Lips zake zimenichanganya

Lips zake zimenichanganya

Hapana Kasinde hata siku moja siwezi kufanya huo upumbavu/ujuha. Salaam kwa MSULI nitazifikisha.

BAK na wewe uko kwenye huo mtandao wa kuhabarishana issue za watu under cover? Mmmhhh, salam kwa msuli. Tized umenikatia tamaa mara hii? Na wewe unaungana na yule anayesema bora kuwa na nguruwe umnywe supu kuliko mke kama Kasie??!! Kwelii... mie nilijua tutaendelea kuwa wote kwa shida na raha kumbe kwenye shida zangu unantosa, poa yote maisha.
 
zipo hapa au hamna kasinde?
 
Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    6 KB · Views: 157
  • 2.jpg
    2.jpg
    10.7 KB · Views: 148
  • 3.jpg
    3.jpg
    12.7 KB · Views: 145
OK kama usemacho ni kweli, poa jioni njema. Wacha nile maisha hapa Las Vegas.

Hapana Kasinde hata siku moja siwezi kufanya huo upumbavu/ujuha. Salaam kwa MSULI nitazifikisha.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huo upumbavu hata siku moja siwezi kuufagilia. Sielewi kabisa kwanini watu wafanye hivyo. Kula maisha Vegas, but please remember what happens in Vegas always stays in Vegas.

OK kama usemacho ni kweli, poa jioni njema. Wacha nile maisha hapa Las Vegas.
 
Habari zenu wapendwa,

Kama kawa kama dawa Kasie is on board, yaani acha tuu niwasimulie na mnisikilize.

Haina mashiko saana ila ndo beats za Kasinde.

Leo bana mida ya lunch nilienda ofisi fulani hivi kupata huduma sasa tukiwa kwenye foleni mtu wa mbele yangu alikuwa kijana mdogo tuu, mdogo kwangu kwa makadirio ya haraka nimemzidi kama 10 to 15 yrs.

Huyu kijana alinifanya nizubae na sikutaka foleni iende, midomo yake uwiiii mizurii yaani nilikuwa naiwaza tu.

Mbaya zaidi akawa anaongea na simu akicheka sasa midomo inanihorojesha, sikuwahi kuwaza kama naweza izimikia midomo ya mtu ila leo nime proof.

Yeye kama yeye simpendi ila midomo.

I love kissing Kasinde mie

U planned this..
Hii kitu uliipangs wewe
 
Yeah ukinikuta vegas niko juu ya meza let the things remains in vegas na si kuzileta jf, let me bring them myself. After all hakuna jipya duniani we r all adults, no need kuanza kutangazana kama ebola. Karibu dinner...

Huo upumbavu hata siku moja siwezi kuufagilia. Sielewi kabisa kwanini watu wafanye hivyo. Kula maisha Vegas, but please remember what happens in Vegas always stays in Vegas.
 
habari zenu wapendwa,

kama kawa kama dawa kasie is on board, yaani acha tuu niwasimulie na mnisikilize.

Haina mashiko saana ila ndo beats za kasinde.

Leo bana mida ya lunch nilienda ofisi fulani hivi kupata huduma sasa tukiwa kwenye foleni mtu wa mbele yangu alikuwa kijana mdogo tuu, mdogo kwangu kwa makadirio ya haraka nimemzidi kama 10 to 15 yrs.

Huyu kijana alinifanya nizubae na sikutaka foleni iende, midomo yake uwiiii mizurii yaani nilikuwa naiwaza tu.

Mbaya zaidi akawa anaongea na simu akicheka sasa midomo inanihorojesha, sikuwahi kuwaza kama naweza izimikia midomo ya mtu ila leo nime proof.

Yeye kama yeye simpendi ila midomo.

I love kissing kasinde mie

yaaa moooto! Yaa motoeee _aaa mkubwaa na wanaee....
 
Khe Khe kheeeeeeeeee Kasinde yuko juu ya meza anakula ujana! Kwa raha zako mie huku mfaranyaki na Las Vegas wapi na wapi!!! Huwa nasoma tu kwenye magazeti kuhusu Vegas hivyo uwezekano wa kukutana na BAK kipande hiyo ya dunia ni SIFURI.

Yeah ukinikuta vegas niko juu ya meza let the things remains in vegas na si kuzileta jf, let me bring them myself. After all hakuna jipya duniani we r all adults, no need kuanza kutangazana kama ebola. Karibu dinner...
 
Last edited by a moderator:
foleni ilikuwa ya kusogea kwa kiti, it was side by side yaani like tunagusana mabega so harufu ya mdomo unaipata vilivyo, halafu mtu hakai kama jiwe, anageuka huku na huku hivo nilikuwa na nafasi ya kuona vyote hivo lips na kujua kuwa hazina harufu.
aiseee, kweli ulitekwa
sku nyingine vamia ufanye mambo, usiidhulumu nafsi tena
 
I know you dont mean it anyway Kasinde!!! You always understand I am available when you needs me.. Dont worry my dear!! Your dokta is here

Heshima kwako Mkuu BAK.. Kasinde laiti ungalifahamu, unamuonea huyu ndugu kwa kumsaspect na mambo ya chini ya kapet... hizo ni ishu za wanawake mpendwa wangu, we are grown enough for that (only simple minds discuss people)..... This man BAK is highly regarded and respected in an outside JF (sorry mkuu kwa kufunua haya machache)... so please uwe na amani... utani wetu huwezi kujua tunachomaanisha maana ni lugha tunayoielewa sisi kwa sisi but its okay.

Relax my dear.... Old man Tized is here, My shoulder is always available for you to lean on.

Huyo aliyesema hio kauli ya nguruwe... bila shaka ametoroka mirembe... how possible hata kama huonekani uweze kumwambia mtu hivyo? I feel very bad to have heard that, Pole sana my dear... i know how subconsciously it might have pained you.

BAK na wewe uko kwenye huo mtandao wa kuhabarishana issue za watu under cover? Mmmhhh, salam kwa msuli. Tized umenikatia tamaa mara hii? Na wewe unaungana na yule anayesema bora kuwa na nguruwe umnywe supu kuliko mke kama Kasie??!! Kwelii... mie nilijua tutaendelea kuwa wote kwa shida na raha kumbe kwenye shida zangu unantosa, poa yote maisha.
 
:yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo:
Huo upumbavu hata siku moja siwezi kuufagilia. Sielewi kabisa kwanini watu wafanye hivyo. Kula maisha Vegas, but please remember what happens in Vegas always stays in Vegas.
 
hahahaaaa hapo mwishoni mimi hoi humpendi ila lips ndio zimekuchanganya haya mama wew
 
Ungemwambia tu hisia zako kwani umri kitu gani bana dogo akale mzigo
 
Shukrani kwa kunielewesha kuhusu avatar yako mpya. I am safe and sound enjoying this thing called LIFE.

Hii ni ya my dad my mentor in Jesus name best!

Wasap?
 
Last edited by a moderator:
Reputation, reputation, reputation. It takes many good deeds to build a good reputation, and only one bad to lose it. Thank you Sir for a very strong defence.

Hapo kwenye rangi Mkuu Tized nimepapenda he he he he he lean on me....Sometimes in our lives we all have pain, we all have sorrow But if we are wise We know that there's always tomorrow Lean on me when you're not strong and I'll be your friend, I'll help you carry on for it won't be long 'Til I'm gonna need somebody to lean on :yo: 😛oa:yo: 😛oa :yo: 😛oa

I know you dont mean it anyway Kasinde!!! You always understand I am available when you needs me.. Dont worry my dear!! Your dokta is here

Heshima kwako Mkuu BAK.. Kasinde laiti ungalifahamu, unamuonea huyu ndugu kwa kumsaspect na mambo ya chini ya kapet... hizo ni ishu za wanawake mpendwa wangu, we are grown enough for that (only simple minds discuss people)..... This man BAK is highly regarded and respected in an outside JF (sorry mkuu kwa kufunua haya machache)... so please uwe na amani... utani wetu huwezi kujua tunachomaanisha maana ni lugha tunayoielewa sisi kwa sisi but its okay.

Relax my dear.... Old man Tized is here, My shoulder is always available for you to lean on.

Huyo aliyesema hio kauli ya nguruwe... bila shaka ametoroka mirembe... how possible hata kama huonekani uweze kumwambia mtu hivyo? I feel very bad to have heard that, Pole sana my dear... i know how subconsciously it might have pained you.
 
Last edited by a moderator:
Thank you BAK for the dedication on behalf of my beloved Tized we all appreciate that, I feel much protected for leaning my Doctor's shoulder.

Reputation, reputation, reputation. It takes many good deeds to build a good reputation, and only one bad to lose it. Thank you Sir for a very strong defence.

Hapo kwenye rangi Mkuu Tized nimepapenda he he he he he lean on me....Sometimes in our lives we all have pain, we all have sorrow But if we are wise We know that there's always tomorrow Lean on me when you're not strong and I'll be your friend, I'll help you carry on for it won't be long 'Til I'm gonna need somebody to lean on :yo: 😛oa:yo: 😛oa :yo: 😛oa

Last edited by a moderator:
I love you more and more and more Doctor, u mean a lot to me. I feel safe in your shoulders, some one to shade my tears and cover my heart, comfort me, pamper me................ you dont know how good I feel for ur sweet words.
You rock my heart Tized

Back
Top Bottom