Mchumia juani
Member
- Jan 28, 2008
- 27
- 13
Napenda kuwa julisha wana JF kuwa nakaribisheni maswali mafupi mafupi yanayohusu tatizo lolote la kiafya.Maswali yote yatajibiwa mara moja kwa wiki iwe ni tatizo ulilonalo wewe binafsi au ndugu,jirani,rafiki au mtu yeyote unayemfahamu,Kumbuka yawe mafupi ili watu wengi zaidi wapate nafasi ya kushauriwa na mimi.
Nitakupa ushauri kadri ninavyoweza.Usiwe na wasiwasi niko ktk profession hii.
Nitakupa ushauri kadri ninavyoweza.Usiwe na wasiwasi niko ktk profession hii.