Lipumba achochea tena udini: Waumini walishwa kiapo!

Lipumba achochea tena udini: Waumini walishwa kiapo!

Status
Not open for further replies.
Kwa maono yangu huyu prof. ikitokea MIUJIZA akipata urais atataka kuwaua wakristo wote! Haiwezekani msomi aliyebobea kama yeye na anayetegemewa akemee udini awe wa kwanza kuhubiri udini kila apatapo nafasi. Mbaya zaidi wakati huu wa mfungo mtukufu.
 
Kanisa likipanga mipango wanokabidhiwa kuitekeleza ni CHADEMA mfano mzuri ni yale maazimio ya kurasini yaliyofanywa na viongozi 117.waliopewa wayapeleke Bungeni ni wabunge wachadema mfano baada ya kanisa kutoa tamko lenye maagizo lukuki kwa serkali wabunge waliopewa ni Joseph Selasini aelezee kwa nini VC wa udom nimwislaam,Lema aeleze udini wa kikwete ,Msigwa na Lissu
lkn mbele ya macho ya watu wa yessu hao si wadini bali ni mashujaa wa dini yao sasa mbona Tanzania daima washupalie Lipumba alieamua kusema kweli na kushindwa kuwasema wabunge wa chadema kupeleka usini bungeni?
Mkuu achana nao wapumbavu hao (sugu) wana mpango wa kumtoa mtu ndani ya funga
 
Mm nawaomba wana JF mnitajie Raia wa daraja la kwanza, la pili na la tatu! Wa la nne sito hitaji kumjua Prof dizaini Kama kisha wataja!
 
wakristo sio wadini wala waislam sio wadini... ndo maana wanasoma wote na wanatibiana na wanafanya biashara pamoja.... MIMI na WEWE ndo wadini... kila saa tunakaa kuchunguza viongozi wa dini flan wamefanya nini na wanamaanisha nini?
kwa hiyo basi kuanzia leo MIMI na WEWE tubadilike, tusije tukamkosoa Mungu aliyeamua kutuacha tuishi kwa pamoja kwani Yeye ni mweza wa Vyote anngetaka kututenganisha angetutenganisha ila ameacha tuishi pamoja ili Mapenzi yake yatimizwe.... Mimi nimelitambua hili na kuanzia leo naacha udini Je wewe Mwenzangu???

Lorah,

Awali ya yote kwanini unanituhumu mimi mdini? Mie sijioni kama mdini kwani sijambagua mtu kwasababu ya dini yake. Tunakula na kunywa na watu wa dini zote na hivyo basi sijaelewa why umeniweka katika kundi la wadini. Ila kama alivyosema Professa pale tusipoyasema haya Taifa litaangamia kwani anayekuzindua anakusaidia kujikosoa. Kama wewe ulikuwa unabagua watu nakuombea sana mmungu akuponye akuonyeshe njia. Ni vema tukaishi kwa amani kwani sote baba yetu mmoja ni adam na mama hawa. Ila ubinafsi wa watu fulani au viongozi fulani ndio unatuleta hapa. Ni vema ukaacha udini but ukiona udini unaendelea mahali ukemee usijali wewe ni mkristo au mwislamu ukemee kwa faida ya taifa letu la kesho.
 
Nimesoma bandiko lote lakini sijaona Lipumba alipochochea udini.
 
Kanisa likipanga mipango wanokabidhiwa kuitekeleza ni CHADEMA mfano mzuri ni yale maazimio ya kurasini yaliyofanywa na viongozi 117.waliopewa wayapeleke Bungeni ni wabunge wachadema mfano baada ya kanisa kutoa tamko lenye maagizo lukuki kwa serkali wabunge waliopewa ni Joseph Selasini aelezee kwa nini VC wa udom nimwislaam,Lema aeleze udini wa kikwete ,Msigwa na Lissu
lkn mbele ya macho ya watu wa yessu hao si wadini bali ni mashujaa wa dini yao sasa mbona Tanzania daima washupalie Lipumba alieamua kusema kweli na kushindwa kuwasema wabunge wa chadema kupeleka usini bungeni?
Tatizo kubwa la Tanzania, na pengine linalopelekea nchi kuendelea kuwa maskini ni kitendo cha watu wake wengi kusomea PhD za uongo na propaganda? CCM imewaharibu watanzania kwa kuanzisha chuo kabisa kule kigamboni kwa ajili ya kusomea propaganda. Yaani mtu anakaa chini tu anafikiria mwenyewe halafu anaandika story na anatoka nayo kwenda kuwaaminisha watu. Ndiyo kama ambavyo mwobho anajaribu kufanya hapa. Uongo mkubwa huu, tena uliopindukia. Una laana wewe!
 
Last edited by a moderator:
hivi kuhimiza haya nayo ni udini

"Kwahiyo, huu ni wakati wa kuwa macho kwamba tupo njiapanda. Hii neema, utajiri unaogunduliwa ikiwa hatutajipanga vizuri, neema hii itabadilika kuwa balaa, neema hii badala ya kumsaidia kila Mtanzania aweze kuneemeka na neema hii, itageuka kuwa balaa dhidi yetu," alibainisha Profesa Lipumba.

Aliwaeleza waumini hao kuwa kwa sasa Waislamu wanapaswa kushiriki kikamilifu katika harakati za siasa za nchi kama walivyoshiriki wazee wao wakati wa kudai uhuru.

"Kwamba kila mwananchi, kila Mtanzania awe raia wa daraja la kwanza. Apate fursa ya uhuru wa dini yake, apate fursa ya kuelimishwa kwa kadiri ya uwezo ambao Mwenyezi Mungu amempa bila kubaguliwa, apate fursa ya kupata huduma bora za afya, apate fursa ya kushiriki kikamilifu katika uendeshaji wa serikali, apate fursa ya uendeshaji wa uchumi wa nchi yetu.

"Kazi ipo kwetu, na ndugu zangu sisi tunapozungumza hapa tumejitoa mhanga. Kwamba hii ni nchi yetu sote, tunamuogopa Mwenyezi Mungu Tunamuogopa Mwenyezi Mungu na huu mwezi wa Ramadhan," aliweka mkazo Profesa Lipumba

Sasa hapo uchochezi ni upi? unanchekesha!
 
Kanisa likipanga mipango wanokabidhiwa kuitekeleza ni CHADEMA mfano mzuri ni yale maazimio ya kurasini yaliyofanywa na viongozi 117.waliopewa wayapeleke Bungeni ni wabunge wachadema mfano baada ya kanisa kutoa tamko lenye maagizo lukuki kwa serkali wabunge waliopewa ni Joseph Selasini aelezee kwa nini VC wa udom nimwislaam,Lema aeleze udini wa kikwete ,Msigwa na Lissu
lkn mbele ya macho ya watu wa yessu hao si wadini bali ni mashujaa wa dini yao sasa mbona Tanzania daima washupalie Lipumba alieamua kusema kweli na kushindwa kuwasema wabunge wa chadema kupeleka usini bungeni?

Wanawalalamikia ati UDOM kuna udini wakati ukienda IFM habari ni hiyo ila iko upande wa wakristo. Kama sio unafiki ni nini?
 
Kwa maono yangu huyu prof. ikitokea MIUJIZA akipata urais atataka kuwaua wakristo wote! Haiwezekani msomi aliyebobea kama yeye na anayetegemewa akemee udini awe wa kwanza kuhubiri udini kila apatapo nafasi. Mbaya zaidi wakati huu wa mfungo mtukufu.
kwani kuhuburi udini ni kosa? kosa ni kuchochea udini, yani kuhamasisha maasi baina ya dini na dini. Unataka uniambie Msigwa hua anahubiri nini kanisani? au kwakua yeye ni kilaza sio msomi kama Lipumba? au kwakua ni mgalatia mwenzio? Mwacheni Professor atumie elimu yake kwa manufaa ya waislam wenzie. Hao waislam wenye elim na wanashindwa kuingia misikitini hakika hao wametekwa na Dunia tu.
 
Hakuna kibaya alichokisema, ila kitendo cha kuwaabisha waumini msikitini ili wamchague 2015 , ndio kibaya zaidi.
why Lipumba?

Hilo la kuwaapisha ni maneno ya mwandishi, mchonganishi tu, Lipumba hawezi kufanya hivyo hata kidogo. Muislaam yule na anaelewa maana ya kiapo na maana ya 2015 na maana ya uhai na kifo. Hutoweza kuweka nukuu ya Lipumba kwa hilo.
 
lipumba amealikwa na waislamu kuswali nao ijumaa. amewahutubia akiwataja waislamu. mtu huhutubia kutokana na hadhira iliopo. mlitaka awataje wakristo au mabaniyani au mayahudi. kwa mfano "ndugu zanguni wakristo mliopo ktk msikiti wa mtambani......". kuna ubaya gani kuwahamasisha waumini kuwa makini 2015 kuchagua kwa usahihi!? kuna ubaya gani ricco kuwaomba waliomualika kumchagua lipumba 2015!? Tanzania daima lisitoke kwenye msitari. hata kama ni gazeti la chdm lkn ueledi uzingatiwe
 
Huwezi kuona kibaya wewe . Ni Great Thinkers tu ndo wanaona 50yrs ahead. Wewe unaona just 1 day ahead.Pole sana.

Dah, nakutakia muono mwema, kwa hiyo mnachokisema ni hisia na si ukweli, au sio? Dah na ndio ma "Great Thinkers".

Ramadhan Kareem.
 
Waj.inga ndio WALIWAO. Na Prof. wa UKWELI Lipumba anawajua Waj.inga ni wapi.

Mtaendelea kuwa ngazi ya kisiasa hadi kiama Mark my words
 
Udini wafanye chadema halafu lawama watupiwe CUF?Msitufanye mandondocha hakuna wadini wanaotumikia dini yao ktk siasa kama CHADEMA.ndio maana hata aki Zitto na Arfi wanabaguliwa. nimewahi kuhudhuria mkutano wa ndani wa CHADEMA hapa mwanza nikasikia kauli ambayo sikutarajia kuisikia,nanukuu
"chama chetu kina malengo yake nayo ni kuhakikisha kinazilinda tunu za kanisa ambazo kwa kiasi kikubwa zimedhoofishwa na Kikwete,mwanzo tulimuamini tukijua kuwa atafanya kama alivyoelekezwa na kanisa ljn kaliumiza sana kanisa hatupaswi kurudia makosa,tuendelee kutunza siri hii tusiropoke tunapokuwa na waswahili"sikuamini nilichokisikia na ndipo nulipo amini kuwa chadema wapo kwa maslahi ya kanisa na si maslahi ya watanzania wote ila ujanja wabaotumia ni kujifanya wapo kwa maslahi ya wote ili wafanikishe makengo yao kisha waislaam wakione cha mtema kuni baada ya serikali yao kujaa mapadri ba maaskofu pamoja na wachungaji pekeee.hata hao waki na Zitto naamini wataenguliwa kama wakivyoenguliwa aki mshume kiate,Dossa Azizi,sykes,Tambaza,Idd Faidhi mafongo,n.k hapo waislaam tutaishi kama wahutu ndani rwanda.maana hawana thamani kabisa
CHADEMAa walipoandamana na kudhibitiwa na pilisi kanisa lilitoa matamko kuitetea CHADEMA
Walipo kufa wafuasi wa CHADEMA Arusha Moro na Iringa kanisa lililaani na kulishutumu jeshi la polisi kuwa lilirumia nguvu nyingi lkn hawahawa maaskofu ndio waliolipongeza jeshi hilo mwaka 1998 kwa kuwaua waislaam,pia kanisa liliipongeza polisi na serikali kwa kuwaua wafuasi wa CUF mwaka 2001 lakini kanisa limenichosha juzi wakati wa maandanano ya waislam jijini dar kwa kutoa tamko linalopingana na lile la awali kwa kulikejeli jeshi la polisu kuwa ni legelege.maana yake jeshi lilipaswa kuwaua waislaam na walalisingekuwa limetumia nguvu nyingi kupita kiasi ila kwa chadema haliruhusiwi kupiga.halafu tuwape nchi waislaam hawatabaki salama.
 
Sasa hapo kibaya kipo wapi?mbona CHADEMA mnajenga kitu kibaya na kuonekana Mnadhamira nyengine dhidi ya uislam
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom