Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

Ninyi watoto wa juzi tu hapo! Mkongwe nilikuwa hapo 1981 - 84 dom la mkwawa 27.
Kumbe hajamkuta mwl wa vijana ndugu Mpande?
Tulikula sana machungwq na malimao hapo Orchard!
Mpande tulikuwa naye 1998-2001 Kipindi cha Kimaryo na Malissa
 
Leo nimekumbuka sehemu ambayo ilitengeneza vijana wengi kuliko ilivyotengeneza majengo...
Moshi Technical Secondary School.

Kuna shule ambazo unaondoka na cheti tu, lakini kuna shule unaondoka na kumbukumbu zinazokufuata maisha yote.

Wapo waliokuja wakiwa watoto wakarudi majumbani wakiwa wanaume.
Ukiwahi kusoma hapa, ni jambo gani moja huwezi kulisahau mpaka leo?
Hizi ni baadhi ya picha za muda kidogo zipo kwenye gallery yangu naambiwa shule imefanyiwa ukarabati mkubwa sana.

View attachment 3598591View attachment 3598592View attachment 3598593View attachment 3598594View attachment 3598596
Hapa mwaka 1990- kulikiuw a kwa moto, tulikuwa na exchange program ya wazungu wa scotland.
Mwalimu Mwasha, Head Master Kimario, Mwalimu Kipande ,
 
Ninyi watoto wa juzi tu hapo! Mkongwe nilikuwa hapo 1981 - 84 dom la mkwawa 27.
Kumbe hajamkuta mwl wa vijana ndugu Mpande?
Tulikula sana machungwq na malimao hapo Orchard!
Mwl. Masenge (second master) hakuona mavi yako yanatoa moshi Orchard??
 
Sisi wa 1985 tusemaje sasa. Kama 2004 ni kitambo. Mpande kuna vijana walikuwa wanakuja ngumi naye akileta ule ujinga wake.

Enzi zile walimu wa Additional maths na Engineering Science ni Warusi (Russian) under Legend Mwl
Malale
Malale alikuwa Head Master na watoto wake kina Victor
 
miaka yako hiyo hiyoo chief. Nadhani wewe utakuwa ulikuwa darasa na kina Peter Nemes, au kina Nuru Marambo?
Nuru yule Tall msela Mavi wa Azimio?
Nilikipiga na yule mtoto wa Kigogo Manase Nicodemus Banduka pamoja na Engineer Abdi wa ATC.
Auvimbi unamkumbuka?
 
Nuru yule Tall msela Mavi wa Azimio?
Nilikipiga na yule mtoto wa Kigogo Manase Nicodemus Banduka pamoja na Engineer Abdi wa ATC.
Auvimbi unamkumbuka?
Ha ha haaa umenikumbusha mbali sana … yule Kiziwi Auvimbi… kiziwi but alikiwa na mikogo balaaa!
Namkumbuka Banduka pia, kina GEFAMA mzee wa chata shule nzimaaa!
 
Ha ha haaa umenikumbusha mbali sana … yule Kiziwi Auvimbi… kiziwi but alikiwa na mikogo balaaa!
Namkumbuka Banduka pia, kina GEFAMA mzee wa chata shule nzimaaa!
Mule mule.....
GEFAMA alikichafua ila mwisho wa siku alidakwa kilaini.
Ulikuwepo asee.
 
Back
Top Bottom