malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,909
- 4,684
Habar wakuu nakijana wangu umri miaka 10, Leo jioni alivotoka shule kanipa taarifa akiwa shule alienda kukojoa zikawa zinatoka damu akawa kajifunga kitambaa kwa muda wote akiwa shule leo,bahat mbaya hakumwambia hata mwalimu wake wa darasa,karudi nyumbani jioni akanambia hali aliokua nayo
Bas nikachukua jukumu lakuchunguza hiyo hali ya mkojo,baada ya muda akabanwa na mkojo inabid nimwambie akojolee kwenye kopo kweli mkojo unatoka uliochanganyikana na damu,
Wakuu ushauri wenu mtoto anaweza akawa anaugua ugonjwa Gani asubuh ,nataka kumpeleka hospital ya mkoa je nionane na daktari yupi wa watoto au wamagonjwa ya ndani,naambatanisha mapicha mkojo ulivyo
MREJESHO
Nimefika hospital ya mkoa saa mbili asubuh nikiwa na mtoto,nikafanya taratibu zote zakumuona daktar nikaandikiwa kumuona daktar wa mkojo,bas nkaingia kwa daktar nikajielezea kwa kina na daktari akaniuliza maswali kama alipigwa sehemu hiyo mtoto akasema hapana,maji yakunywa shule anakunywa yepi nkamwambia yakisima,madimbwi kuchezea mtoto akasema hapana Bas daktari akasema naandika vipimo mwende maabara mkapime,kaandika vipimo vya mkojo,fbp,fb-electrophosesis,figo,kichocho bas baada ya masaa mawili majibu yakawa tayar tukarud kwa daktar
Majibu yakatoka Kila kitu kipo sawa hakuna chochote kilichoonekana,daktar akasema labda wakti mwingine kama mtu hajakunywa maji kwa mda na akawa anapilikapilika kama hivi mtoto kucheza anaweza kutoka hali hiyo anaweza Toka mkojo wanamna hiyo,
Pia akasisitiza kuwa tuchunguze kwa makini mkojo wake kama atatokea kakojoa mkojo ukatoka na damu basi muda huo huo twende na hiyo sample ya mkojo hospital wapime seli nyekundu za damu kama zimetoka Bas wanipe referla kuja mkoani sasa tuangalie vitu vingi Zaid kama nikibofu Cha mkojo kina infection au nikansa yakibofu ama nifigo Zina shida
Nb naambatanisha na picha yamkojo ambao amekojoa ,pia asubuh tulipofika hospital kabla yakumuona daktar alikojoa mkojo safi tu na mpaka Sasa hivi tangu asubuh kakojoa mkojo saaafi