Leonardo Da-Vinci

Una uhakika kuwa vyote vviliandikwa kwa uwezo wa roho mtakatifu?

Na kama ni hivyo kwanini tu usiufikirishe ubongo wako na kujua kuwa hata hao waliovichambua nao waliongozwa na roho mtakatifu?

na hapa ndipo na mimi napata shida ya ninapojadili swala la uchaguzi wa vitabu vya biblia na wakristo wenzangu.
walio kaa chini na kusema hivi viingie na vile visiingie kwa hakika hawakuongozwa na roho bali walichagua kwa mapenzi yao na sababu zao kwa wakati huo pengine au walilenga wakati mrefu ujao. nina mashaka sana na vitabu vilivyoachwa kuingizwa katika jumuisho la vitabu vilivyotengeza biblia. na zipo habari kuwa vitabu hivyo baadhi vilifichwa na kuwa siri kwa wajao wasijue nini kilitokea wapi. wao ukiwasikia wanatetea kuwa vitabu vilivyoondolewa vilikuwa na maudhui sawa na vile walivyoviweka wakaona ni marudio wakaamua kuvitoa. lakini kuna kitabu cha maria magdalena hakipo katika biblia yetu je sababu ni nini?
je ilikuwa ni muongozo wa roho mtakatifu kutokiweka katika biblia? au kuna sababu zao?

dini inaongozwa na watu wenye malengo tofauti imani ni kitu kingine tofauti. tabaka hili la watu wanaoendesha dini wao ndio wanaamua wafuatao dini hiyo wafanye nini sasa kwa manufaa ya nani that is an issue of discussion.
 
Leonardo da Vinci (1452-1519) was a painter, architect, inventor, and student of all things scientific. His natural genius crossed so many disciplines that he epitomized the term “Renaissance man.” Today he remains best known for his art, including two paintings that remain among the world’s most famous and admired, Mona Lisa and The Last Supper. Art, da Vinci believed, was indisputably connected with science and nature.

Despite being recognized as the best in art & science Leonardo Da Vinci was nothing but a puppet of the aliens who gave him all his ideas on technology.Jamani fuatilieni kwenye history channels mtaona jinsi alivyosaidiwa na aliens secretly kufanikisha kila alichogundua.Pia Da Vinci alipoteaga 2-to-5-years and his whereabouts were unknown and undocumented. While other artists in 16 century advanced intelligence in science, art and medicine, there is conjecture that Leonardo Da Vinci was given the artificial intelligence by another living resource from other planets or universe.Mimi naona he was lucky that he encountered aliens or UFO who helped him in technologies but Iam sure he did not have any imagination in creativity.
Among the Leonardo da Vinci biography and collection of artwork, “War Machine,” suggests that the artist may have encountered an alien or UFO.

Leonardo’s life was a summary of his universal genius in art, sculpture, mathematics, optics, etc.
More exciting: Leonardo used “non-lead-based paint” in one painting—which was “some type of message” according to scholar Giorgio Tsoukalos.

This type of paint doesn’t photograph under x-rays, Leonardo must have known this and planned for ancient astronaut theorists to fantasize about him 500 years later.

David Childress, who is not an ancient astronaut theorist mind you, then claims during the undocumented years of Leonardo’s young life he was secretly being tutored by an alien-worshiping cult, or worse: “Perhaps like the biblical prophet Enoch he was even taken aboard a spaceship, and the aliens showed him earth from above and gave him a concept of the cosmos and machines and inventions...”

If we take both of Ancient Aliens' claims at face value, that Leonardo traveled through time to the future to steal the plans for his inventions, and also that “all” our modern technology derives from Leonardo’s own designs, we then end up in a time-travel paradox that would seem to imply that this knowledge appeared ex nihilo.

This is nothing but more of the ancient astronaut theorists’ insistent claims that imagination does not exist, that creativity is a fraud, and only they—the ancient astronaut theorists—have true intellectual gifts. Everyone else got it from the aliens.
Pia inasemekana he was an alien being na mwili wake haukuonekanaga wachambuzi wanaamini he was carried by alien aircraft.

NB All human appearing beings on earth and elsewhere are not necessarily of the same origin if
even if they do both possess human bodies with the same core biological functions and processes. If there is an underlying consciousness it is not necessarily the same type of consciousness(soul) in all human appearing beings. There is a real possibility that an
alien form of consciousness can exist in human bodies alongside
other *normal humans* without them realizing it. This is what a
practical alien race would do if they were to come to a different universe for some sort of dimensional conquest. In fact any advanced alien intelligence will realize that if they are going to infiltrate a universe outside their own with beings already occupying it they are going to have to assume the dominant form.
 
na hapa ndipo na mimi napata shida ya ninapojadili swala la uchaguzi wa vitabu vya biblia na wakristo wenzangu.
walio kaa chini na kusema hivi viingie na vile visiingie kwa hakika hawakuongozwa na roho bali walichagua kwa mapenzi yao na sababu zao kwa wakati huo pengine au walilenga wakati mrefu ujao. nina mashaka sana na vitabu vilivyoachwa kuingizwa katika jumuisho la vitabu vilivyotengeza biblia. na zipo habari kuwa vitabu hivyo baadhi vilifichwa na kuwa siri kwa wajao wasijue nini kilitokea wapi. wao ukiwasikia wanatetea kuwa vitabu vilivyoondolewa vilikuwa na maudhui sawa na vile walivyoviweka wakaona ni marudio wakaamua kuvitoa. lakini kuna kitabu cha maria magdalena hakipo katika biblia yetu je sababu ni nini?
je ilikuwa ni muongozo wa roho mtakatifu kutokiweka katika biblia? au kuna sababu zao?

dini inaongozwa na watu wenye malengo tofauti imani ni kitu kingine tofauti. tabaka hili la watu wanaoendesha dini wao ndio wanaamua wafuatao dini hiyo wafanye nini sasa kwa manufaa ya nani that is an issue of discussion.

Hapa ndipo ambapo tunatakiwa tuwe makini sana

Kwenye suala la Maria Magdalena,ninachojua mimi ni kuwa hakuwahi kuandika kitabu chochote kile kutokana na nafasi ya wanawake nyakati hizo labda awe na sababu maalum sana!

Maandiko yanasema wazi kuwa Neno lake halitapotea milele,na kama kuna kisichojulikana naamini hilo sio neno lake
Kuna mambo mengi sana yamezushwa kiasi kwamba ili utambue inatakiwa uwe na ufahamu mkubwa sana kuhusiana na haya mambo

Kanisa katoliki lina nafasi kubwa sana kwenye hili,na hata hizi habari za Da Vinci zinahusiana nao,manzo kulikuwa hakuna biblia na ilifika mahali wakristo wa kwanza wakaona ni vyema kuvikusanya na kuviweka kwenye mjumuiko mmoja ili wasomaji wasije kupata tabu na pia waliamua kuyaweka mafundisho ya Yesu kwenye maandishi ili yasipotee,suala la kuviweka vitabu hivyo na ni vitabu gani viwekwe ninamini kuwa hilo jambo halikufanyika hivihivi tu ni lazima lilikuwa na usimamizi wa nguvu iliyofanya maandiko hayo yakaandikwa

Kitendo cha maandiko hayokuwepo hadi leo ni ishara tosha kabisa ya uwezo mkubwa uliokuwa unasimamia zoezi zima la kuandikwa na kukusanywa kwa vitabu hivyo

Kuna injili sijui ya barnaba na mengine ya kufanana na hayo,leo kuna watu hawakikubali kitabu cha Ufunuo eti wanadai mwandishi sio Yohana alieandika injili,kwa kifupi kuna mengi sna yanayoendelea ilimradi tu wakichaue kitabu hicho kitakatifu!

Be carefully !!!!!!
 
mkuu , napenda sana kuamini unayoyasema lakini kuna mambo mengi sana juu ya uamuzi uliokuwa ukifwanywa kuhusu kitabu gani kiingie katika jumuiko la vitabu bya biblia uamuzi huu siwezi kuuita umeongozwa na roho, ni nguvu na uwezo na matakwa ya waliokuwa madarakani wakati huo. ni mangapi kanisa limefanya kwa kumsinginzia mungu kumbe ni mambo yaliyofanywa kwa mapenzi na matakwa ya wanadamu?
yawezekana kabisa unasema kuwa magdalena hakuwahi kuandika kitabu kwa sababu tu kanisa halijakwambia hivyo au mafundisho ya imani yako hayajawahi kugusia hilo. ni kweli wakati huo wanawake hawakuruhusiwa kutawala katika dini wala kuwa walimu wa dini. lakini zipo documents zinazothibitisha kuwa maria magdalena aliiandika kitabu na kiko excluded katika biblia tunayoijua mimi na wewe.
mkuu, katika dini kuna mengi sana yaliyojifisha kwa interest ya kanisa siyo interest ya mungu! kumbuka watawala siku zote huamua kipi kiwe na kipi kisiwe kwa namna yoyote ile. kazi ni kwetu kuchambua nje ya box pasipo kuvunja imani juu ya muumba wetu.
 
ETI!!!!Hebu ngoja niangalie vizuri
Ukiachana na picha ya Monalisa pia Leonardo alichora picha maarufu ya “the last supper” ambayo pia ilizua utata kwani inadaiwa kuna siri kubwa iliyofichwa kwenye picha hiyo. Inadaiwa ya kuwa huyo mtu aliyekaa pembeni ya yesu kristu upande wa kushoto alikua ni Marry Magdelena
 
Hapa ndipo ambapo tunatakiwa tuwe makini sana

Kwenye suala la Maria Magdalena,ninachojua mimi ni kuwa hakuwahi kuandika kitabu chochote kile kutokana na nafasi ya wanawake nyakati hizo labda awe na sababu maalum sana!

Maandiko yanasema wazi kuwa Neno lake halitapotea milele,na kama kuna kisichojulikana naamini hilo sio neno lake
Kuna mambo mengi sana yamezushwa kiasi kwamba ili utambue inatakiwa uwe na ufahamu mkubwa sana kuhusiana na haya mambo

Kanisa katoliki lina nafasi kubwa sana kwenye hili,na hata hizi habari za Da Vinci zinahusiana nao,manzo kulikuwa hakuna biblia na ilifika mahali wakristo wa kwanza wakaona ni vyema kuvikusanya na kuviweka kwenye mjumuiko mmoja ili wasomaji wasije kupata tabu na pia waliamua kuyaweka mafundisho ya Yesu kwenye maandishi ili yasipotee,suala la kuviweka vitabu hivyo na ni vitabu gani viwekwe ninamini kuwa hilo jambo halikufanyika hivihivi tu ni lazima lilikuwa na usimamizi wa nguvu iliyofanya maandiko hayo yakaandikwa

Kitendo cha maandiko hayokuwepo hadi leo ni ishara tosha kabisa ya uwezo mkubwa uliokuwa unasimamia zoezi zima la kuandikwa na kukusanywa kwa vitabu hivyo

Kuna injili sijui ya barnaba na mengine ya kufanana na hayo,leo kuna watu hawakikubali kitabu cha Ufunuo eti wanadai mwandishi sio Yohana alieandika injili,kwa kifupi kuna mengi sna yanayoendelea ilimradi tu wakichaue kitabu hicho kitakatifu!

Be carefully !!!!!!

mkuu,
inasemekana, maria magdalena alikuwa wa mwanafunzi karibu sana na yesu si kwa mapenzi kama wengi wanavyodhani bali kama mtu aliyejiona mkosaji sana na anahitaji ukaribu na huyu aliyemuamini kuwa ametakasa dhambi zake, alitumia muda wake mwingi kujifunza mambo mengi sana juu ya mungu na imani kwa ujumla, kiasi kwamba inasadikika kuwa alijua mambo mengi na alikuwa mfuasi mzuri sana wa yesu. yesu alipokufa maria aliandika yale yote aliyoyaona akiwa na yesu na mambo mengi yesu aliyomfundisha, na inasemekana kuwa maria ndio alipaswa kuongoza kundi lile la mitume waliokuwa wanafunzi wa yesu lakini kwa vile mila na desturi hazikuruhusu basi akashindikana. na kwa sababu hiyo basi hata kitabu chake kiliachwa kujumuishwa katika vitabu vile sasa mimi sijui je ni kwa sababu alikuwa mwanamke au katika maandiko yake hayo kulikuwa na kitu ambacho kanisa halitaki wakristo wajue mimi sijui.

haya nimeyapata katika scientific research on the truth about mary magdelen. documentary hiyo ilikuwa inaonesha ancient docs and facts na mwisho walikiri kusema kutokana na uthibitisho wa mambo mengi waliyoyapate juu ya mary wamemalia kwa kusema si kweli kuwa mary alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na yesu bali alikuwa karibu na yesu kama mwanafunzi wake.
 
Hapa ndipo ambapo tunatakiwa tuwe makini sana

Kwenye suala la Maria Magdalena,ninachojua mimi ni kuwa hakuwahi kuandika kitabu chochote kile kutokana na nafasi ya wanawake nyakati hizo labda awe na sababu maalum sana!

Maandiko yanasema wazi kuwa Neno lake halitapotea milele,na kama kuna kisichojulikana naamini hilo sio neno lake
Kuna mambo mengi sana yamezushwa kiasi kwamba ili utambue inatakiwa uwe na ufahamu mkubwa sana kuhusiana na haya mambo

Kanisa katoliki lina nafasi kubwa sana kwenye hili,na hata hizi habari za Da Vinci zinahusiana nao,manzo kulikuwa hakuna biblia na ilifika mahali wakristo wa kwanza wakaona ni vyema kuvikusanya na kuviweka kwenye mjumuiko mmoja ili wasomaji wasije kupata tabu na pia waliamua kuyaweka mafundisho ya Yesu kwenye maandishi ili yasipotee,suala la kuviweka vitabu hivyo na ni vitabu gani viwekwe ninamini kuwa hilo jambo halikufanyika hivihivi tu ni lazima lilikuwa na usimamizi wa nguvu iliyofanya maandiko hayo yakaandikwa

Kitendo cha maandiko hayokuwepo hadi leo ni ishara tosha kabisa ya uwezo mkubwa uliokuwa unasimamia zoezi zima la kuandikwa na kukusanywa kwa vitabu hivyo

Kuna injili sijui ya barnaba na mengine ya kufanana na hayo,leo kuna watu hawakikubali kitabu cha Ufunuo eti wanadai mwandishi sio Yohana alieandika injili,kwa kifupi kuna mengi sna yanayoendelea ilimradi tu wakichaue kitabu hicho kitakatifu!

Be carefully !!!!!!
na inasemekana kuwa vitabu vyote vilivyomzungumzia mary navyo vyote viliachwa.
go find the books in vatican library if and only if you can.
 
kama vitabu wanavyodai vimeenguliwa kwa sababu eti vina jirudia content zake kwa nini hatuvioni? kwa nini kanisa haviviweki wazi kuwa hivi vilikuwa ni baadhi ya vitabu wakati huo vilivyoeleza mambo ya yesu au ukristo lakini viko vimoja vimoja hatukuviingiza. kwa nini havijulikani kabisa na hatujawahi kusikia hata kutajwa tu na wachungaji mapadri na wahubiri?
tumewahi kujiuliza hili?
 
huyu jamaa ni masonic ukifuatilia michoro yake kwa umakini utaona vijialama fulani nilicheki television y viasatExplorer jamaa walifafanua sana michoro yake
 
mkuu , napenda sana kuamini unayoyasema lakini kuna mambo mengi sana juu ya uamuzi uliokuwa ukifwanywa kuhusu kitabu gani kiingie katika jumuiko la vitabu bya biblia uamuzi huu siwezi kuuita umeongozwa na roho, ni nguvu na uwezo na matakwa ya waliokuwa madarakani wakati huo.
Labda nikuulize
Una ushahidi wa haya madai yako?
ni mangapi kanisa limefanya kwa kumsinginzia mungu kumbe ni mambo yaliyofanywa kwa mapenzi na matakwa ya wanadamu?
Yapo lakini hayayafanyi madai yako kuwa kweli!
yawezekana kabisa unasema kuwa magdalena hakuwahi kuandika kitabu kwa sababu tu kanisa halijakwambia hivyo au mafundisho ya imani yako hayajawahi kugusia hilo.
Hapana!
ni kweli wakati huo wanawake hawakuruhusiwa kutawala katika dini wala kuwa walimu wa dini. lakini zipo documents zinazothibitisha kuwa maria magdalena aliiandika kitabu na kiko excluded katika biblia tunayoijua mimi na wewe.
Hebu leta hizi document!
mkuu, katika dini kuna mengi sana yaliyojifisha kwa interest ya kanisa siyo interest ya mungu! kumbuka watawala siku zote huamua kipi kiwe na kipi kisiwe kwa namna yoyote ile. kazi ni kwetu kuchambua nje ya box pasipo kuvunja imani juu ya muumba wetu.
Hapa unatakiwa ujue kutofautisha mambo ya kawaida na neno la Mungu
Neno la Mungu ni yeye mwenyewe anaelisimamia,hivyo kuwa makini sana na hii kitu!
 
mkuu,
inasemekana, maria magdalena alikuwa wa mwanafunzi karibu sana na yesu si kwa mapenzi kama wengi wanavyodhani bali kama mtu aliyejiona mkosaji sana na anahitaji ukaribu na huyu aliyemuamini kuwa ametakasa dhambi zake, alitumia muda wake mwingi kujifunza mambo mengi sana juu ya mungu na imani kwa ujumla, kiasi kwamba inasadikika kuwa alijua mambo mengi na alikuwa mfuasi mzuri sana wa yesu. yesu alipokufa maria aliandika yale yote aliyoyaona akiwa na yesu na mambo mengi yesu aliyomfundisha,
Bado hizi ni hisia tu!
na inasemekana kuwa maria ndio alipaswa kuongoza kundi lile la mitume waliokuwa wanafunzi wa yesu lakini kwa vile mila na desturi hazikuruhusu basi akashindikana.
This is a lie!
Kati ya wanafunzi ambao Yesu aliwapenda yupo alietajwa na wenzake hawakuona haya wala aibu kumtaja
Halafu hata wakati wa kwenda kufanya maombi inajulikana wazi ni wanafunzi gani Yesu alikuwa anaenda nao kwenye maombi which mean alikuwa nao karibu kuliko yoyote yule
Kama ni kanisa tu liliamua kuviondoa hivyo vitabu soma ufunuo wa yohana utaona Yesu anavyozungumza na Yohana kuhusiana na kazi ya mitume wote 12!
Hakuna mahali amemtaja Maria magdalena!
na kwa sababu hiyo basi hata kitabu chake kiliachwa kujumuishwa katika vitabu vile sasa mimi sijui je ni kwa sababu alikuwa mwanamke au katika maandiko yake hayo kulikuwa na kitu ambacho kanisa halitaki wakristo wajue mimi sijui.
Mkuu,
Hakuna mtu anaeweza kuzuia matakwa ya Mungu popote pale,kama Maria Magdalena alikuwa na umuhimu wowote ungejulikana tu
Mbona kwenye agano la kale kuna vitabu vilivyoandikwa na wanawake?
Hebu jaribu kufikiia nje ya box mkuu!

haya nimeyapata katika scientific research on the truth about mary magdelen. documentary hiyo ilikuwa inaonesha ancient docs and facts na mwisho walikiri kusema kutokana na uthibitisho wa mambo mengi waliyoyapate juu ya mary wamemalia kwa kusema si kweli kuwa mary alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na yesu bali alikuwa karibu na yesu kama mwanafunzi wake.
Kuwa mwanafunzi wake sina tatizo napo,tatizo ni kuhusu maandiko ambayo inadaiwa yana umuhimu mkubwa kiasi hiki!
 
kama vitabu wanavyodai vimeenguliwa kwa sababu eti vina jirudia content zake kwa nini hatuvioni? kwa nini kanisa haviviweki wazi kuwa hivi vilikuwa ni baadhi ya vitabu wakati huo vilivyoeleza mambo ya yesu au ukristo lakini viko vimoja vimoja hatukuviingiza. kwa nini havijulikani kabisa na hatujawahi kusikia hata kutajwa tu na wachungaji mapadri na wahubiri?
tumewahi kujiuliza hili?

Unaposema kanisa unakuwa unazungumzia nani?
Halafu inaonekana unajiuliza maswali ambayo hata hayapo,hebu fikiria,kama vitabu havijulikani vilipo wamejuaje vipo?
Nani aliviona na wapi?

Ndio maana nakuambia hizo ni hisia tu!
 
Mary Magdalene, ambaye alitolewa mapepo 7 na yesu...(luka 8;2) jina lake linatokana na mahali palipoitwa MAGDALE, maeneo ya galilaya! Kweli kuna uvumi mwingi juu ya mahusiano yake na yesu.....kiasi hata wanafunzi wake nao walikuwa na sintofahamu juu ya mahusiano ya Yesu na huyo mama! Soma Injili ya Mary Magdalene na Injili ya Philip!

Ili kujazia tu nyama katika maandishi ya Iron Lady hapo juu, ningeomba kuwasilisha habari hizi hapa;-

"Interest in Mary Magdalene grew following the discovery of the Nag Hammadi Gnostic Gospels in 1945. The Gospel of Philip explicitly said Jesus kissed Mary Magdalene in the mouth, making the disciples jealous of her. Other gospels in the Nag Hammadi texts also spoke of the intimate relationship between her and Jesus, even referring to her as his "beloved."

In 1945, at Nag Hammadi in southern Egypt, two men came across a sealed ceramic jar. Inside, they discovered a hoard of ancient papyrus books. Although they never received as much public attention as the Dead Sea Scrolls, these actually turn out to be much more important for writing the history of early Christianity. They are a cache of Christian texts. The Nag Hammadi texts tell us about early Christians. They were written in Coptic, the language of early Christian Egypt. As most ancient Christian texts have been lost, this discovery was exceptional. The discovery includes the Gospel of Thomas, the Gospel of Philip and the Acts of Peter. None of these texts were included in the Bible, because the content didn't conform to Christian doctrine, and they're referred to as apocryphal.
 
Labda nikuulize
Una ushahidi wa haya madai yako?

Yapo lakini hayayafanyi madai yako kuwa kweli!

Hapana!

Hebu leta hizi document!

Hapa unatakiwa ujue kutofautisha mambo ya kawaida na neno la Mungu
Neno la Mungu ni yeye mwenyewe anaelisimamia,hivyo kuwa makini sana na hii kitu!

mkuu, neno la mungu ni lipi nani kasema kuwa hilo ndilo? utathibitishaje kuwa hilo ndilo?
mambo ya kawaida ni yapi?
 
Labda nikuulize
Una ushahidi wa haya madai yako?

Yapo lakini hayayafanyi madai yako kuwa kweli!

Hapana!

Hebu leta hizi document!

Hapa unatakiwa ujue kutofautisha mambo ya kawaida na neno la Mungu
Neno la Mungu ni yeye mwenyewe anaelisimamia,hivyo kuwa makini sana na hii kitu!

mkuu ningependa kukuonesha hizo docs lakini zipo katika dvd na sina utaalamu wa kuaatach such a documents. nielekeze nikutumie
 
Back
Top Bottom