Leonardo Da-Vinci

Leonardo Da-Vinci

na mimi najiuliza sana kwa nini kama ni upuuzi watu wanakuwa wakali?
Nikifikaga hapo ndipo ninaposhindwa kuelewa badala ya ku argue with critical point to defend their standing wanakuwa wakali, mara ni upuuzi mara ni ujinga, mara rudini kwa yesu. Wananitia shaka hawa tunaowaita wachungaji,
 
Hakuna mukiristo mjinga kama wewe .. Wakiristo wote wanafundishwa kuwa yesu ni Mungu. Sasa ww ni mkiristo wawapi
 
Wanaotiya shaka kuusu ukiristo hao niwapagani.. Hakuna dini yenyeupendo na uvumilivu hapa duniani kama ukiristo
 
UKristo ni dini isiyokuwa na msimamo... mwongozo wa uhakika... ushahid wa uhakika mara nyingi mambo yao yanajikanganya...... ndio maana mpaka leo miongoni mwa hii dini kuna utofauti mkuubwa saana.... mara pope wawili.. mara kuabudu masanamu ..

Huu mwanya ndio alioutumia da vinci kupata umaarufu.... mpaka hii leo ile picha ya last super... monalisa... ya yesu na zingine nyingi tunazoziamini zimebuniwa na kuchorwa na da vinci... teena nyingi ni za rafiki zake....

Ila si watu wa kukopy na kupest tumechukua picha tunaitumia katika imani..... inauma saana
 
Wanaotiya shaka kuusu ukiristo hao niwapagani.. Hakuna dini yenyeupendo na uvumilivu hapa duniani kama ukiristo
umeongea point sana mkuu.ila uandishi wako unatia ukakasi,sijui hujui kiswahili.we ni mkongoman?
 
Haya yote.... Kanisa la waadventista wasabato SDA. Limeyajibu vizuri sana... Kupitia kwa ufunuo wa roho ya unabii ya mama Ellen g white. Tafuteni vitabu vya huyo nabii msome mtaelewa vizuri.

Kanisa katoliki haliwezi kujibu hoja ngumu za kiroho kama hizi.. Kumbukeni mambo ya kiroho yana ushindani wa akili zisizo za kibinadamu toka mwanzo.. Kwahiyo kutumia akili yako ili ugundue mungu wa kweli ni yupi unajidanganya bure.. Akili yako ni ndogo mno hata kwa akili za kipimo cha mapepo... Kwahiyo ndio maana MUNGU analifahamu hili kwamba hatuwezi, katupa usaidizi wa roho mtakatifu na watumishi wake na biblia takatifu..

Naomba ieleweke kwamba idadi kubwa ya waumini na ukongwee wa dhehebu hakufanyi uhalali wa dhehebu hilo kuwa sahihi kwa mafundisho yake.. Kitendo cha shetani na malaika kuwepo kabla yetu... Ni ishara tosha kwamba hata huyo shetani hatumjui vizuri...sisi tunaishi 100 years... Unakufa kwahiyo info nyingi zina miss... Nikweli kweli sodoma na gomora ilikuwepo ilipigwaa moto na kiberiti jiografia ya hayo maeneo ipo mpaka leo... Na dunia ilishajaa kwa kipindi fulani.... Ikapigwa gharika ya maji... Kama huamini kwann sehemu ya antlantiki ni mfu mpaka leo... Falme kongwe kama babeli zipo mpaka leo... Na Rumi zipo mpaka leo... Kwahiyo watu wengi vile walipotoka hawakumjua mungu wakapigwa maji na mungu.... Sasa tunaona swala la kuwa na wafuasi wengi haimaanishi kwamba wako sahihi kimafundisho.

Kuamini kwamba hakuna dhehebu linalo tunza mapenzi ya mungu 100% ni kujidanganyaa... Kwasabu hakuna wakati wowote mungu aliacha kuwa na watu wake kwenye uso wa dunia hii.... Wapo hata kwa uchache wao wapoo.... Toka enzi na vizazi vyote wapo na wanafanana kwa kila kitu... Japo wanatofautiana nominations.... Kufahamu mungu wa kweli kunahitaji maombi na nia ya dhati muombeni mungu popote ulipo.... Yeye atakutafuta na atakuelekeza utazame wapi... Sio kazi nyepesi hata kidogo. Asanteni sana mungu awabariki.
 
kinachonishangaza kuhusu mchoro wa Monalisa ni madai kuwa hauna chochote cha maana, bali ni mchoro tu.
pia kuna ubishani zile picha hakuchora yeye binafsi bali wafanyakazi wake.
Wataalamu wa picha na falsafa za picha wanasema hiyo picha ina ujumbe mzito sana! Mpaka leo wataalamu wanaendelea kuitafsiri.
 
Nimesoma hii post ni ya mwezi wa 10 mwaka 2013 Nikajiuliza kumbe huyu mwanamama asie na imani ameanza kuwa lopo lopo mropokaji toka siku nyingi humu jukwaani!!!
 
Pia hizo code zake kwenye picha zake wanazielewa zaidi waumini wenzie ambao wengi wao ni biskuti,,,nashangaa mtanzania kuacha kuvisoma vitabu vya maana na kujikita kwenye vitabu vya watu wenye vinasaba hasi vya u homosexuals na wapumbaf Kabisa.
MONALISA, limeetokana na maneno mawili "AMON" and "L'ISA (Isis)"
AMON: mungu (m-ndogo) wa Misri wa uzazi wa mwanamme (God of masculine fertility)
Isis: mungu wa Misri wa uzazi wa mwanamke (Egyptian goddess of fertility) ambaye picha zake za zamani sana zilimtaja kwa jina la L'ISA.
Kwahiyo "AMON L'ISA".......MONALISA.

Leonardo alichora kila picha kwa sababu..Kubwa ikiwa ni kufikisha ujumbe kwa walioweza kudecrypt code katika picha.
Kwakuwa ni mtu aliyeamini feminism zaidi picha ya Monalisa inaonekana ni mwanamke zaidi kuliko mwanaume ila ni kwamba "ina jinsia zote mbili". Na ndio maana Leonardo alihusishwa na Homosexuality.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom