Leonardo Da-Vinci

Leonardo Da-Vinci

Unaposema kanisa unakuwa unazungumzia nani?
Halafu inaonekana unajiuliza maswali ambayo hata hayapo,hebu fikiria,kama vitabu havijulikani vilipo wamejuaje vipo?
Nani aliviona na wapi?

Ndio maana nakuambia hizo ni hisia tu!

mkuu maswali ndio msingi wa ufahamu, lakini unanishutumu kuwa nauliza maswali ambayo hayapo huku kutokuwapo unaweza kukutolea maelezo?
 
Bado hizi ni hisia tu!

This is a lie!
Kati ya wanafunzi ambao Yesu aliwapenda yupo alietajwa na wenzake hawakuona haya wala aibu kumtaja
Halafu hata wakati wa kwenda kufanya maombi inajulikana wazi ni wanafunzi gani Yesu alikuwa anaenda nao kwenye maombi which mean alikuwa nao karibu kuliko yoyote yule
Kama ni kanisa tu liliamua kuviondoa hivyo vitabu soma ufunuo wa yohana utaona Yesu anavyozungumza na Yohana kuhusiana na kazi ya mitume wote 12!
Hakuna mahali amemtaja Maria magdalena!

Mkuu,
Hakuna mtu anaeweza kuzuia matakwa ya Mungu popote pale,kama Maria Magdalena alikuwa na umuhimu wowote ungejulikana tu
Mbona kwenye agano la kale kuna vitabu vilivyoandikwa na wanawake?
Hebu jaribu kufikiia nje ya box mkuu!

Kuwa mwanafunzi wake sina tatizo napo,tatizo ni kuhusu maandiko ambayo inadaiwa yana umuhimu mkubwa kiasi hiki!

sasa mkuu,
unazungumzia kitabu cha ufunuo kutokutajwa kwa maria je kutokutajwa hapo ndio kunathibitisha kutokuwapo kwa injili ya maria magdalena?
unathibitisha usemi wangu kuwa unashikilia yale tu uliyofundishwa kanisani kwako au yale yaliyomo tu katika vitabu ulivyofundishiwa.
kumbuka vitabu hivi viliandikwa kwa lugha za wakati huo na sio kingereza wala kiswahili je mimi na wewe tunathibitisha vipi kuwa havijawa edited wakati wanatfsiri kiingereza?
mimi ni muumini mzuri sana wa imani ya mungu na kristo na ninampenda mungu sana, ila sina imani sana na dini na utawala wake wote na baadhi ya mambo ya kanisa.
 
kuna baaadhi ya wakristo hawapendi kabisa kuhoji mambo ya kanisa na imani kwa ujumla hata ukimwambia vinginevyo hataki hata kukubali hata kama ni kweli. mimi ni mkristo lakini nimejiruhusu kuhoji kila ninapoona inahitajika kufanya hivyo. na kamwe kuhoji kwangu hakutawahi kuja kunivunjia imani yangu juu ya mungu ila kuna imarisha kila siku. ila kila siku ninapohoji juu ya makanisa na taratibu za kuaabudu za makanisa huwa napata tabu sana kuziamini baadhi ya taratibu. ambazo zimejengwa na watu kama mimi na wewe. na kila mmoja akisema ndio taratibu sahihi au kafunuliwa na mungu kufanya hivyo.

imeandikwa tuitafute kweli nayo itatuweka huru.
kama watu wanaogopa kuhoji hiyo kweli itapatikana wapi?
kama kanisa linawaficha watu mambo fulanifulani je hiyo kweli itapatikana wapi?
kama kanisa linawaona wanaohoji wamepotoka je hiyo kweli itapatikana wapi?
 
kuhsu dini sijui sana, lakini kiwangao cha kuwaamini wazungu kulinganisha na imani zeu za jadi, walituletea dini leo tuna mashaka, wala;eta computer tumeziamini na mdiyo tunatumia kujadili mambo ya dini. tutafakari kwa upana
 
mkuu maswali ndio msingi wa ufahamu, lakini unanishutumu kuwa nauliza maswali ambayo hayapo huku kutokuwapo unaweza kukutolea maelezo?

Hebu rudia kuisoma post yako niliyoku-quote nikaandika haya huenda ukaelewa ninachomaanisha!
 
sasa mkuu,
unazungumzia kitabu cha ufunuo kutokutajwa kwa maria je kutokutajwa hapo ndio kunathibitisha kutokuwapo kwa injili ya maria magdalena?
Unajua kuwa kitabu cha ufunuo kinazungumzia nini?
unathibitisha usemi wangu kuwa unashikilia yale tu uliyofundishwa kanisani kwako au yale yaliyomo tu katika vitabu ulivyofundishiwa.
Inaonekana hujanielewa!
Mimi sio muumini wa kanisa lolote mimi ni mfuasi wa Yesu Kristo tu
Wala sio mfuasi wa mafundisho yoyote yale
Unapodai haya nashindwa kukuelewa kabisa!
kumbuka vitabu hivi viliandikwa kwa lugha za wakati huo na sio kingereza wala kiswahili je mimi na wewe tunathibitisha vipi kuwa havijawa edited wakati wanatfsiri kiingereza?
Unaamini Yesu ni halisi na kwa ushahidi gani?
Yaani unaamini Yesu sio mtu wa kutunga?
mimi ni muumini mzuri sana wa imani ya mungu na kristo na ninampenda mungu sana, ila sina imani sana na dini na utawala wake wote na baadhi ya mambo ya kanisa.
Hii imani umeitoa wapi?
 
kuna baaadhi ya wakristo hawapendi kabisa kuhoji mambo ya kanisa na imani kwa ujumla hata ukimwambia vinginevyo hataki hata kukubali hata kama ni kweli. mimi ni mkristo lakini nimejiruhusu kuhoji kila ninapoona inahitajika kufanya hivyo. na kamwe kuhoji kwangu hakutawahi kuja kunivunjia imani yangu juu ya mungu ila kuna imarisha kila siku. ila kila siku ninapohoji juu ya makanisa na taratibu za kuaabudu za makanisa huwa napata tabu sana kuziamini baadhi ya taratibu. ambazo zimejengwa na watu kama mimi na wewe. na kila mmoja akisema ndio taratibu sahihi au kafunuliwa na mungu kufanya hivyo.
Kuhoji utaratibu wa kuabudu sawa
Ila kuna mambo kama kuwa na wasiwasi na maandiko matakatifu huko ni kumtilia mashaka Mungu mwenyewe!
imeandikwa tuitafute kweli nayo itatuweka huru.
kama watu wanaogopa kuhoji hiyo kweli itapatikana wapi?
kama kanisa linawaficha watu mambo fulanifulani je hiyo kweli itapatikana wapi?
kama kanisa linawaona wanaohoji wamepotoka je hiyo kweli itapatikana wapi?
Ukweli wote upo kwenye neno la Mungu hakuna pengine
Kama unafichwa kuisoma Biblia hapo ndipo unafichwa ukweli wote na una haki ya kuhoji!
Mengine ni longolongo tu!
 
Kwani wewe unamuabudu Mungu gani?
Anaitwa nani?

namuamini mungu aliyeumba mbingu na dunia na vyote vilivyomo, aliyekuwapo yupo na atakuwapo milele. mungu huyo wengine wametokea kumuita yehova, lakini ndiye mungu huyo aliyekuwa wa wa musa yakobo isaya na wengine wengi.

mungu hana jina. ni mungu.
nafikiri nimejaribu kukujibu.
 
Kuhoji utaratibu wa kuabudu sawa
Ila kuna mambo kama kuwa na wasiwasi na maandiko matakatifu huko ni kumtilia mashaka Mungu mwenyewe!
Ukweli wote upo kwenye neno la Mungu hakuna pengine

Kama unafichwa kuisoma Biblia hapo ndipo unafichwa ukweli wote na una haki ya kuhoji!
Mengine ni longolongo tu!

kiongozi,
maandiko matakatifu ni yapi? wewe unathibitishaje kuwa hayo ni matakatifu? kwanza umejuaje kuwa ni matakatifu?
je ni kwa sababu umefundishwa hivyo?
 
Umesema wewe unamuamini Mungu wa Ibrahuimu Isaka na Yakobo,huyu Mungu umemjuaje?
Kwanini unamuamini?
Nani alikuambia ndiye muumba wa vyote?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom