Lipumba achochea tena udini: Waumini walishwa kiapo!

Lipumba achochea tena udini: Waumini walishwa kiapo!

Status
Not open for further replies.
Tatizo akili yako iko kwenye makalio huwezi kuuona mpaka siku kiona watanzania wanakatana mapakanga ndiyo utaunda tume kuchuguza nini chanzo....kwasasa huwezi kuuona uchochezi unaofanywa na viongozi wako....

Nnachokiona watu kama wewe ndio mnaochochea kisichokuwepo. Hata lugha yako unayotumia ni uchochezi tu.

Kazi kuzuwa tu, mkiulizwa ushahidi uko wapi? hamna cha kujibu mnaanza kuhorojoka.

Mtakufa nacho...
 
mbuzi wa kafara?? hii dini hii baadhi ya waumini wake majanga!

Huko misri anayewatoa kafara nani? Libya na wale wanaochapana kila siku kati ya shia and sunni kule wapi sijui NANI anawatoa kafara! narudia tena...haya majanga! majanga haswa!!!!!!

mix with yours
sijui mnamaanisha mbuzi wa kafara kama huyu au .......................................

images
 
kaka THE BIG SHOW umeandka mengi na ya maana lkn naomba msimamo wako wa Alichosema prof lipumba na ustaaadhi ricco, je wanachotaka kufanya ni sahihi?


Thanks,hapa nazungumza mimi kama muislam,
Muslims,We are smarter than that,
In addition to that TANZANIA DAIMA MAGAZINE when it comes to such grounds of religious affairs it shows A SHOW MIA.jpg Of its goddamned Double standards to the best level...!!
 
mbuzi wa kafara?? Hii dini hii baadhi ya waumini wake majanga!
Huko misri anawatoa kafara nani? Libya na wale wanaochapana kila siku kati ya shia and sunni kule wapi sijui nani anawatoa kafara! Narudia tena...haya majanga! Majanga haswa!!!!!!
mix with yours
je hujui kua machafuko nchi zenye waisilam wengi nyuma yake kuna mataifa ya magharibi? Kuhusu waumini kua majanga sio dini hii tu na ndio maana kunaviongozi wa dini nyingine mashoga na wengine wanakesi za ubakaji, je hayo si majanga?
 
Sasa hapo kibaya kipo wapi?mbona Chadema mnajenga kitu kibaya na kuonekana Mnadhamira nyengine dhidi ya uislam
 
je hujui kua machafuko nchi zenye waisilam wengi nyuma yake kuna mataifa ya magharibi? Kuhusu waumini kua majanga sio dini hii tu na ndio maana kunaviongozi wa dini nyingine mashoga na wengine wanakesi za ubakaji, je hayo si majanga?

Hao magharibi wanawezaje kuweka mkono kama hakuna majanga kati waumini?

Hao viongozi wa dini mashoga.....wanayafanya haya ndani ya miili yao wenyewe.....ni janga lao wenyewe? na hata hao wabakaji ni silika tu mbovu ! lakini hawawezi kuomba umoja eti tumekuwa mbuzi wa kafara??? absolutely nonsense!


mix with yours
 
Nnachokiona watu kama wewe ndio mnaochochea kisichokuwepo. Hata lugha yako unayotumia ni uchochezi tu.

Kazi kuzuwa tu, mkiulizwa ushahidi uko wapi? hamna cha kujibu mnaanza kuhorojoka.

Mtakufa nacho...

Hawa tumeishawazoea na kauli zao.
 
Sasa hapo kibaya kipo wapi?mbona Chadema mnajenga kitu kibaya na kuonekana Mnadhamira nyengine dhidi ya uislam

Mkuu hapo aliposema kuwa,nchi inataka kuchukuliwa na wenye madisco(mbowe) alikuwa ana maana gani?
Mi angeongelea ufisadi ningemuunga mkono,ila kwa hili hapana,ameonyesha yupo ki-dini zaidi
 
CHADEMA wanafurahisha sana. Wao UDINI upo issue ikihusu waislamu tu. Wakati maaskofu wanawataka waumini wamchague mtu atakayelinda TUNU za kikristo walichekelea tu na kusifu kwa sababu wangepata kura za bure. Ni chizi gani asiyejua CHADEMA huwezi kuitenganisha na Ukristo. Msidhani watu ni wajinga!

Matukio kama haya,serikali inayoheshimu sheria inatakiwa kwa haraka kuyakomesha na yasirudiwe kwa wengine tena, nchi hii ni yawatanzania na similiki ya waisilamu,wakristo na hatawasiyokuwa na dini.mafunzo ya kiisilamu yamefundishwa na mtume(s.a.w) unaposikia jambo ambalo sijema katika jamii kuna njia tatu ya kulikemea.
1.Kukemea kwa kusema.
2.Kuliondoa kwa mkono
3.kuchukizwa nalo na kutoendelea nalo.
Pr.Lipumba kukaa kimya na kuendelea kwa kitendo cha kulishwa kiapo kwa waumini hao ni kuridhia hayo.Mtume wakati wa maisha yake alifanya mikataba mbalimbali na wakristo, kuonyesha wao wana dini yao na waisilamu wana dini yao.Ni nini mantiki ya mtume kuingia mikataba na wakristo hii nichangamoto kwako na wangine.tusijaribu kuitetea serikali ya CCM iliyofirisika kisiasa na kujipenyeza kwenye mwanya wa udini na vyama vingine kujitumbukiza bila kujuwa au kwa kutojuwa.Jamii inayotaka mabadiliko ya maendeleo haitakuelewa kama utakaa meza mmoja na wala rushwa na mafisadi(serikali ya CCM)
 
Sasa hapo kibaya kipo wapi?mbona Chadema mnajenga kitu kibaya na kuonekana Mnadhamira nyengine dhidi ya uislam
 
Movements 4 Chagas wasahau ikulu watabaki wanashangilia udiwani kama juzi arusha.kwa mbaaaaaali namwona tapeli MaxShimba anachungulia chungulia hii thread,vp mzima?
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuwa convinced kama Lipumba ni prof japo naona anaitwa hivyo.
 
Anajiita prof..kumbe hamna kitu..mi nilidhan atatumia usomi wake.,kumbe ndo kwanza anapeleka nguvu zake msikitin..tena mahal patakatifu..hii inaonesha waz kuwa lipumba ameishiwa sera..amesahau kuwa"politics has no remote.,get up and change it urself"na si kuwapotosha watu misikitin..

Haya sasa..sa hivi anadai kikwete amewasarit..la hasha!..hakuwasariti,bali the great curse is near..coz alitumia ulimi wake ndan ya nyumba ya MUNGU,na kupotosha waumin..totally insane.


Huyu Lipumba ndo ataleta mtafaruku kwa kuwa anawachochea Waislam kwa kuwaambia wao ni wa daraja la pili. Daraja la kwanza ni nani haswa? Mbona yule pader aliposema Kikwete ni chaguo la Mungu hakuna Mwislamu aliyepiga kelele na kusema ni udini? Angesema hivyo kwa Slaa ingekuwa issue kubwa.
 
CHADEMA wanafurahisha sana. Wao UDINI upo issue ikihusu waislamu tu. Wakati maaskofu wanawataka waumini wamchague mtu atakayelinda TUNU za kikristo walichekelea tu na kusifu kwa sababu wangepata kura za bure. Ni chizi gani asiyejua CHADEMA huwezi kuitenganisha na Ukristo. Msidhani watu ni wajinga!
Lete ushahidi kiongozi yeyote wa CDM akihamasisha wakristo kumchagua mkristo au kumchagua kiongozi wa CDM ili kulinda maslahi ya wakristo hao kama anavyofanya huyu Lipumba aliyefilisika kifikra.
Ukweli ni kuwa CDM hawahamasishi udini wala hawapendelei upande wowote, wala hawawapi wakristo upendeleo kwenye uongozi wao ila propaganda za uongo kuihusisha CDM na vitendo hivi kama vinavyofanywa na viongozi wa CUF na CCM ni vingi na havina backround yoyote zaidi tu ya maneno yanayotamkwa na viongozi wa kiasas na dini waliofilisika fikra dhidi ya CDM ili maslahi yao kisiasa yasitishiwe na CDM inayokua kwa kasi na kutishia siasa zao za uchwara. Juzi juzi kabla ya uchaguzi wa udiwani Arusha ccm kupitia kwa Ole Medeye na mkuu wa Mkoa Magesa Mulongo walikuwa wakihamasisha ukabila kwa kuwaambia wamasai wasichague wachaga. Yaani ni kama wamerukwa na akili wasijue hata Meya wa Kichina waliyenaye huko Arusha ni mchaga. Kwa hiyo Mchezo wa udini na ukabila ni tunu za CUF na ccm.
Tafadhali msiichafue CDM kwa vitendo vyenu mnavyofanya ili kujiepusha na moto wa CDM. CDM inawakilisha mabadiliko yanayotamaniwa na watanzania. Ni kama mkondo wa maji, ukubali mabadiliko tunayohitaji watanzania ujiunge na CDM au upitiwe na kurushwa baharini huku umezubaa na kelele zako za kuzuia mabadiliko kwa siasa za udini unazofikiri watu wanazitumia kama unavyozitumia.
 
Msimamo wa Tanzania Daima dhidi ya Waislam unajulikana sana hata kwa Muislam Muasi ndio maana haukuweka kambi pale Sumbawanga kanisa lilipotangaza kuwatenga Wakristo wote walompa Kura Mh.kessy, Rev Mtikila alipotengeneza na kusambaza Waraka wa kuwataka Wakristo wote wasimpe kura Jakaya 2010, halikupiga kambi kuripoti Mgombea aliekusanya Viongoz wa Dini Singida ili waingie kwenye Kampeni, siku nyingine likapige kambi makanisani lije litoe Habari kuwa wakristo kupitia Jukwaa lao walitangaza kuinyima Serikal ya Jakaya Ushirikiano na ifikapo tarehe 1july,2013 wakristo wote wawe wamejitoa CCM. Tangu mmeanza Vita zenu dhidi ya Uislam na Waislam kama kuna kitu kimepatikana basi ni kuwatia Ujasiri Waislam, Jifunzen kuendesha Siasa zenu bila ya kukabiliana na Uislam, maana hii dini mmeikuta na mtaiacha

this is too much, unachoongea ni sahihi. Jamii ya sasa inaangalia mambo ya msikitini pekee, Katika video ya lipumba ilionyesha yule shekhe alianza kwa kumnukuu kiongozi mmoja aliyeongelea siasa kanisani. na akasema kwa nini na sisi tusifanye hayo?. Watanzania tusipandikizwe mambo ya kimagharibi ya kuamini waislamu ndio tatizo, tatizo ni wizi unaofanywa na viongozi wetu wanaotuongoza. Uislamu na waislamu walikuwepo siku na siku lakini hatukuona hizo fujo na hisia ambazo kila siku zinaongelewa.
 
uzao wa binamu nyama ya hamu huo.Hata wanyama hawaruhusiwi kuzaa na wengine wenya ukaribu wa damu..Huyu uprofessor umemfuata kwa bahati mbaya.

Bado kufumaniwa ktk uliberali tuu ndio kumebaki kwa huyu gaidi.
 
Mkuu THE BIG SHOW umenifurahisha kwa ufafanuzi wako kwa kuwa muazi na usiejali kutengwa na makamanda wenzio juu ya misimamo yako. Tambua pia kuwa TanzaniaDaima ndio gazeti tegemewa na chadema kwa kuandika mambo ya kijinga au kidinh kama haya. Ukiwa msomaji wa magaze ti kama alhudaa au Annuur kila tolea karibu linahabahari ya kuonyesha kiongozi flani wa serikali ametoa kauli ya kiubaguzi wa iman. Kama ingekuwa twatoa nafasi kwa kuandika humu kila kinachoandikwa na Annur au alhudaa ingekuaje? Mimi nadhani TanzaniaDaima ingejiweka wazi kama ni gazeti la dini kuliko kuandika mambo ya kijinga kawa haya. chama Ritz

Mkuu CHAMVIGA
Tanzania Daima liwe gazeti la kidini la dini gani? wanayemshabikia na kumpamba usiku kucha ni mzinifu aliyekubuhu kwa mantiki halina hadhi hiyo; Waandishi wa Tanzania Daima ndio hao akina Mohamedi Mtoi watoaji habari za udaku akina Molemo hapo unategemea habari gani zaidi ya uzushi na uwongo hao waandishi waliopo ni waganga njaa tu; hili gazeti halina habari za maana zaidi ya udaku ni afadhali kusoma hekaya za Abunuasi utaambulia mambo ya hekima. Hili hata kuchambia halifai utajichafua tu!
 
Last edited by a moderator:
“... mosque was not merely a place of prayer. It was an impregnable fort of faith. Laws were made here. The Muslim army was given training. This was the camp from where armies were dispatched to war fronts. Delegations from foreign tribes and countries were received here. The first school or university of Islamic learning was located here. Thus it was the parliament house, the university, the army headquarters, all at the same time”

Pengine wewe hujajua kwamba kwa wenzetu wa imani ya kiislamu msikiti ni zaidi ya sehemu ya kuabudia. Fungua macho na masikio....soma sana na utajua ukweli. Hutakiwi kumshangaa profesa kuyasema hayo msikitini, hiyo ni jadi.

Ndugu yangu mimi mwenyewe ni muumini wa Kiislamu and I am proud of it, lakini ndugu yangu naona quote yako imejengwa kwa WAS,ukimaanisha zamani na pale panapo utawala wa Sheria.
Sasa tunazungumzia wakati wa sasa wenye mgawanyo wa institutions (hata huko Saudi Arabia, Pakistan, Indonesia,watawala wake sio mashekhe, bali ni serikali) sembuse Tanzania ambako lolote linalomuhusu Muislamu na imani yake basi ni udini.
Mbona Maaskofu wanazungumza zaidi ya Jesus kwenye makanisa na haiwi issue, mbona Maaskofu wanavaa uanasiasa na kuhubiri maangamizi ya taifa na haisemwi kitu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom