Ndo maana single mothers have to stay away from me
Dahhh.....[emoji16] [emoji16]
Sjui kwanini nimefungua huu uzi, maana nikama nimejitonesha kovu lilolo anza kupona aiseeee....[emoji25] [emoji25]
Wakuu niko dilema haya ni maneno ya mzazi mwenzangu ambae sasa kaolewa ila tu nilibahatika kupata nae mtoto mmoja bwana wake aliemuoa husafiri sana mikoani sasa huwa naenda kumuona mwanangu na kama mumewe hayupo basi najipumzisha hapo au yeye aje kwangu.
But ghafla leo nimemtumia ujumbe kaniambia leo niende K ntapata ila kulala haitawezekana wakuu nifanyaje nahsi huyu mzazi mwenzangu ana bwana mwingine tofauti na mumewe kwanini anizuie kulala hapo kwakwe,?
Nipeni ushauri wakuu
marriage crisisWakuu niko dilema haya ni maneno ya mzazi mwenzangu ambae sasa kaolewa ila tu nilibahatika kupata nae mtoto mmoja bwana wake aliemuoa husafiri sana mikoani sasa huwa naenda kumuona mwanangu na kama mumewe hayupo basi najipumzisha hapo au yeye aje kwangu.
But ghafla leo nimemtumia ujumbe kaniambia leo niende K ntapata ila kulala haitawezekana wakuu nifanyaje nahsi huyu mzazi mwenzangu ana bwana mwingine tofauti na mumewe kwanini anizuie kulala hapo kwakwe,?
Nipeni ushauri wakuu
Anatarudiana vip na mtu aliyekatika ndoa nyingine???Wote mmekutana ufahamu mmekopesha
She is married afu still uhusiano na baby daddy unaendelea na mnalala naye kwenye kitanda anacholala na mumewe
Unaanzaje kwenda kulala na mwanamke nyumbani anapoishi na mume wake? Vya bure vitakutokea puani. Afu si mrudiane tu ili mlane kwa uhuru na msiumize hao mlionao?
Aombe tu talaka kidiplomasia, kwa sababu soon hiyo talaka itamfuata. Mumeo akufume na mwanaume mwingine kitandani kwenu mmh!!!Anatarudiana vip na mtu aliyekatika ndoa nyingine???
Hiv unajua kuna hali Fulani hivi unakuwa na either in relation na mtu alafu mnakuwa better off katika either mchepuko ila mkiirasimisha tuu hamwez kuishi Wala kuelewana.. Nadhan ndio hali ya huyu Jamaa...
Ila jamaa anaroho ngumu saana
Hahaha! Dah! Inafurahisha na kuhuzunisha! We jamaa ni mtambo!! Sasa napata picha kwanini single mother wanapigwa vita loh!
Teh sijaonaHeaven Sent ameona hii kweli?
Natoa onyo kwako kama ndugu. Tabia hiyo siyo nzuri kabisa. Kama ulikuwa na mahusiano naye na mkafikia hadi kuzaa mtoto halafu mkaona haifai kuendelea na uhusiano huo inakuwaje wewe unakubali kuwa kiraka? Umepitiwa na nini kichwani mwako? Sababu za kuachana kwenu zimebadilika? Wanawake wote hawa huwaoni mpaka udandie mke wa mwenzio? Halafu ati unaenda kabisa nyumbani kwa mumewe, unanini wewe? Huioni tatizo kwako au kwa huyo mwanamke? Na utaridhika mtoto wako atunzwe na mwanaume mwingine!
Kwa kweli katika hili sina lugha ya staha zaidi ya kusema kunatatizo kubwa sana sehemu fulani katika wewe. Kama kweli unataka ushauri basi ushauri wangu ni huu:achana kabisa na mambo hayo. Tafiti mwanamke wako. Chukua mtoto wako mlee mwenyewe. Ni hayo tu. Samahani kwa lugha kali lakini yote haya ni katika kujengana.
hata uwe mkali km pilipili unaweza pigiwa tu awali Ni awali hakuna awali mbovu,Wewe Ni dhaifu una mwenye mtoto, hao fresh walikushinda pole sana, u
Labda anatufurahishaUna roho ngumuuu!