2013 boss
Nilikuachia shule mdogo angu.2013 boss
Kitambo sana 2004Ahaha nisamehe mkuu.
Vip ulipita mwaka gani hapo?
0Duh!! Hapo mpande alikuwa bado anaenergy ya kutosha ... hongera mkuu.
O level au A level?
Mi 2012 we mwaka gani mkuu?
Mhm nisoma hapo , nikahama zamani kidogo 2005nikiwa kidato cha 3O level boss,,
sasa hivi mfumo wetu wa elimu umeharibiwa sanaaaMpaka sasa sema tu kwenye kundi la mamba....
Bwashe sikukuonaMhm nisoma hapo , nikahama zamani kidogo 2005nikiwa kidato cha 3
Ukute tulisoma wote bwashee 😀Bwashe sikukuona
Eti weupe peeUmenikumbusha watoto weupe peee wa Kimachame kutoka Ashira Girls.
🤣Ukute tulisoma wote bwashee 😀