Leo ugegede na kuondoka hakuna kulala

Leo ugegede na kuondoka hakuna kulala

Unajiita mwanaume Au mvulana kwa sifa ka yako. Umezaa nae sio kigezo cha kuendelea kuwa na uhusiano wa kimapenzi huo Ni ujuha na kamwe usijisifu. Unaenda kulala kwa mwanaume mwenzio hadi kunakucha umekosa hela ya lodge? Ufala huo. Ushaona manyunyu unahisi Ni jua. Kaa hapo
 
mambo ya kuoa single mother kumbe matatizo hivi kweli
kaka yangu asioe hawa watu
 
Ungemshtaki kwa mume wake. Hana nidhamu huyo mwanamke kabisa. Mumewe akiridhia mkamshtaki kwa wazazi wake kwa kuwasalitini
 
Huna haki yoyote hapo, kama mlizaa ni zamani na kwa sasa ni mke wa mtu huyo, so usijipe full right hadi kuja kuomba ushauri humu tena kwa mambo ya kipuuzi.
 
mwambie jamaa/mme wake kuwa mke wake ana mwanaume mwengine wa tatu tofauti na nyie wawili.
 
Wewe Ni dhaifu una mwenye mtoto, hao fresh walikushinda pole sana, u
Basi poa kama ni kweli. Mleta mada ameomba ushauri, nami nimemshauri. Ingefaa zaidi umempa ushauri wako kuliko kuni-attack kwa ushauri niliompa. Mwisho wa siku yeye ataamua ushauri gani ni bora kwake!
 
Wakuu niko dilema haya ni maneno ya mzazi mwenzangu ambae sasa kaolewa ila tu nilibahatika kupata nae mtoto mmoja bwana wake aliemuoa husafiri sana mikoani sasa huwa naenda kumuona mwanangu na kama mumewe hayupo basi najipumzisha hapo au yeye aje kwangu.

But ghafla leo nimemtumia ujumbe kaniambia leo niende K ntapata ila kulala haitawezekana wakuu nifanyaje nahsi huyu mzazi mwenzangu ana bwana mwingine tofauti na mumewe kwanini anizuie kulala hapo kwakwe,?

Nipeni ushauri wakuu
kamaa naona fumanizi la mwendokasi lileeeeeeeeeee linakuja
 
Aisee,dunia imekwisha..very sad.una umri gan mkuu
 
Back
Top Bottom