Lips zake zimenichanganya

Lips zake zimenichanganya

pole sana, sasa jipange next time utapata ambae mnaendana umri na mwenye lips kama hizo


This thing doesnt happen by planning, it happens in coincidence na inanoga when coincidence happens sio nipange kukutana na mtu mwenye lips naah it will be so official, I like social...............
 
money aint enough ofcourse its a matter of saying am satisfied, if you wont say that to money you will keep on hunting them to death. Mie nazisaka za kunifanya niishi kwa raha nitakavo mimi sio watakavyo jamii.

nimekupenda bure!
 
weeee, thubutuu...unafkiri pochi inasaidia kitu? hayo maeneo yana wireless communication, utashangaa tu hali inabadlika huko chini bibi anaanza kutoa jasho! lol

hahahaahahahhaaaaaa usiniombee hayo bana, daaah Kasie want kissing only looh, sipati picha mnaangukia kwenye kochi after long kiss halafu mnamalizia mambo hapo, mkishamaliza sasa sjui mnatizamanaje..............., I hate that situation ndo maana nataka iishie hapo hahahahaaaa
Ntajitahidi pochi isaidie kuzuia hiyo wireless connection looh!!! hahahahaaaaaa
 
money aint enough ofcourse its a matter of saying am satisfied, if you wont say that to money you will keep on hunting them to death. Mie nazisaka za kunifanya niishi kwa raha nitakavo mimi sio watakavyo jamii.

That good rafiki maisha yanasonga
 
hahahahaahhaa kwani weye ni wa pwani atii..............., aaah mie nikishatosheka na kiss yangu nachoropoka mwenzangu akaaa, utasikia mkojo umenibana naenda kukojoa nakuja sasa hv, ndukiiiii, sometimes nakuwa mtundu bin mkorofi bin shiiiidaaaarrrr

Safari moja huanzsha nyengne.... na raha ya safar ufke... hatuwez ishia njian... lazima utataman jua zaid ya kissing... ninawe thn chakula usinipe patachimbika mbona
 
kila mtu akaendelea na safari zake baada ya kupata huduma, walau nili enjoy wakati niko kwenye foleni kwa kuziangalia tuu

kwa sisi wataalam wa storyboard huwa hatukosi la kusema. Ina maana kijana alikuwa akienda kinyumenyume, au midomo yake ilikua kisogoni?
 
20dce0d3b8b29869a4adc8b28d3b0714.jpg


Kama za huyu hapa....

Nyuma ya hilo bango wanaonesha BET, huyo ni mbongo?
 
lips for kissing bana yaani I can last for one hour........... full pumzi halafu hamna kupakana mate..... aaaahhhhhh!!

hasa umkute Kaka ana poz zakuongea aaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhh.....ni shiiiiiiiiidaaaaaa..
 
hapana, hujanielewa, sina issue na serengeti boys wala sija fall kwa huyo kijana, yaani ukimuweka mbele yangu mie ntachukua midomo yake tuu kisha yeye aondoke simhitaji, yaani kiss la hiyo midomo nikiliwaza nahisi nikianza simalizi
dia ni ukweli kuna mtu unamuona dah kwa sie wapenda kiss ni sheeeda
 
Dont judge all women for my view, a lot of women out there wako against my view, this is me, Kasie na sina tatizo lolote na mwanaume wala mwanamke. I live the way I want only that without breaking the law

kwanini una watofautisha wenzio na wewe ina maana wewe upo hivyo au!!!
 
Na watu wenye kuchonga chonga midomo juu ya watu na kujiona kuwa hawawezi kuwa na kitu kisichofaa kwenye jamii ndo huishia kuoa changudoa, yaani mkewe usiku anamuaga, mume wangu naenda kazini na unakuta Junior. Cux anamsindikiza hadi anapoenda kujiuza na kurudi nyumbani akisubiri asubuhi mkewe arudi.

Bora mtu akaoa mke kama mie maana tabia zangu sijifichi ili huyo mume akajua namna ya kukabiliana na hizo tabia, kuliko ukaoa mke anaejionesha mtakatifu aliyeficha makucha kisha ukimujweka ndani ndo unakoma na roho yako, endelea kuchagua hivohivo utakuja jikuta unaoa hilohilo beberu.

FYI am not a wife material, marriage is not in my vocabulary.

duh... Hapo kwenye FYI ni...Speaking from your heart or emotions?
 
Last edited by a moderator:
yaaani lips zile acha kabisa, halafu anavoongea kwa upole sasa na anacheka kwa kujivuta ......... sijui anajua kuwa midomo yake mizuri na alijua kuwa namtazama, kwa kumuangalia alikuwa cool sijui hata ................
haha alijua tayari ushaona ..
 
Back
Top Bottom