Uchaguzi 2020 Linapokuja suala la kuiondoa CCM madarakani, wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ni kikwazo

DSM NI KILA KITU WANA MATATIZO NAYO,WAO NDIYO HAWANA NGUVU ZA KIUME,WAO NDIYO WALAINI,NDIYO MKOA UNAONGOZA KWA KUSAIDIWA WAKE ZAO NA WANAUME WENGINE YAANI WAO KILA KITU WAKO NYUMA.


WANAUME WA DSM NDIYO WANONGOZA KWA KUJICHUBUA NA KUWA SALON,WANAUME NI WAVIVU HAWATAKI KAZI YAANI KWA KIFUPI DSM NI COLLECTIONS YA MASWAIBU NI SHIDA KILA KITU.
 
Kumbuka Dar haina wenyewe wengi vichinjio vyao ni vya mikoani ujue wako hapo kimaslahi zaidi.
 
Hahaha jomba umenifanya nicheke..hivi utamdanganya mtanzania gani kwa Sasa,. Umeshachina jomba..Sasa uiondoe CCM madarakani uweke chama gani labda tuelimishe..act,cuf, chadema,nccr, nld,udp, updp,tadea au kipi...usitudanganye halafu ukaacha wananchi wanaitumbukiza shimoni Taifa Hilo..ukome kabisa.kama huna kazi ya kufanya nenda hata ukalime..lakini hii biashara ya kupitia fursa kwa kuwadanganya wananchi ikome..wananchi kwa sasa tayari Wana maamuzi huwezi kuwashawishi na lolote...waambieni hata hao mabwana zenuu hi ulaya kwamba Tz kimeshindikana..
 
Leo nimeona niliamkie jiji Dar es Salaam.

Linapokuja suala la kuleta mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi majiji makuu ya nchi huwa ni kitovu kwa sababu huwa yana wakazi wengi walioelimika na kupata exposure ya kutosha tofauti na miji mingine katika nchi husika.

Hali ni tofauti nchini Tanzania kwani majiji ambayo yanaonekana ni kitovu cha mabadiliko ni majiji yenye hadhi ya pili na siyo jiji kuu la Dar es Salaam.

Amsha amsha inayofanywa na wakazi wa majiji ya Arusha, Mbeya, Mwanza na hata miji midogo kama Kahama na Shinyanga licha ya kuwa na idadi ndogo ya watu ukilinganisha na Jiji la Dar es Salaam is way too far.

Pia ni ajabu ya karne Jiji kama la Dar es Salaam kuendelea kuwa na wabunge wa Chama kilichozeeka kama CCM achilia mbali kuwepo na wakazi ambao bado kwao CCM ni kimbilio. Dar mnakwama wapi?

Mfano mdogo wa hivi karibuni ni ukweli ulio wazi idadi ya wakazi wa Dar es Salaam waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kampeni za CHADEMA haikuridhisha. Sasa tazama Arusha ilivyompokea Tundu Lissu kwenye kampeni jana.

Hata linapokuja suala la haki kwa watetezi wenu wa haki, mfano kupigwa risasi Tundu Lissu, kupotea kwa akina Ben Saanane, Azori Gwanda, kupigwa na kudhalilishwa kwa akina Halima Mdee na Jeshi la Magereza, tulitarajia mjitokeze kwa wingi kupinga uonevu wa aina hii. Lakini uoga umewazidi.

DAR ES SALAAM AMKA UONGOZE MAPAMBANO, ACHA UOGA.

DAR ES SALAAM UNAHITAJI MAISHA BORA NA UHURU KULIKO ILIVYO SASA UNAONEKANA KAMA ZIZI LA NG'OMBE, UCHAFU KILA MAHALI, MITARO MICHAFU, UKOSEFU WA MAJI SAFI NA SALAMA, MIPANGO MIJI YA HOVYO KULIKO MAJIJI YOTE DUNIANI. AU UMERIDHIKA NA VIDARAJA VYA UBUNGO NA MFUGALE? DAR TEMBEA UONE NDIPO UTAJUA HUJUI NA WATAWALA WANAKUHADAA.

YOTE HAYO NI HAKI YAKO MAANA UNALIPA KODI KULIKO MIJI YOTE NCHINI TANZANIA

Siku njema
2015 General election
Kibamba upinzani
Kawe upinzani
Ubungo upinzani
Kinondoni upinzani
Ukonga upinzani
Temeke upinzani
Upinzani ulichukua majimbo 6 kati ya 8 Dar,hapa Dar ni kitovu cha upinzani na mwaka huu nadhani CCM itapata moja tu la ILALA au ikakosa yote(kama uchaguzi utakuwa huru na wa haki)
Ubungo upinzani
 
2015 General election
Kibamba upinzani
Kawe upinzani
Ubungo upinzani
Kinondoni upinzani
Ukonga upinzani
Temeke upinzani
Upinzani ulichukua majimbo 6 kati ya 8 Dar,hapa Dar ni kitovu cha upinzani na mwaka huu nadhani CCM itapata moja tu la ILALA au ikakosa yote(kama uchaguzi utakuwa huru na wa haki)
Ubungo upinzani
Kwahiyo 2015 uchaguzi ulikuwa wa haki ndiyo maana upinzani ulichukua majimbo mengi?
 
Wale wanatumia akili kufikiri.

Lisu alisema mikataba ya madini haiwezekani tutaiweka nchi pabaya JPM ingawa sio mwanasheria akaona hapana akajitoa kwa nguvu zote na moyo wote kuitetea Tz dhidi ya mabeberu na akashinda.

Lissu mpaka leo hapendi jinsi Tz tulivyoamua kupambana na CORONA kivyetu vyetu kila siku analia tufate amri za wazungu!

JAMANI KWA MWENYE AKILI TIMAMU YEYOTE JE HUYU MTU NI WAKUPEWA MIHURI YA NCHI?

MAGUFULI4LIFE.
Mabeberu wamelipa 400+ trillions..wadai uone kazi..nyamnafu
 
Watu wa dar wanawaza ujinga tu kwao wanaona ndio ujanja,kushabikia Marium birian,Gigy money, kijana wa dar akinywa windihoek beer na akimiliki Brevis na smart phone za kichina anaona dunia yote yake
 
Watu wa dar wanawaza ujinga tu kwao wanaona ndio ujanja,kushabikia Marium birian,Gigy money, kijana wa dar akinywa windihoek beer na akimiliki Brevis na smart phone za kichina anaona dunia yote yake
Tatizo ni kwamba hata wewe ukitoka huko kwenu na kuja kufanya ujinga wako basi wanasema watu wa Dar.
 
CCM haiondoki madarakani leo, kesho wala kesho kutwa. Badilisheni plan tu.
Immancipate yourselves from mental slavery
None but ourselves can free our minds
Have no fear for atomic energy
Cause none of them can stop the time
How long shall they kill our prophets
While we stand aside and look
Some say,it's just part of it
We've got to fulfill the book.

Mkuu...tambua uvumilivu una kikomo chake na ogopa sana uvumilivu unapofika mwisho binadamu hubadilika na kuwa mnyama...itafika muda CCM ataondoka kama alivyoondoka firauni,tambua hilo
 
Hamasa ya uchaguzi imepotea dar sio cdm Wala ccm ngoja tuone mbeleni bado Nampa nafasi kubwa lisu kwa sera nzuri za kujenga uchumi
 
DSM NI KILA KITU WANA MATATIZO NAYO,WAO NDIYO HAWANA NGUVU ZA KIUME,WAO NDIYO WALAINI,NDIYO MKOA UNAONGOZA KWA KUSAIDIWA WAKE ZAO NA WANAUME WENGINE YAANI WAO KILA KITU WAKO NYUMA.


WANAUME WA DSM NDIYO WANONGOZA KWA KUJICHUBUA NA KUWA SALON,WANAUME NI WAVIVU HAWATAKI KAZI YAANI KWA KIFUPI DSM NI COLLECTIONS YA MASWAIBU NI SHIDA KILA KITU.
Mbona dada zenu wote wanaondoka shamba huko kwenu wanawapekea nyama wanaume wa dsm?
 
Back
Top Bottom