Sangatitti
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 488
- 1,148
Mbowe yuko makini tbccm chased a way its was good desicions
Kudadadeeeki sasa naona mmeshaanza kutwangana wenyewe kwa wenyeweHiki ulichoandika inaonyesha jinsi gani umechanganyikiwa!
Kwa lugha ipi?Jimbo la Mbowe tunalichukua asubuhi. Tunataka awepo mtu anawasemea watu hao.
Kasha piga bhange ya NjombeTafuta eneo lenye kivuli, kaa chini, kunywa maji kiasi kisha fanya mpango wa kutafuta usafiri wa mahala unapoishi/unapotokea.
Makada wanaruka na kukanyagana baada ya kusikia mipango ya cdm chini ya rais mtarajiwa mh Lissu!Kada mwenzako huyo
Jr
Ni yeye huo ni ujumbe mfupi kwa uvccm wenzake kuwa anajiandaa kuhamia cdmHivi huyu aliyeandika ni wewe ama umeacha mtoto wako wa darasa la tano aandike???
Moto wa mh Mbowe na mh Lissu umewatoa mashimoni sasa wanakanyaganaNyie wote NI CCM team Buku Saba.
Tena wote ni walinzi pale lumumba getiniDuuh kumbe vibwengu hamjuani....mwenzako huyu mnapishana kolido za lumumba
Sijawahi kukushuhudia ukiwa umeelewa wanzuki na komoniMimi mwenyewe ndio nimeandika TBC walitakiwa wazime mitamb Mbowe alipoanza kuongea vitu vilivyo kinyume na sheria za utangazaji hawakutakiwa kusubiri Hadi Mbowe awavurumishe waondoke wasisisubiri hotuba iliyo kinyume na sheria za utangazaji ya Lisu.
TBC Leo walikuwa Kama mibwege fulani hotuba tu ya Mbowe Kila mjinga anajua walitakiwa kuzima mitambo Alisema wazi sera hatutaongelea akatoa madudu kinyume Cha sheria za utangazaji TBC wakawa Wako tu hewani Kama mibwege
Mbowe ndio akaamua kuwafokea ondokeni mabwege nyie TBC kuiokoa TBC
Ndio maana namuombea ubunge Ni mzalendo kwa hili
Wakati fom mlichapisha moja tu kama taa ya treni ya kwenda kigoma?Demokrasia imetamalaq ccm!
Sema kwa maslahi ya tumbo lakoCCM huwa tunapingana kwa hoja kwa maslahi mapana ya chama!
Umezoea kupewa ubunge wa viti maalumMimi CCM hata tukilichukua jimbo la Mbowe namuombea ubunge wa kuteuliwa Leo TBC wangerusha live kila kitu bila Mbowe mzalendo kufukuza TBC saa hii tingekuwa tunaongea mengine
Hakuna mwenye akili timamu anaye weza kuwaelewa nyinyi wachumia tumbo wa lumumbaChadema hawawezi kutuelewa CCM
Naona leo sindano imewaingia vyema maungoniWachawi tu muda si mrefu watamuelewa na Membe ana malengo gani!
Naona mbojo zinaparuanaHiki ulichoandika inaonyesha jinsi gani umechanganyikiwa!