Lilivyo Kundi D kwa sasa katika CAFCL ndiyo hao hao Wawili wa Juu watakaofuzu na Wengine watafuzu tu Kushinda Tano Tano za Rushwa Ligi yao ya Nyumbani

Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.

Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
usicheze na yanga
 
Na hii ndiyo maana sasa halisi ya wewe kuitwa Popoma.
 
Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.

Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Sasa imedhihirika wewe mleta huu Uzi ndiyo huna akili kwa pira la Yanga ok?
 
Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.

Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Kwani Msimamo wa ilo kundi D upoje?
 
Kakimbia uzi wake mpira unataka uwe umecheza hata cha ndimu sio umeukuta mjini harafu uanze kuwaelezea watu hisia zako mpira sio hisia ni Chemistry inayoonekana..
 
Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.

Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Kama una mipango ya kufanya biashara nakushauri usipoteze muda maana biashara inahitaji kichwa kilichotulia na kichwa chenye kuona hali ya soko kwa usahihi.

Wewe endelea tu kuwa mtumishi kusubiria mshahara
 
Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.

Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
Habari yako
 
Back
Top Bottom