Acha hizo.... Mkubali tu hapo Dar hakuna timu nzuri ya kampeni na mipango mizuri pia. Mmeona hapa A-town tumeweka nyomi relini pamoja na kuwa Simba walicheza hapo Amri Abeid na kulikuwa na Tamasha la Wasanii. Pia ilikuwa siku ya kazi (jumatatu?). Usichezee machalii kwa amsha amsha.CCM ni wezi na majambazi hata ukiwashinda kwenye boksi la Kura watang'ang'ania kutawala kwa Nguvu dawa ni kuwatoa kwa risasi
Sio wakazi wa Dar bali wakazi wa Dar wenye asili ya Dar.
Mashabiki wa CCM hapo Dar ni zile familia unakuta binti kafikisha miaka 40 kamleta na bwana ake hapo nyumbani wamezaa watoto 6 wanaishi hapo-hapo na baba mkwe yupo anachekelea wanavyogongana vitambi kugombea foleni ya kuingia chooni.
Lissu hawezi kupata hata udiwani wa kata alikozaliwa, wamemgundua ametumwa na wazungu kuja kutetea wizi wa rasilimali zetu, we ajenda yake kuu ni kupigwa risasi so what??CCM pumzi imekata. Inapaswa kuondolewa madarakani haraka sana!
Machadema yamepagawa, sera ni risasi, risasi na hakuna jipya!!! watanzania sio wajingaSaccos inawanachama wengi, lawaji hata kumi hawafiki.. Safari hii mtachanga mpaka mkome
Propaganda dhaifu!Lissu hawezi kupata hata udiwani wa kata alikozaliwa, wamemgundua ametumwa na wazungu kuja kutetea wizi wa rasilimali zetu, we ajenda yake kuu ni kupigwa risasi so what??