Leo ugegede na kuondoka hakuna kulala

Leo ugegede na kuondoka hakuna kulala

Wakuu niko dilema haya ni maneno ya mzazi mwenzangu ambae sasa kaolewa ila tu nilibahatika kupata nae mtoto mmoja bwana wake aliemuoa husafiri sana mikoani sasa huwa naenda kumuona mwanangu na kama mumewe hayupo basi najipumzisha hapo au yeye aje kwangu.

But ghafla leo nimemtumia ujumbe kaniambia leo niende K ntapata ila kulala haitawezekana wakuu nifanyaje nahsi huyu mzazi mwenzangu ana bwana mwingine tofauti na mumewe kwanini anizuie kulala hapo kwakwe,?

Nipeni ushauri wakuu
Mmmmmmh hatar saaaana kuoa mke ambaye anamtoto afu isitoshe hao watu bado wanawasiriana, ni kher kuoa mke mwenye mtoto ila baba wamtoto kashajifia, lasivyo ni uchafu nwanzo mwisho
 
Mmmmmmh hatar saaaana kuoa mke ambaye anamtoto afu isitoshe hao watu bado wanawasiriana, ni kher kuoa mke mwenye mtoto ila baba wamtoto kashajifia, lasivyo ni uchafu nwanzo mwisho
Teh hata wanawake tusiolewe na wanaume wenye watoto unless baby mommas zao wamefariki.
 
Wote mmekutana ufahamu mmekopesha

She is married afu still uhusiano na baby daddy unaendelea na mnalala naye kwenye kitanda anacholala na mumewe

Unaanzaje kwenda kulala na mwanamke nyumbani anapoishi na mume wake? Vya bure vitakutokea puani. Afu si mrudiane tu ili mlane kwa uhuru na msiumize hao mlionao?

sasa kwa mtindo huu kwanini kusiwe na thread za mawazo ya kuwa mwanamke akishazaa usiwe nae? Awali awali tu, hamna mbovu
 
Ni kweli, hata mwanaume akishazalisha hafai

Kila kukicha wanatafutwa, na asilimia kubwa ya hao wanawake huwa na moyo wa upendo na wanetu ila pilipili kwa mama watoto.

Ila mwanamke bana akishampenda yule na wakawa na kiunganishi hicho. wengine taabu kwelikweli. Wanaume watarudi kwa tamaa ila kwakua mnapenda na kiunganishi kipo basi inachochea kuongeza na kufufua hisia za zamani.
 
Tuache double standards hapa. Huyo single maza anapasha kiporo na nani? Kama sio baby daddy aliyezaa naye, ambaye na yeye ana mke mwingine tayari? Ni vizuri waliozalishana waoane wenyewe basi
 
Wakuu niko dilema haya ni maneno ya mzazi mwenzangu ambae sasa kaolewa ila tu nilibahatika kupata nae mtoto mmoja bwana wake aliemuoa husafiri sana mikoani sasa huwa naenda kumuona mwanangu na kama mumewe hayupo basi najipumzisha hapo au yeye aje kwangu.

But ghafla leo nimemtumia ujumbe kaniambia leo niende K ntapata ila kulala haitawezekana wakuu nifanyaje nahsi huyu mzazi mwenzangu ana bwana mwingine tofauti na mumewe kwanini anizuie kulala hapo kwakwe,?

Nipeni ushauri wakuu
Natoa onyo kwako kama ndugu. Tabia hiyo siyo nzuri kabisa. Kama ulikuwa na mahusiano naye na mkafikia hadi kuzaa mtoto halafu mkaona haifai kuendelea na uhusiano huo inakuwaje wewe unakubali kuwa kiraka? Umepitiwa na nini kichwani mwako? Sababu za kuachana kwenu zimebadilika? Wanawake wote hawa huwaoni mpaka udandie mke wa mwenzio? Halafu ati unaenda kabisa nyumbani kwa mumewe, unanini wewe? Huioni tatizo kwako au kwa huyo mwanamke? Na utaridhika mtoto wako atunzwe na mwanaume mwingine!

Kwa kweli katika hili sina lugha ya staha zaidi ya kusema kunatatizo kubwa sana sehemu fulani katika wewe. Kama kweli unataka ushauri basi ushauri wangu ni huu:achana kabisa na mambo hayo. Tafiti mwanamke wako. Chukua mtoto wako mlee mwenyewe. Ni hayo tu. Samahani kwa lugha kali lakini yote haya ni katika kujengana.
 
Wewe mwenyewe ni mwizi so don't complain brother yaan kama vip acha kabisa hiyo tabia
 
Tatizo mnaanzisha threads nyingi za kutoa threats kwa wale wanaotaka kuwaoa hao single mothers! Siyo poa kabisa. Naona thread nyingi zinaelezea namna ambavyo single mothers wanakatisha tamaa endapo ataolewa na mwanaume mwingine.

Wakati mnaandika hayo huku mengi yakiwa ni porojo mkumbuke kuwa;
1) Humu wako single mothers na wanakatishwa mno tamaa na hizo threats zenu.
2) Kuna waliooa tayari single mothers na wanakerwa sana na hizo porojo mnazoanzisha kila siku.
3) Wamo wanaotarajia kuoa single mothers hivyo threats zenu zinawafanya kuwa na mawazo mengi na kuchelea kufanya maamuzi.
4) Humu wamo single mothers wanaotarajia kuolewa na wanaume wengine nje ya waliowazalisha hivyo threads zenu zinawasononesha na kuwafanya wajihisi kama wakosaji sana.
5) Wamo single mothers wenye mahusiano mapya msiwafanye wawe na msongo wa mawazo kila wasomapo hizi porojo zenu

Halafu utakuta kila kithread kinachozungumzia hizi ishu za single mothers kinaletwa in such a way that kinawaonyesha hao single mothers bado ni cheap meat kwa waliowazalisha! Haya kwa asilimia kubwa ni uzushi wa hali ya juu! Single mothers wanawachukia sana waliowazalisha kisha wakawatelekeza! Sijawahi kuona single mother yoyote katika maisha yangu aliyewahi kumuwazia mtu aliyemzalisha kisha akamtelekeza why humu JF kama siyo porojo tu???

Acheni kuleta upuuzi humu kuendelea kuwaumiza! Walishateleza na wengi wao hufanya toba ya kweli!

Eti nimeambiwa nitagegeda kisha nisepe! Thread ya kipuuzi kabisa.

Muwe mnajifunza namna ya kuishi kwenye jamii kutoka kwa wenzetu wa magharibi na siyo kukalia majungu tuu
 
Wote mmekutana ufahamu mmekopesha

She is married afu still uhusiano na baby daddy unaendelea na mnalala naye kwenye kitanda anacholala na mumewe

Unaanzaje kwenda kulala na mwanamke nyumbani anapoishi na mume wake? Vya bure vitakutokea puani. Afu si mrudiane tu ili mlane kwa uhuru na msiumize hao mlionao?
Kitu ukiwanacho hukioni thamani yake ila kikiwa kwa mwingine ndipo huwa kitamu
 
Ha ha ha aise kuna watu wanacheza michezo ya hatari, hii lazima kuna kitu kitamtokea tena hivi anatahadharishwa yeye anajifanya kuona wivu. Alafu inaonyesha ujana tu ndiyo uliwatenganisha, iweje mke alie kuwa kwenye himaya yako mpaka umezaa nae, leo ukale nae uroda kwa wizi.

Muacheni aendelee kuchezea nyeti za simba. Af si wewe, wala huyo mwanamke nyie wote wachafu. Wewe mwanaume utaendaje kulalia kitanda cha mme mwenzio? Af huyo mwanamke nae zoba tu. Utamretaje mwanaume ndani kwenye kitanda cha mmeo! Sasa haya mnayoyatenda kesho watoto wakiwaiga muanze longo longo kwamba watoto wa siku hizi! Watu wengine mnakera sana.
 
Back
Top Bottom