Lips zake zimenichanganya

Lips zake zimenichanganya

Alafu ukute akicheka fizi zinaanza kuonekana kabla ya meno .... meno ukute meupe fiz nyekundu nyeusi..... uwiiii.. unajikuta unasema kiinglish... u are handsome

waapiiii, kabla sijamsifia hapa niliona vyote hivyo wakati anaongea na simu alikuwa anacheka hivo niliona hadi fizi, yaani mdomo umekamilika, sikuuona ulimi tuu ila the way lips zake zinavutika akichek uwiiiiii nadataaa!!
 
20dce0d3b8b29869a4adc8b28d3b0714.jpg


Kama za huyu hapa....

Ahem!!!!!!!! !!!!!!
 
picha tafadhali tufaidi wote wanasema kizuri kula na mwenzio

sikuweza kupiga picha hata ile ya kuibia so bad, ila pia hata ningepata nafasi ya kuipiga picha mdomo wake nisingefanya hivo kwasababau nilizubaa mnoo kumtizama
 
ungemuomba tu ,sisi wanaume sio wachoyo by nature

hahahaaaaa, umri kaka, he was so young to me but look sweet, niko hivi mie mtu nikimzimikia na akiwa mdogo kwangu au akinizidi sana umri, atakaa akilini kwangu siku mbili tuu kisha nafuta na kudelete kila kitu. Am very keen to age sijui kwa nini na hata mtu akijaribu kunidanganya huwa nastukia na kusepa
 
umenikumbusha myboy wa chuo miaka hiyooooo alikuaga na lips balaaaaa yan dah!!!!! umenihanisha aseeeeee

lips for kissing bana yaani I can last for one hour........... full pumzi halafu hamna kupakana mate..... aaaahhhhhh!!
 
Leo tena utakutana nae bibie ondoa shakaa
 
ukikisss, tena unasema french kiss unapata raha gani?!!


un explainable, sijui mnywaji wa bia au wa sigara anaweza kukuelezea anapata raha gani akinywa bia au kuvuta sigara, may be atakwambia stim inapanda. To me is pleasure, I get pleasure na nakuwa satisfied na inaishia hapo. I love kissing kwa kweli
 
Npo hapa.... nlijiuliza sn kwa nn huyu dada ananiangalia sn kumbe lips zangu.... ungeomba picha tungepiga cz sina ttz...karibu tn
 
Back
Top Bottom