Uchaguzi 2020 Linapokuja suala la kuiondoa CCM madarakani, wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ni kikwazo

CCM ni wezi na majambazi hata ukiwashinda kwenye boksi la Kura watang'ang'ania kutawala kwa Nguvu dawa ni kuwatoa kwa risasi
 
CCM ni wezi na majambazi hata ukiwashinda kwenye boksi la Kura watang'ang'ania kutawala kwa Nguvu dawa ni kuwatoa kwa risasi
Acha hizo.... Mkubali tu hapo Dar hakuna timu nzuri ya kampeni na mipango mizuri pia. Mmeona hapa A-town tumeweka nyomi relini pamoja na kuwa Simba walicheza hapo Amri Abeid na kulikuwa na Tamasha la Wasanii. Pia ilikuwa siku ya kazi (jumatatu?). Usichezee machalii kwa amsha amsha.
 
WATANZANIA WAMEKWISHA TAMBUA RASMI KWAMBA MAENDELEO YANAWEZEKANA KWA SISI WENYEWE KUJISIMAMIA.

MIFANO HAI WANAIONA, HAWAWEZI KUUNGANA NA KUNDI LA WANUFAIKA NA YALIYOPITA AMBAO WAO WANATAKA KUINGIA IKULU KUTURUDISHA KULE KWENYE WIZI TULIOKUWA TUKIUMIA NAO.

HATUWEZI KUWAPA NCHI VIBARAKA WA MABEBERU.

HATUWEZI KUWAPA NCHI VIBARAKA WA KINA
#ROBERT AMSTERDAM

HATUWEZI KUWAPA NCHI MARAFIKI WA
#MKAMATA NDEGE STEYN

TANZANIA ITAJENGWA NA WAZALENDO WA KWELI
20200829163552_IMG_0674_2.JPG
 
Ni ukweli usiopingika kwamba Dar ina watu wengi walioelimika (Educated) na wenye exposure kubwa katika mambo mbalimbali kama elimu, biashara, sanaa, michezo n.k.

Hivyo ni jiji ambalo watu wake wanajielewa sana(simaanishi majiji mengine watu hawajielewi, hapana wanajielewa lakini Dar ni zaidi sana kwa asilimia kubwa kutokana na kuwa na idadi kubwa ya walioelimika na wenye exposure kubwa)

Hivyo watu katika jiji hili la Dar hatufuati mkumbo, kushikiwa akili n.k. tunataka "Utupe sera"

Ni ukweli usiopingika, kwamba JPM amefanya kazi kubwa katika miaka mitano na anastahili kuendeleza kazi kubwa alioianza katika miaka mitano ijayo.

JPM amefanya restructure kubwa katika system ya nchi kwenye sector mbalimbali. Kwa mtu yoyote ambaye ameelimika hatilii shaka kazi alioifanya JPM. Dar na watu wake tunatambua kazi alioifanya JPM katika nchi hii.
 
Sababu kuu ya chadema yakutotoboa dar ni aina ya wagombea,unakuta miaka yote wakisimamisha wagombea basi ni walewale pendwa na chama.bila kuzingatia wa pande hizi nao walipashwa kupewa kipao mbele,kwahiyo unakuta watu wanakiangalia ni chama chawatu fulani.

Mtizamo wangu kama act wangelikuwa wanajua kuzichanga karata vizuri wangefanikiwa kuishika dar ila wamebugi kwa kumuweka membe watu hawana imani na waaina hii hasa ukuzingatia yaliotokea kwa lowasa na sumaye
 
Sio wakazi wa Dar bali wakazi wa Dar wenye asili ya Dar.

Mashabiki wa CCM hapo Dar ni zile familia unakuta binti kafikisha miaka 40 kamleta na bwana ake hapo nyumbani wamezaa watoto 6 wanaishi hapo-hapo na baba mkwe yupo anachekelea wanavyogongana vitambi kugombea foleni ya kuingia chooni.

Kwahiyo sisi wenye asili ya dar tupo wengi ?! Ooh bs Na nyinyi kapigeni kura kwenu muwape watu wenu shida I wapi Kila mtu achague anachokitaka lol
 
Watu wa Dsm wanaendesha siasa zao kwenye mitandao ya kijamii, sio rahisi kuwakuta wamejaza ovyo kama makalai waliojaa siku ile Dodoma halafu kesho yake wanageuka kuwa omba omba.
 
Usisahau. Uchaguzi wa Mwaka 2015 CCM alibanduka Dar. Karibu majimbo yote isipokuwa matatu kati ya saba yalizolewa na wapinzani.
 
Ndugu Mleta Maada,Uko Sawa, Na hata Kuna Mwanasiasa Mmoja aliwahi Kuwashangaa hivi hivi Wana Dar es Salama na kuwatania kwamba Wanaongoza kula Miguu ya Kuku.
 
Back
Top Bottom