Leteni Maswali ya Kiafya Niwasaidie

Dear Doktor
Ugonjwa wa ngiri ndio ugonjwa gani? Na husababishwa na nn?
 
Dear Doctor,
Je tatizo la kutojisikia hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara kwa wanawake husababishwa na nn? Je kuna dawa yoyote ambayo itamsaidia mwanamke kuwa na hamu ya sex?

Du! bahati hiyo ningepata mimi mbona ingekuwa bomba...kwa jinsi hamu inavyosumbua....
 
Last edited:
kwa kweli ni muhimu ajitokeze mwingine hata kama ni wa mitishamba
 
Mkuu naulizia dawa za kuongeza nguvu za kiume, unapokuwa kwenye shughuli kama labda dk 5 hvi, ulikuwa speed na unashangaa mashine inasinyaa na kuacha kitu wazi hakijashiba,plz nipeni dawa ktk hili
 
Napenda kuwa julisha wana JF kuwa nakaribisheni maswali mafupi mafupi yanayohusu tatizo lolote la kiafya.Maswali yote yatajibiwa mara moja kwa wiki iwe ni tatizo ulilonalo wewe binafsi au ndugu,jirani,rafiki au mtu yeyote unayemfahamu,Kumbuka yawe mafupi ili watu wengi zaidi wapate nafasi ya kushauriwa na mimi.Nitakupa ushauri kadri ninavyoweza.Usiwe na wasiwasi niko ktk profession hii
Nina jirani yangu mtoto wake kucha za mikononi hazikui kabisa mwezi wa sita sasa kucha zake hazijawaikatwa na hazionekani kukua ingawa za miguuni zinakua na zinakatwa. Shida yake inaweza ikawa ni nini ndugu mtaalam
 
Back
Top Bottom