Leonardo Da-Vinci

Leonardo Da-Vinci

Ni kweli familia si jambo la siri, lakini ukumbuke kipindi cha yesu mpaka kifo chake alikuwa "NO BODY" amekuja kupata umaarufu miaka mingi baada ya kifo chake. Kama watu mashuhuri wakina Kaizari koo zao zilifutika kitambo, ni kitu gani kinakufanya uamini kuwa ukoo wa yesu ungeprevail? Hata ukoo wa Yosefu babaake yesu ulishafutika with no single trace!

Hahahahaaa eti Yesu hadi kifo chake aliuwa NOBODY alipata umaarufu miaka mingi sana baada ya Kifo chake maneno kama haya ndio yanayo onyesha uhafifu na udhaifu wa hoja ya kuwa Yesu alimuoa Maria Magdalena kwasababu hamumjui huyo Yesu hata Kidogo sasa kama yeye mwenyewe tu hamumjui mnajifanyaje kuijua familia yake? hebu anzeni kumjua yeye basi japokidogo tu kabla hamjaanza kuzusha hivyo vitu vingine nakupa facts chache kwanini Yesu alikuwa maarufu sana tu wakati bado yupo hai na baada ya Kifo na ufufuko wake
1. Yesu alikimbilia Africa (Misri) akiwa na miaka miwili kwasababu alikuwa anatafutwa na Herode auwawe kwa kuwa alipewa taarifa kuwa Mfalme amezaliwa kwasababu ya Yesu watoto wote wa kiume kuanzia Miaka miwili kushuka chini waliuwawa kwa lengo la kumuu Yesu - Kwa hivyo unaona Yesu alikuwa Maarufu tangu anazaliwa achilia mbali miaka mingi baada ya yeye kufa na hadi leo bado ni maarufu sana na ndo anawafuasi wengi kulimko yoyote yule
2.Aliwalisha watu elfu tano (bila kuhesabu wanawake na watoto) kwenye mkutano wake - kwa population ya wakati huo kukusanya watu elf tano (bila kuhesabu wanawake na watoto) haikuwa kazi rahisi na lazima uwe mtu maarufu sana - Unaona umaarufu wa Yesu mkuuuu!!!

3. Wayahudi waliamua aachiwe Baraba na Yesu afe kwasababu amejiita mfalme wa Wayahudi na pale msalabani waliandika huyu ni mfalme wa Wayahudi - hii ni wazi kuwa alijulikana na wayahudi wote rejea wakati anaingia Yerusalemu umati ulivyompokea na kumwita Mfalme wa Wayahudi - Na hiyo ndio sababu kubwa Pilato alimuhukumu Yesu japokuwa ilishaandikwa hivyo

4.Alivyofufuka Watawala walijitahidi sana kuficha habari zake wakasema wawaambie watu kuwa wanafunzi wake wamemuiba -Kwanini wafiche habari za ufufuo wake if he was nobody?

Ukihitaji mifano zaidi niambie
 
Uko sahihi mkuu, vitabu vingi mno vimefichwa vyenye mambo makubwa. Hapa ukiwaambia watu kuwa Yesu aliwahi kuuwa alivyokuwa mtoto watasema abomination..lol!

Hakuna Abomination ya Yesu kuuwa sometimes Yesu alikuwa mkorofi na yeye kulingana na mazingira kumbuka alivyozipindua meza za wafanyabiashara hekaluni kwa kuligeuza hekalu la bwana kuwa pango la wanyang'anyi by the way hata akiua yeye ndio aliyeumba so ana haki ya kutoa na kutwaa na hakuna wa kumuuliza HE IS THE SOURCE OF LIFE
 
Huenda tunazungumzia level tofauti za umaarufu, nlichotaka kuonesha ni kuwa umaarufu wa namna yoyote kwa zama ile hauwezi kufanya ukoo usurvive mpaka leo!
 
Enzi zile ungeweza kutamka hivyo?
 
leonardo da vinci ni moja ya wanasayansi waliojaribu kufanya kila aina ya ubunifu . Aliweza fanya ubunifu wa mwanzo kabisa wa baroon, aliweza kubuni aina ya mwanzo kabisa ya kifaru [kifaa cha vita] na vingine vingi…lakini pia alikua na kipaji cha ajabu cha uchoraji mfano picha maarufu ya monarisa. Lakini kitu kilicho amsha umakini juu ya mtu huyu ni suala lake la kudai ya kuwa yesu kristu alimuoa marry Magdalena na alikua na watoto wawili ambao kizazi chao kipo huko ulaya..kwa ufupi ni hayo tu

Hata nami nimebahatika kusoma kitabu cha Da-Vinci Code na mwisho ana-conclude kwa tahadhari kwamba kila mtu anuhuru wa kufikiri au kuchambua zaidi katika jambo lolote; uchambuzi wake umebase kwenye mambo ya kufikirika zaidi.
 
Huenda tunazungumzia level tofauti za umaarufu, nlichotaka kuonesha ni kuwa umaarufu wa namna yoyote kwa zama ile hauwezi kufanya ukoo usurvive mpaka leo!

Weka kando level yeyote ya umaarufu, kati ya watu wote maarufu waliowahi kutokea, Yesu anaendelea kuwa maarufu kuliko wote.

Kama wameweza kufikiria kwamba alikua na mahusiano na Marymagdalena, isingekua rahisi zaidi kwao kufuatilia na kujua zaidi habari za hao watoto wake?
 
Huenda tunazungumzia level tofauti za umaarufu, nlichotaka kuonesha ni kuwa umaarufu wa namna yoyote kwa zama ile hauwezi kufanya ukoo usurvive mpaka leo!

Ni nini kinachofuta ukoo? Ulitaka awe na umaarufu gani ili huo ukoo wake uendelee kuwepo hadi leo? Nadhani hamna aliyepata kwa maarufu zaidi ya Kristo hadi leo hii alianza kuwa maarufu miaka 2000 iliyopita na hadi leo hii bado ni maarufu sijui ulitaka awe maarufu kivipi au ulitaka awe kivipi
 
hebu uwekeni hapa ili tujielimishe hata ambao hatujawahi kuuona mkuu.

  • The person depicted in Leonardo da Vinci's "Mona Lisa" is perhaps the most recognizable woman in the world. The subject of songs and the inspiration for films, her image can be found on everything from T-shirts to coffee mugs. She's so familiar that some people report feeling a let-down upon finally seeing the painting in person. Measuring only 30 by 21 inches (77 by 53 centimeters), the "Mona Lisa" sits behind a bulletproof case in Paris' Louvre, attracting thousands of visitors daily, many of whom could probably get a better view of the painting on a computer screen or in a book.

  • So, what's the attraction? Few would argue it's her beauty. The more likely answer is the mystery surrounding her identity and how Leonardo da Vinci captured her essence and subtle smile with great precision.
    First, who is the woman pictured in the "Mona Lisa"? Some people speculate she was actually male, while others have suggested she represents the ideal of womanhood. Today, it is commonly believed she was Lisa Gherardini, the wife of Florentine silk merchant Francesco del Giocondo, a friend of the artist. The portrait was commissioned around 1503, but the Giocondos never took possession of it. Da Vinci kept the painting until his death. It eventually became the property of King Francois I of France. Passed down through the French court, the "Mona Lisa" has spent the majority of its life hanging in palaces and museums [source: Louvre].

  • From an artistic standpoint, the "Mona Lisa" represented a new formula both for da Vinci and 16th-century portrait painting. Because the artist used a technique called sfumato, meaning "vanish" or "evaporate," the subject of the painting, with her glowing skin, appears almost real. Critics agree, the Mona Lisa also conveys a powerful sense of harmony both in her features and against the background, a result of da Vinci's understanding of anatomy and his ability to calculate perspective mathematically [source: PBS].

  • However, it's Mona Lisa's enigmatic smile and gaze that has most intrigued her many admirers. The facial expression in the painting seems to suggest happiness, but that can change depending on how it is viewed. Again, this was an intentional device used by da Vinci who used his understanding of anatomy, light and perspective to create a "dynamic" facial expression, rather than a static one [source: Callaway].

Source: Bonyeza hapa
 
Mkuu naona kuna maswali mawili hapo ya Msingi kwenye comment yako moja ni kwanini watu Wamzushie? Pili ni kwanini vitabu vyote havikuingizwa kwenye biblia.Ntajaribu kukujibu kwa kadri ya uwezo wangu na kwa bahati nzuri comments zako zinaonyesha ni mtu unayeweza kuargue kwa facts na bila dharau/dhihaka kwa anayetofautiana mawazo na wewe
1. Kwanini wamzushie - Utakubaliana na mimi kuwa watu wasiokupenda au maadui zako wanaweza kufanya lolote kukuharibia kwa namna yoyote ile so sio kila mtu anaipenda imani ya Ukristo na hivyo watafanya kila hila ili kuonyesha Imani hiyo na muanzilishi wake hawana maana kuna maadui wengi sana wa ukristo na wameshafanya mengi sana kuonyesha kuwa ukristo na huyo Yesu mwenyewe havina maana na wapo waliodiriki hata kusema ya Kuwa Yesu hakuwahi kutokea duniani (Sasa sijui hata hiyo idea ya Yesu ilitoka wapi hawaelezi) wapo waliosema Yesu hakufa na kufufuka sasa kama wameweza kuzusha ya Kuwa hakuwahi kuja Duniani na baadae wakakurupuka tena wakajikana wakasema oooh ndio alikuwepo lakini hakufa wala kufufuka watashindwa nini kuzusha ya kuwa alitembea na kuzaa na Maria Magdalena? Mbona uzushi huu ni mdogo kuliko wa kutokuzaliwa/kuja duniani au ule wa kutokufa na kufufuka?

2. Kwanini vitabu vyote havikuweka kwenye biblia? Ndugu yangu vitabu vyote vya agano jipya viliandikwa baada ya Yesu kufufuka na kupaa mbinguni na vilianza kuandika takribani miaka hamsini baada ya Yesu kupaa mbinguni vitabu hivyo vilikuwa vinaelezea maisha ya Yesu,Maisha ya Mitume na Wakristo wa Kwanza na hivyo kupelekea watu wengi sana walio ona matukio hayo kuandika vitabu mbalimbali kwa mfano kuna vitabu vingi sana vilielezea maisha ya Yesu lakini ni vinne tu (Injili) ndivyo unavyovikuta kwenye biblia sababu ni kuwa Maisha ya Yesu yalikuwa na mambo mengi sana ya kuandikia na hata kwenye biblia imeandikwa (siukumbuki ule mstari ila nadhani ni Luka au Mathayo ) Kila kitu kuhusu Yesu kingewekwa kwenye maandishi basi ulimwengu mzima usingetosa kujaza hivyo vitabu offcourse akimaanisha ni vingi sana kumbuka kila siku ya Yesu hapa duniani ilitosha kuandikia kitabu kuna mambo mengi sana yaliandikwa mathali kuna injili ambayo ilielezea utoto wa Yesu jinsi alivyokuwa akicheza na wenzake alikuwa na uwezo wa kutengeneza ndege wa udongo akawapulizia pumzi na wakapeperuka,jinsi alivyokuwa anawasaidia watoto wenzake wasipigwe majumbani wakichelewa kurudi na offcourse jinsi alivyokuwa anawawajibisha watoto wenzie waliokuwa wanajifanya wababe na kumpiga sasa kanisa lililazimika kuchambua baadhi ya vitabu tu na kuviingiza kwenye biblia ili kuepuka kuwa na biblia ndefu sana inayoweza kufanya watu wakashindwa kuisoma kwa ukubwa wake na wakaamua kuweka vitabu vichache tu vyenye umuhimu na kutujenga kiroho.
Nadhani nimejaribu kidogo kukujibu mheshimiwa

1. Kanisa ndio nani huyo mwenyewe uwezo wa0kuchambua baadhi ya vitabu vikaachwa !?
2. Vilivyo achwa vilithibitika si vya kiroho ? Kwa ushahidi gani ?
3. Hivyo vitabu iwapo vingejumuishwa, Biblia ingekuwa na ukubwa gani ?!
 
Hakuna Abomination ya Yesu kuuwa sometimes Yesu alikuwa mkorofi na yeye kulingana na mazingira kumbuka alivyozipindua meza za wafanyabiashara hekaluni kwa kuligeuza hekalu la bwana kuwa pango la wanyang'anyi by the way hata akiua yeye ndio aliyeumba so ana haki ya kutoa na kutwaa na hakuna wa kumuuliza HE IS THE SOURCE OF LIFE

Kwahiyo alipo kufa msalabani, aliye waumba yeye mwenyewe ndio walio muua !?
Aiseeh !
 
Ni kweli familia si jambo la siri, lakini ukumbuke kipindi cha yesu mpaka kifo chake alikuwa "NO BODY" amekuja kupata umaarufu miaka mingi baada ya kifo chake. Kama watu mashuhuri wakina Kaizari koo zao zilifutika kitambo, ni kitu gani kinakufanya uamini kuwa ukoo wa yesu ungeprevail? Hata ukoo wa Yosefu babaake yesu ulishafutika with no single trace!

Upum.bavu mzigo kweli, Yesu alikuwa ''Subject of the formular'' wengine waliingia kwenye story ''by the way'' si kweli kwamba koo zao zilifutika,bali hawakuwa na uzito wa kuendelea kuandikwa,kilichoandikwa juu ya hao watu ni kikubwa mno ukitilia maanani wao ni watu tu ambao Bwana Yesu Kristo alikuwepo kwao na wakauona utukufu wake lakini hawakuwa sehemu Muhimu sana katika mission nzima ya Yesu,kwa kadri ya walivyostahili scrpts zao zimeoneshwa na ndiyo ilikuwa sehemu yao,iliyobaki ni ya Yuleee ALIYEBADILISHA HATA MAJIRA YA DUNIA. Kwani hili nalo gumu kulitambua ?
 
Hivi unaelewa mazungumzo yalianzia wapi kati yangu na mtu nniliyekuwa namjibu au umedandia treni bila kujua inatoka wapi na kwenda wapi!!...hayo ndiyo madhara ya werevu wa kipumbav!
 
Hivi unaelewa mazungumzo yalianzia wapi kati yangu na mtu nniliyekuwa namjibu au umedandia treni bila kujua inatoka wapi na kwenda wapi!!...hayo ndiyo madhara ya werevu wa kipumbav!

Bila kujali wapi ulianzia kuhoji kukatika kwa story juu ya Joseph na Marry Magdalene ni Upum.bavu,kama hutaki shauri yako, Bwana Yesu ndiye Mkuu wa mission nzima,wemngine walikutwa tu kutokana na wakati na mazingira ndiyo maana hata kama koo zao ziliendelea hawakuwa muhimu katika Ukombozi...
 
Bila kujali wapi ulianzia kuhoji, kukatika kwa story juu ya Joseph na Marry Magdalene ni Upum.bavu,kama hutaki shauri yako, Bwana Yesu ndiye Mkuu wa mission nzima,wemngine walikutwa tu kutokana na wakati na mazingira ndiyo maana hata kama koo zao ziliendelea hawakuwa muhimu katika Ukombozi...

bwahahaaahaa, nimecheka kwa sauti mpaka nimemshtua kijana wangu alikuwa kasinzia zake!...hebu isome vizuri hiyo sentensi kwenye red!
 
Hapa ndipo wanaJF tunatakiwa tusome zaidi na kuelewa sana.Kuna Conspiracy Theories nyingi sana ambazo zinaendeshwa na watu mbali mbali kuhusiana na vitu vingi tu hasa hasa masuala ya imani.Wachangiaji wote wa uzi huu wameelezea kuhusiana na Leonardo Da Vinci lakini hawajaelezea kisa kilichosababisha watu Fulani Fulani wazushe ya kuwa Yesu Kristo alikuwa na mke na alizaa.Leonardo Da Vinci alikuwa mwanasayansi mzuri aliyefanya ubunifu wa vitu vilivyokuja kuboreshwa na wanasayansi wa zama zetu.Mbali na kubuni vitu kama vifaru vya kivita vilivyoboreshwa kipindi cha vita kuu ya I ya dunia alikuwa mchoraji mzuri.Usanii wake aliufanya Italia kwenye makanisa ya RC na hasa kwa katika makazi ya papa na majengo mbali mbali.Alichora michoro mingi na mingine alikufa bila kuimaliza na wasaidizi wake na watu waliokuwa karibu waliimalizia.Michoro maarufu zaidi ni The Last Supper,Monalisa na ule unaoonesha watu kadhaa wasio na nguo wamesimama .

Ili kujua zaidi kuhusu uzushi huu inabidi umjue DAN BROWN mtunzi wa vitabu kadhaa ambavyo kiubunifu anaibua madai kuwa Yesu alimuoa Maria Magdalena na wakazaa watoto.Kitabu hicho kinaitwa THE DA VINCI CODE
wcg8lrsopYPvAAAAABJRU5ErkJggg==
ambacho pia kimetengenezewa filamu iliyoigizwa na mhusika mkuu ni Tom Hanks.Vitabu vyake vingine ni DIGITAL FORTRESS,DECEPTION POINT,INFERNO,THE LOST SYMBOL na ANGELS AND DEMONS. Unaweza kutembelea hapa nilipogoogle The Da Vinci Code - Dan Brown - Google Books

Vitabu vyote hivi ni Fiction ambayo maana yake kwa mujibu wa Concise Oxford English Dictionary toleo la 11 maana yake ni Prose literature,especially novels describing imaginary events or people,a thing that is invented or untrue na a false belief or statement,accepted as true because it is expedient to do so.Maana ya neno expedient inamaanisha convenient and practical although possibly improper or immoral.
Ni kweli kuna vitabu ambavyo vilikataliwa na watheologia wa madhehebu ya kiprotestanti walivikataa kuingia katika Biblia sababu ikiwa zilikuwa ni hadithi ambazo waliona havifai kuwa neno la Mungu.Vinaitwa vitabu vya APOKRIFA mfano Hekima ya Yoshua Bin Sira,Beli na Joka,Wamakabayo nimetajaavichache.
Kwa kumalizia Leonardo Da Vinci alichora picha na alibuni vitu vizuri ambavyo leo wajuzi wasioamini na wenye malengo tofauti wanatumia sanaa zake kuwapotosha wengi.Si kweli Yesu alimuoa Maria Magdalena na walipata watoto.
Nakaribisha mawazo mbadala na uchangiaji mpana zaidi kuhusu mada hii

Nimepata kitu hapa...Mkuu naona una nondo za kutosha naomba uendelee kumwaga nondo...
 
mkuu hebu tuambie kwa nini watu wamzushie.........kaka hao wanatheologia waliokataa vitabu coz ni simulizi ndio walionza kuijua siri na kuzificha...kama bible iliandikwa kwa uwezo wa roho mtakatifu...nani aliwapa mamlaka wanatheologia kutambua huyu alikuwa na upako na huyu hakuwa na upako waite maandishi yake ni simulizi......ndugu kumbuka mengi sana yamefichwa na utawala wa Roma..kiasi ambacho yakifumuka..unaweza kuona aibu kuitwa mkristu

Una uhakika kuwa vyote vviliandikwa kwa uwezo wa roho mtakatifu?

Na kama ni hivyo kwanini tu usiufikirishe ubongo wako na kujua kuwa hata hao waliovichambua nao waliongozwa na roho mtakatifu?
 
1. Kanisa ndio nani huyo mwenyewe uwezo wa0kuchambua baadhi ya vitabu vikaachwa !?
2. Vilivyo achwa vilithibitika si vya kiroho ? Kwa ushahidi gani ?
3. Hivyo vitabu iwapo vingejumuishwa, Biblia ingekuwa na ukubwa gani ?!

Naomba nisikujibu kwasababu inaonyesha uelewa wako ni mdogo sana kama hata hujui kanisa ni nini unatakaje tujibishane na wewe habari za kanisa na ukristo ndugu yangu Ally? Mimi na wewe nadhani ni bora tukabishana kuhusiana na CUF,CCM na CDM kuliko habari za Imani tayari unaimani/mawazo yako juu ya Kanisa na ukristo hata nitoe povu vp kukueleza huwezi nielewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom