Safari moja huanzsha nyengne.... na raha ya safar ufke... hatuwez ishia njian... lazima utataman jua zaid ya kissing... ninawe thn chakula usinipe patachimbika mbona
BAK as usual, thanks best for the song, lips zimenichanginyi mwenzio.
Nyuma ya hilo bango wanaonesha BET, huyo ni mbongo?
kwa sisi wataalam wa storyboard huwa hatukosi la kusema. Ina maana kijana alikuwa akienda kinyumenyume, au midomo yake ilikua kisogoni?
Haipo kwasababu alikuwa anaongea na simu na sikusikia harufu mbaya, ingekuwepo ningeisikia kwa sababu alikuwa mbele yangu ila ndo hivo sikuweza hata zigusa lips zake...............
Koooooooooh! *Swallows spit!* kumbe na wewe umesikia huu wimbo wa kibaka kuomba lift kwwnye defender! Did you say 15? Kooooooooooooh! *Spits out this time!:A S-eek:*
nimekupenda aiseeee!!! najua wewe kama utanikuta na mchepuko hakuna kesi...!!!!!!!!yap niko hivo na hapa nimejielezea mimi Kasinde, sijawasemea wanawake wengine kila mtu anausemea moyo wake.
Ungemvamia tu na kuanza kuzinyonya ili kutimiza yale mambo ya kula ujana, ya nini kuteseka moyoni bure!?
naamini alikuwa anaongea kwa kutizama mbele akati wewe ulikuwa kwa nyuma kama unambambia hivi hivyo kusikia harufu ya mdomo ni ngumu labda huo mdomo utoe harufu zaidi ya choo
natamani ningeweza ila sikuweza.............. ila kwa midomo kama ile naweza kiss kwa lisaa lizima aisee.......
imagine ndo una mke kama huyu!!! yaaani bora niende mnadani tubadilishane na beberu ninywe supu....
niliogopa kushitakiwa kwa ku kid nap lips za mtoto na kuzificha mdomoni kwangu looh!! Ila ningekutana nae club ningeshawishika kumuomba maana kule unaweza kusingizia pombe