Leonardo Da-Vinci

Leonardo Da-Vinci

Mkuu mambo mengine unajiweka nayo pembeni tu mkuu maana itakuwa ni kupoteza muda tu!

vizuri tutashinda kwa hoja tu mi simu yangu kutype maneno mengi inaniconsume tupia wewe hio article hapoo juuu
 
Hujui,nenda kasome hizo hints nilizokupa.Kuna shida gani kukubali kuwa hujui kitu?Maandishi yako yanaonyesha hujui maana unaleta ubishi wa kijinga kabisa,unaoonyesha kuwa huijui historia ya Biblia na huijui Biblia yenyewe nje ya dogma ya kukaririshwa.

Kwenye hiyo mitaguzo niliyokuambia ukasome iliyofanyika karne ya nne na tano ndipo vitabu vya Biblia vya canon vilianza kurasmishwa na kuwa listed na vingine vikaanza kuitwa apocrypha.Sasa ni historia ndefu wewe unataka nikusimulie yote hapa,na vitabu vyote nilivyosoma.Yaani umeshindwa kabisa kutafuta maarifa nje ya box la dogma pamoja na kukua kote huku kwa teknolojia?Ku google tu 'ending(s) of Mark' huwezi,synoptic problem huwezi?

Kama hutaki kusoma kwanza na ukaendeleza hoja za kijinga,sitapoteza muda wangu na wewe.Bora nimsubiri mkuu otorong'ong'o labda tutaweza kuwa na mjadala wenye manufaa manake anaonyesha anajua.

Huyo Eiyer hajui kitu...Nahizo hints ulizompa ndo kwanza leo kazisikia....Kwasababu ana ule ugonjwa wa kujifanya anajua, ili usimuone hajui atajikweza "umejuaje mimi sijui".....

Ngoja mm nipitie hizo hints zako...
 
Huyo Eiyer hajui kitu...Nahizo hints ulizompa ndo kwanza leo kazisikia....Kwasababu ana ule ugonjwa wa kujifanya anajua, ili usimuone hajui atajikweza "umejuaje mimi sijui".....

Ngoja mm nipitie hizo hints zako...



www.jesus-is-savior.com/Wolves/davinci.htm
 
www.jesus-is-savior.com/Wolves/davinci.htm

Sawa Dan Vinci picha zake hazina ukweli....Unajua ile picha ya Last Supper aliichora baada ya yeye kusemekana kuamishiwa Vatcan Library kwa hiyo alipata wasaa mkubwa wa kusoma nyaraka na vitabu mbalimbali ..

Sasa watu wanasema kusoma huko ndo kulipelekea kuchora picha ile..
 
Sawa Dan Vinci picha zake hazina ukweli....Unajua ile picha ya Last Supper aliichora baada ya yeye kusemekana kuamishiwa Vatcan Library kwa hiyo alipata wasaa mkubwa wa kusoma nyaraka na vitabu mbalimbali ..

Sasa watu wanasema kusoma huko ndo kulipelekea kuchora picha ile..

hiyo link inamajibu yote all in all davinci alikuwa ni satan @ work
 
Huyo jamaa angetafiti kwanza ili ajue kuwa hata inayodaiwa kuwa "sura" ya Yesu ilikuwaje hasa ikawa maarufu angejua jambo kubwa sana

Huyo Da Vinch mwenyewe alikuwa anabuni hizo mambo zake hazina ukweli wowote,siku moja nilikuwa natazama National Geographic Channel walikuwa wanazungumzia huu upuuzi wa kizazi cha Yesu

Kuna mambo mengine hata ukitumia akili za mtoto w chekechea tu utagudua ni uji.nga!

Unachokijua ww kupitia those channels ni so called propaganda but da Vince have too many secrets
 
Unachokijua ww kupitia those channels ni so called propaganda but da Vince have too many secrets

Unadai kuwa ninachokijua mimi ni propaganda,sawa..... Je hicho unachodai wewe kuwa ni siri ambazo alikuwa anazijua huyo jamaa ni kwanini sio propaganda?

Sitaki kuamini kuwa umelitumia neno propaganda bila kuwa na uwezo wa kuelezea propaganda ni nini na ili jambo lisiwe propaganda najua kuwa unaweza kulielezea

Hebu fanya hivyo kwanza!
 
Huyo Eiyer hajui kitu...Nahizo hints ulizompa ndo kwanza leo kazisikia....Kwasababu ana ule ugonjwa wa kujifanya anajua, ili usimuone hajui atajikweza "umejuaje mimi sijui".....

Ngoja mm nipitie hizo hints zako...

mkuu pitia pia na source zako nyingine kama unazo.Usisahau pia kuweka majina ya injili 20 zilizoondolewa kwenye mtaguso wa Efeso ili tuzijadili na kisha twende kwenye vitabu vingine.

Nakusubiri tufanye mjadala mpana wenye elimu na siyo mambo ya dogma na hisia hisia kama za Eiyer.
Mtu ambaye hajui na hajui kuwa hajui au hataki kujifunza ameng'ang'ania ubishi tu,hafai kufanya naye majadiliano yenye kujenga
 
Ni kweli familia si jambo la siri, lakini ukumbuke kipindi cha yesu mpaka kifo chake alikuwa "NO BODY" amekuja kupata umaarufu miaka mingi baada ya kifo chake. Kama watu mashuhuri wakina Kaizari koo zao zilifutika kitambo, ni kitu gani kinakufanya uamini kuwa ukoo wa yesu ungeprevail? Hata ukoo wa Yosefu babaake yesu ulishafutika with no single trace!

Mkuu uwezo wako wakuanalyse ndo umeishia hapo? yani kwa maajabu alofanya yesu, anza ya kufufua, kuwalisha watu maelf kwa mikate mitano na kufa na kufufuka leo hii awe ana kizazi chake kipotee watu wakisau kirahisi tuu?
 
Hapa ndipo ambapo tunatakiwa tuwe makini sana

Kwenye suala la Maria Magdalena,ninachojua mimi ni kuwa hakuwahi kuandika kitabu chochote kile kutokana na nafasi ya wanawake nyakati hizo labda awe na sababu maalum sana!

Maandiko yanasema wazi kuwa Neno lake halitapotea milele,na kama kuna kisichojulikana naamini hilo sio neno lake
Kuna mambo mengi sana yamezushwa kiasi kwamba ili utambue inatakiwa uwe na ufahamu mkubwa sana kuhusiana na haya mambo

Kanisa katoliki lina nafasi kubwa sana kwenye hili,na hata hizi habari za Da Vinci zinahusiana nao,manzo kulikuwa hakuna biblia na ilifika mahali wakristo wa kwanza wakaona ni vyema kuvikusanya na kuviweka kwenye mjumuiko mmoja ili wasomaji wasije kupata tabu na pia waliamua kuyaweka mafundisho ya Yesu kwenye maandishi ili yasipotee,suala la kuviweka vitabu hivyo na ni vitabu gani viwekwe ninamini kuwa hilo jambo halikufanyika hivihivi tu ni lazima lilikuwa na usimamizi wa nguvu iliyofanya maandiko hayo yakaandikwa

Kitendo cha maandiko hayokuwepo hadi leo ni ishara tosha kabisa ya uwezo mkubwa uliokuwa unasimamia zoezi zima la kuandikwa na kukusanywa kwa vitabu hivyo

Kuna injili sijui ya barnaba na mengine ya kufanana na hayo,leo kuna watu hawakikubali kitabu cha Ufunuo eti wanadai mwandishi sio Yohana alieandika injili,kwa kifupi kuna mengi sna yanayoendelea ilimradi tu wakichaue kitabu hicho kitakatifu!

Be carefully !!!!!!
Mkuu kuna hii documentary inaelezea jinsi biblia ilvyo tengenezwa icheki kaka tuje tushee understandings "banned from the bible"
 
Mkuu familia sio jambo la siri na wala haliwezi kufunikwa kirahisi kama unavyofikiria kwani hao watoto wa Yesu wasingependa kufahamika kama watoto wa Yesu? Nina mwenye uwezo wa kuifunika hii familia ya Yesu muda karne zote hizo kuna uwezekano Yesu alikuwa karibu na Magdalena lakini sio ukaribu wa kimahaba kama baadhi ya watu wanavyotaka kuwaaminisha watu na huo ukaribu ndio msingi wa huu uvumi wa kua Yesu alizaa na Magdalena

Kama walikuwa na uwezo wa kuandika biblia how do you think wanashindwa kuficha familia ya yesu? Biblia yenyewe inajicontradict kwenye maisha ya yesu kuanzia ukoo wake, maisha yake, kukamatwa kwake, kufa kwake, kufufuka kwake na mwisho kupaa kwake kwenda mbinguni. So kwa wenye akili na wanaotaka kujua ukweli juu ya ukristo lazima wataibuka na maswali mengi ambayo yanasababisha mtu kutoiamini biblia na hivyo kuifanyia utafiti. Yesu alikuwa myahudi lakini historia yake inapatikana zaidi ktk lugha tofauti na za kiyahudi the question is still there WHY???
 
Vatcan????
Sory,i don't trust them!

Kaka unajua Kuwa biblia agano jipya lilikuwa compiled kwa initiative ya jamaa mmoja ambaye alikuwa ni tajiri na mfanyabiashara ambaye ni mchamungu na yeye ndo aloanzisha mchakato wa kutengeza biblia agano jipya na yeye na watu wake ndo walokuwa na uamuzi kipi kiwekwe na kipi kisiwekwe inasemaekana baada ya kifo cha yesu viliandikwa vitabu vingi sana na waandishi wengi mmoja wao ni Mary Magdalene kitabu chake hakikuzingatiwa kwa kipindi kile ni sababu ya mtazamo wa jamii ya enzi izo towards wanawake. Siyo maneno yangu mkuu na mie nimepitia pitia hizi documentariea na google.
 
mkuu ningependa kukuonesha hizo docs lakini zipo katika dvd na sina utaalamu wa kuaatach such a documents. nielekeze nikutumie

Vingi vipo you tube! Kunadocumentaries nyingi za BBC zinaitwa bible mystries nimeangalia mbili so far.
 
sasa mkuu,
unazungumzia kitabu cha ufunuo kutokutajwa kwa maria je kutokutajwa hapo ndio kunathibitisha kutokuwapo kwa injili ya maria magdalena?
unathibitisha usemi wangu kuwa unashikilia yale tu uliyofundishwa kanisani kwako au yale yaliyomo tu katika vitabu ulivyofundishiwa.
kumbuka vitabu hivi viliandikwa kwa lugha za wakati huo na sio kingereza wala kiswahili je mimi na wewe tunathibitisha vipi kuwa havijawa edited wakati wanatfsiri kiingereza?
mimi ni muumini mzuri sana wa imani ya mungu na kristo na ninampenda mungu sana, ila sina imani sana na dini na utawala wake wote na baadhi ya mambo ya kanisa.

Its worth it to know for the sake of knowing napend kukazia maarifa kwa kitabu cha ufunuo wataalamu wanasema kuwa kulikuwa na vitabu viwili vya ufunuo kimoja cha peter na kingine cha yohane kilichukuliwa cha yohana kikaachwa cha peter kwa nn? Inasema peter kitabu chake kilkuwa so straight na kinasema aliambiwa Christ kuwa mwishowe wote waovu watasamehewa na maisha yataendelea lakini wahusika wakaona si logic ya kukijumuisha kitabu hicho sababu watu hawatakuwa na hofu ya kuacha mabaya kwa sababu wanajua mwishowe watasamehewa. Jamani narudia haya si maneno yangu
 
Hii thread ngoja nitafutie muda niisome kwa urefu na mapana


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Weka kando level yeyote ya umaarufu, kati ya watu wote maarufu waliowahi kutokea, Yesu anaendelea kuwa maarufu kuliko wote.

Kama wameweza kufikiria kwamba alikua na mahusiano na Marymagdalena, isingekua rahisi zaidi kwao kufuatilia na kujua zaidi habari za hao watoto wake?

Nimeona kwenye komenti zako umezungumzia kufa na kufufuka kwa yesu. Swali langu how sure are you that jesus christ rise from dead while all the four gospel of jesus contradict themselves about the rise of jesus??
 
Kwani tatizo nini?
Au unataka kumuwekea Mungu mipaka?

Dah! Kweli hii ishu ngumu, yani we huoni tatizo hapo. Hebu jiulize we utengeneze robot lako ambalo kila linachofanya we ndo unaliongoza halafu likuue wewe unaejua siri zake halafu useme hakuna tatizo? Ndugu yangu mi nashindwa kuelewa uwezo wako wa kufikiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom