Sasa ulale kwani ye mkeo?Wakuu niko dilema haya ni maneno ya mzazi mwenzangu ambae sasa kaolewa ila tu nilibahatika kupata nae mtoto mmoja bwana wake aliemuoa husafiri sana mikoani sasa huwa naenda kumuona mwanangu na kama mumewe hayupo basi najipumzisha hapo au yeye aje kwangu.
But ghafla leo nimemtumia ujumbe kaniambia leo niende K ntapata ila kulala haitawezekana wakuu nifanyaje nahsi huyu mzazi mwenzangu ana bwana mwingine tofauti na mumewe kwanini anizuie kulala hapo kwakwe,?
Nipeni ushauri wakuu
Tena chai bila sukariChai kavu
Tatizo ni umri tu, kuna umri ukitaka kuoa lazima umuoe mzazi, au chukulia umeachana mama watoto wako ambae umezaa nae watoto watatu, alafu ukamuoe binti ambae hajazaa.Mkiambiwa msioe wanawake waliozaa hamtaki, cheki msela anajilia kiulain
ndo anautafta huo mchezo akiuanza tu baadaye makonda anamshughulikiaila huyu sio wale wanaotafutwa na makonda kweli
hahahaPipa na mfuniko mmekutana