtu kamtia uchizi, vitu anavyozungumza utafikiri mtoto wa darasa la pili. Yawezekana Lipumba mwenyewe ni project ya CCM kwenye mambo ya udini amabayo CCM wanajua udini unaweza kuwatoa kwenye tundu la sindano 2015.
Safi sana kiongozi wangu lipumba nakuunga mkono 100% udini udini hao wanaoanza na mungu na kumaliza na mungu hawana udini chama kimejaa wachungaji hilo hamulioni kama mbaya wacha iwe mbaya!
 
Mijadala yenye mlengo wa kidini inachosha , mbona hizo CD zinauzwa hadharani ? Pia gazeti la Tanzania Daima ni vema lifanye kazi ya ku compromise CDM na Waislamu sio kuwafanya mahasimu kama kweli lina mlengo wa kimageuzi, Habari zake nyingi zinazohusu ndugu zetu waislamu zimekuwa ni hasi , hii haitasaidia ukombozi na itafanya ngumu kwa CDM kuendesha Nchi baada ya octoba 2015.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom