Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

Leo nimekumbuka sehemu ambayo ilitengeneza vijana wengi kuliko ilivyotengeneza majengo...
Moshi Technical Secondary School.

Kuna shule ambazo unaondoka na cheti tu, lakini kuna shule unaondoka na kumbukumbu zinazokufuata maisha yote.

Wapo waliokuja wakiwa watoto wakarudi majumbani wakiwa wanaume.
Ukiwahi kusoma hapa, ni jambo gani moja huwezi kulisahau mpaka leo?
Hizi ni baadhi ya picha za muda kidogo zipo kwenye gallery yangu naambiwa shule imefanyiwa ukarabati mkubwa sana.

View attachment 3598591View attachment 3598592View attachment 3598593View attachment 3598594View attachment 3598596
Hahaha
 
Mi naamini ktk shule za tech hakuna shule iliyoikuta Mazengo Tech kimajengo, elimu na hata karakana za ufundi zilikuwa na mashine nyingi na za thamani kubwa sana.

Mazengo Technical Sec School bonge moja la skonga. Serikali walibugi sana kuwapa wale wajerumani
Mi naamini ktk shule za tech hakuna shule iliyoikuta Mazengo Tech kimajengo, elimu na hata karakana za ufundi zilikuwa na mashine nyingi na za thamani kubwa sana.

Mazengo Technical Sec School bonge moja la skonga. Serikali walibugi sana kuwapa wale wajerumani.
Inategemea mzee Mimi nimesoma Mosh Tech na Iyunga Tech ila kwa vifaa vya kalakana na kitambo Iyunga ilikuwa kiboko
 
kuwapa wale wajerumani.
Inategemea mzee Mimi nimesoma Mosh Tech na Iyunga Tech ila kwa vifaa vya kalakana na kitambo Iyunga ilikuwa kiboko
 
Si ndio waliitwa vipaji maalum? Hope ni mainjinia na mafundi mitambo wakubwa kwa sasa waliohudhuria hapa. Vipi wapo wapi sasa hapa shitholeni? Au ilikua sera tu km zingine wakati tunawategemea wachina hadi kutuzibia viraka vya sufuria na mapipa ya kupikia mbege na kindi hadi leo!
 
Kuna huyo siku tumeshapasi nguo na kila kitu afu tunaenda event ya issue za ECA, HGE, EGM, nadhani wao wana ECA pia kwani walikuja ety headmistress katoa tamko day one before kama shule fulani itakuwepo hantoenda tena
Bwashee inaonekana umewadonoa sana
 
Si ndio waliitwa vipaji maalum? Hope ni mainjinia na mafundi mitambo wakubwa kwa sasa waliohudhuria hapa. Vipi wapo wapi sasa hapa shitholeni? Au ilikua sera tu km zingine wakati tunawategemea wachina hadi kutuzibia viraka vya sufuria na mapipa ya kupikia mbege na kindi hadi leo!
Wapo ni masaidia fundi mkuu
 
Hapo kiliwatoa wahandisi manguli enzi hizo

Sshv tuna vyuo vya wakata mauno tu bldyfcvkbinnnn

Ova
 
Inategemea mzee Mimi nimesoma Mosh Tech na Iyunga Tech ila kwa vifaa vya kalakana na kitambo Iyunga ilikuwa kiboko
Usibishe usichokijua mkuu.
Mtafute mtu yeyote anaesoma St Johns' University kitengo cha engineering umuulize mashine zilizopo kule karakana ya foundry, plumbing, welding etc.
Mimi nilisoma Surveying na tulikuwa tunafundishwa na walimu wabobevu toka japan, korea na china. Wale kama muda ungetosha wangetufanya kuwa ma engineer kabisa tukingali vijana chini ya miaka 18 make uwezo na vifaa vyote plus kazi kwa vitendo tulikuwa tunafundishwa na kujifunza kabisa.
 
Mi naamini ktk shule za tech hakuna shule iliyoikuta Mazengo Tech kimajengo, elimu na hata karakana za ufundi zilikuwa na mashine nyingi na za thamani kubwa sana.

Mazengo Technical Sec School bonge moja la skonga. Serikali walibugi sana kuwapa wale wajerumani.
Sasaivi ni chuo cha st john
IMG_3939.jpeg
 
Back
Top Bottom