illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 700
yaani kuna mtu waweza muona ukatamani km kumn'gang'ania ila tatizo si wakoooo au mdogoooo
Habari zenu wapendwa,
Kama kawa kama dawa Kasie is on board, yaani acha tuu niwasimulie na mnisikilize. Haina mashiko saana ila ndo beats za Kasinde.
Leo bana mida ya lunch nilienda ofc flani hv kupata huduma sasa tukiwa kwenye foleni mtu wa mbele yangu alikuwa kijana mdogo tuu, mdogo kwangu kwa makadirio ya haraka nimemzidi kama 10 to 15 yrs. Huyu kijana alinifanya nizubae na sikutaka foleni iende, midomo yake uwiiii mizurii yaani nilikuwa nawaza kui muah. Mbaya zaidi akawa anaongea na simu akicheka sasa ooohhh!! Midomo imenihorojesha, sikuwahi kuwaza kama naweza izimikia midomo ya mtu ila leo nime proof. Yeye kama yeye simpendi ila midomo.... I love kissing Kasinde mie