Uchaguzi 2020 Leo nimeamini Mbowe mzalendo, Wahariri TBC wachukuliwe hatua kutangaza kinyume na sheria za utangazaji

Mbowe mzalendo alianza kwa ku test uzalendo wa watangazaji TBC Kama anayoongea watarusha Live yaliyo kinyume na sheria za utangazaji .Kuna upande Kuna mtu Alikuwa akimwangalia Kama aonyeshe je anasikika live ? Yule mtu alitoa ishara ya Siri ya kuwa ndiyo .Akaona akiwakaribisha Lisu na Salum Mwalimu Live TBC itaingia matatizoni akawaambia ondokeni hatuwataki fungeni vyombo vyenu kwendeni zenu

Hilo tamko nimelikubali Mia kwa Mia Sababu TBC walikiuka sheria za utangazaji kipande Cha mwanzo Cha hotuba ya Mbowe


Mbowe alifanya vile Kama mzalendo namuombea CCM naomba tusiweke nguvu Sana Jimbo la Mbowe kumtoa ana uzalendo

Mafundi mitambo na wahariri wa TBC waliokuwepo Leo Mbagala wachukuliwe hatua na TBC haraka na Mbowe aachiwe Jimbo hata alishindwa naomba Raisi Magufuli mpe uteuzi ubunge wa viti vya kuteuliwa Yuko vizuri kulinda maslahi ya taifa na uzalendo.Amenigusa Sana jopo la TBC kikishindwa kuona Hadi Mbowe aone?
Mpaka sasa nashindwa kuamini kama wanaolilia uhuru wa habari wanauminya hata kabla hawajaelewa nini wanataka
 
Hamna banaaaaa umekalia ukuni tuu huku umepakatwa na kupapaswa
Inaonekana unapenda huo ukuni naona unafurahia hadi jina la mwisho, nenda kwa mabwana zako wakakupasulie yai.
Screenshot_20200828-194328_1598633078706.jpg


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Leo chadema wamejizika maana hakuna aliyewaoana watu hata elfu moja hawakupata
 
Kauli za kujifariji tu.. Ukweli ni kwamba TBC hawatakiwi kwenye mikutano ya CDM
 
Back
Top Bottom