We bado siku yako banaWacha weeeee,yaani wewe kwa madongo ni hatari,haya nirushie na mimi dongo la kimapenzi au vipi?
Basi nimeishajua,hupendi kuniudhi,haya nipe mstari mtaaaaamu.We bado siku yako bana
Ndo maana kuoa/kuolewa na mtu mwenye mtoto watu hawatakagi..... Japo hii yaweza kuwa chai ila picha yenyewe ndo hii hii
Akinogewa tu atakwambia ubaki hadi asubuhi.Naforce ila ndio kangangana ivo niende na kukaa kwa muda niondoke
Nikisikia story kama hizi huwa napeleka mbele tarehe ya kuoa.Hasa mkuuu. Unataka ulale hapo kwako???
Kwa kifupi mantain uhusiano wenu kama mzazi mwenzio, hayo mengine achana nayo, acha kushiriki nae kimapenzi utapata matatizo ni mke wa mtu huyo.
By the way inaonekana ni mchafu kama kaweza kumchiti mumewe kwako hashndwi kwngine
Anabadilisha radha huyo
Unavuta hewa bure weweWakuu niko dilema haya ni maneno ya mzazi mwenzangu ambae sasa kaolewa ila tu nilibahatika kupata nae mtoto mmoja bwana wake aliemuoa husafiri sana mikoani sasa huwa naenda kumuona mwanangu na kama mumewe hayupo basi najipumzisha hapo au yeye aje kwangu.
But ghafla leo nimemtumia ujumbe kaniambia leo niende K ntapata ila kulala haitawezekana wakuu nifanyaje nahsi huyu mzazi mwenzangu ana bwana mwingine tofauti na mumewe kwanini anizuie kulala hapo kwakwe,?
Nipeni ushauri wakuu
Kuingia kwenye ndoa na mtu mwenye mtoto hakuna tofauti sana na kua kwenye umme /uke wenza.....Kuna kitu umenigusa.
Nna jamaa yangu, alikuwa na GF wake ambae ni single mother wa mtoto mmoja.
Mdada alikolea sijui alijikoleza kwa mshikaji kiasi akaamua kubadili dini na kuanza kuattend Madras ili tu aolewe na mshkaji.
Ghafla mshkaji wng akaenda kufanya MA UDSM na kule akakutana na bint afu wa dini yake, jamaa akabeba mzigo jumla.
Kinachoendelea ni kwamba jamaa yangu ndoa ina miaka mi4 na bado anapiga yule single mother na mzazi mwenzie na yule single mother nae anapiga huku akimuhudumia mwanae!
Ukweli mchungu, wenye macho na muone kuna cha kujifunzaUzi wa kipumbavu
Aisee. Ni kweliUkweli mchungu, wenye macho na muone kuna cha kujifunza