Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
6,417
Reaction score
12,985
Leo nimekumbuka sehemu ambayo ilitengeneza vijana wengi kuliko ilivyotengeneza majengo...
Moshi Technical Secondary School.

Kuna shule ambazo unaondoka na cheti tu, lakini kuna shule unaondoka na kumbukumbu zinazokufuata maisha yote.

Wapo waliokuja wakiwa watoto wakarudi majumbani wakiwa wanaume.
Ukiwahi kusoma hapa, ni jambo gani moja huwezi kulisahau mpaka leo?
Hizi ni baadhi ya picha za muda kidogo zipo kwenye gallery yangu naambiwa shule imefanyiwa ukarabati mkubwa sana.

1779115583367.jpg
1779115998353.jpg
1779116004330.jpg
1755448171630.jpg
1779116011055.jpg
 
Back
Top Bottom