Uchaguzi 2020 Leo nimeamini Mbowe mzalendo, Wahariri TBC wachukuliwe hatua kutangaza kinyume na sheria za utangazaji

Mimi mwenyewe ndio nimeandika TBC walitakiwa wazime mitamb Mbowe alipoanza kuongea vitu vilivyo kinyume na sheria za utangazaji hawakutakiwa kusubiri Hadi Mbowe awavurumishe waondoke wasisisubiri hotuba iliyo kinyume na sheria za utangazaji ya Lisu.

TBC Leo walikuwa Kama mibwege fulani hotuba tu ya Mbowe Kila mjinga anajua walitakiwa kuzima mitambo Alisema wazi sera hatutaongelea akatoa madudu kinyume Cha sheria za utangazaji TBC wakawa Wako tu hewani Kama mibwege

Mbowe ndio akaamua kuwafokea ondokeni mabwege nyie TBC kuiokoa TBC

Ndio maana namuombea ubunge Ni mzalendo kwa hili
Sijawahi kukushuhudia ukiwa umeelewa wanzuki na komoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi CCM hata tukilichukua jimbo la Mbowe namuombea ubunge wa kuteuliwa Leo TBC wangerusha live kila kitu bila Mbowe mzalendo kufukuza TBC saa hii tingekuwa tunaongea mengine
Umezoea kupewa ubunge wa viti maalum
 
Kama ni kuvumilia CHADEMA walivumilia sana juu ya kituo cha kitaifa cha TBC kwa mambo yao wanayoyafanya. CHADEMA waliingia mgogoro na kituo hiki kwa kipindi kirefu sana. Kawaida wanafikaga kwenye press za chadema wanachukua taarifa lakini hazirushwi hata kidogo,mtu anajiulizaga kama hamuwezi kurusha habari zao mnaendaga kutafuta nini?

Au kijivua lawama kuwa mlikuwepo.Habari ya chama kile zinatawala kila kona kupitia chombo hicho na kuvibagua vyama vingine kwa muda mrefu sana.Jamii imelalamika kwa muda mrefu sasa lakini hakuna mabadiliko. Leo mmejitokeza kuonyesha live lakini hata mlichoonyesha ni kama hakuna mnakatakata matangazo hovyo na kupelekea kukela watazamaji.

Sasa viongozi wa chama hicho wakaamua kuwatimua mbele ya umati wa watu kitu ambacho ni fadhea kwenu. Wanadai hata hawataki kabisa kurusha habari zao maana haijawahi kutokea mkarusha habari zao, kwa hivo ni bora muhamie vyama vingine tu na wanawatakia kila la heri.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom