Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

Ilikua 2013 nakumbuka kulikua na kina Rashid njambi, Amani alikua form 3 na kina dogo kombe aka kelvin na wengine wengi
Amani alienda Kibaha
Rashid njambi huyu jamaa naambiwa yupo Dar (Alikuwa shekh huyu)
Kuna Rashid mwingine aliitwa Rashid Mkindu alikuwa anatokea Singida(Alifariki toka 2014 mwanzo tu)
Emmanuel Marri ( alifariki 2024 hapo Dar kwa ajali ya boda).
 
Daah Emmanuel mmari na aliyeshatangulia ? Nilikua Sina habari.
Yeah njambi alikua sheikh nakumbuka na kuna vijana wangu SPCB na vituka aka Eugen .
Dorm 33 walikua wanangu sana , Mimi nilikua nipo Lumumba huko
 
Ahaha umenikumbusha mwanangu KITUKA dogo moja zembe zembe sana..
Yeah man Emmanuel Mmari kashatuacha,, Maana 2019 alienda China kusoma ila baada ya Ile issue ya Corona wakawa wamerudishwa..2024 hiyo mwanzoni mungu akawa kachukua Amana yake.
 
1970 form one azimio shule ilikuwa nzuri sana kimajengo. Orchad kuna machungwa machenza ba na mabalungi. Papai tunanunua huko kijiji kinaitwa matunda
Aisee mkuu wewe mkongwe kweli kweli.
Wakati wetu hata ilo neno Orchad halikuepo kabisa.
 
Nimefundisha pale miaka ya 98
98 nilikuwepo hapo mkuu, ulikuwa unafundisha nini? Nawakumbuka walimu kina Mhina (Koba) Manjole, Daffa, “Clinton”, Saweru, Nkya (mke na mume) the famous one Mpande, Shirima, Makono, Mero, Mrs Orbelin Malisa na Isaac Malisa, kina Mkiramweni, etc etc…
 
Leo nimekumbuka sehemu ambayo ilitengeneza vijana wengi kuliko ilivyotengeneza majengo...
Moshi Technical Secondary School.

Ukiwahi kusoma hapa, ni jambo gani moja huwezi kulisahau mpaka leo?
Disco na wasichana wa Weru Weru
 
98 nilikuwepo hapo mkuu, ulikuwa unafundisha nini? Nawakumbuka walimu kina Mhina (Koba) Manjole, Daffa, “Clinton”, Saweru, Nkya (mke na mume) the famous one Mpande, Shirima, Makono, Mero, Mrs Orbelin Malisa na Isaac Malisa, kina Mkiramweni, etc etc…
Mr na Mrs Kimaryo, Mama Kimambo, Mrs Temba yule mrembo wa Math's, Mboya, Hokororo, Mbise?
 
Back
Top Bottom