Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

Happy belated birthday mkuu Kiranga,, wish you many years ahead tuendelee kufaidi busara zako hapa JF na kwingineko
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Kiranga,Bado nasubiri wenzio akina Asprin na Preta wanambie kwa nini watu wengi walizaliwa January?What's special with January - 9 months??Babu DC!!
Babu we mwenyewe si unaona vichwa vyote vilivyotulia vipo January......havina mawaa wala shobo....chunguza utaona......
 
Last edited by a moderator:
Sasa nimefikia hitimisho kuwa huenda Kiranga ndiye mtu anayekubalika zaidi hapa JF
 
happy kuzaliwa kiranga pia libarikiwe na tumbo lililokuzaa
 
Mpe tu hongera zake ila ukianza kuanzisha mada atheist jamaa akija tutakesha hapa...

Heri ya mwaka mpya mkuu Kiranga uwa nafurahishwa sana mada zako, nahisi ndio umenifanya niwe napita pita jukwaa la intelligence...

Kuna topic zingine bora kukaa nazo mbali mkuu wangu. By the way Kiranga hongera yako ya kuzaliwa na MUNGU akupe maisha marefu zaidi na zaidi.
 
Sasa nimefikia hitimisho kuwa huenda Kiranga ndiye mtu anayekubalika zaidi hapa JF

kwa vigezo gani ulivyotumia? siyo kweli kwamba yeye ndiye anayekubalika zaidi ila yeye ni maarufu hapa kwa kukataa uwepo wa Mungu ndiyo maana anajulikana ila kusema anakubalika zaidi siyo kweli. kukubalika maana yake watu wanayapokea na kuyakubali yale unayowapa, sasa sidhani kama kuna watu wengi wamemfuata katika imani yake ya kutoamini uwepo wa mungu.
 
Kila mtu ana kipaji cha kipekee, kazi ni kukigundua.

I don't know about mungu though.

Leo ni celebration tu.

Wazee wa Belvedere ziko pale. Wa juisi natural zipo, wa Scotches kuna single malts na blends, highland na lowland huko tutajumuika pamoja kiambasada kama enzi za Palm Beach.

Hata wale wa Colorado Free State kuna mtaalam kaandaliwa yupo chumba sound proof huhitaji hata udi.

Togwa kuna mtaalamu kakodiwa toka Maneromango maalum, analipima kwa litmus test.

Nini kingine?


Happy belated bday dude long live
 
Long live mukulu Kiranga !!!!

Ila ushetani uache mukulu! Umeshakua sasa, uanze kumrudia Mungu!
 
Last edited by a moderator:
Nachene ole mishi noh! Gashinaga olenshosha ng'ombe!? Kayaya! Yeaaah! Wakolaga lolo nyanda one! Oshoke ng'wasebha!

Henaha palitanwa Nasa, olo otojaga ko le jineri Nasa, okobona ma roketi ga NASA.

Onene nalangwa masala pye no banamhala banyalali gete gete, otizo yomba o bochilochilo henaha natamanile a mamihayo matale ga kokaya kwenuko, nolo natamanile o koyomba shisukuma.

Mamihayo genago hagaya gete.Kongono banamhala banilangije pye maganiko chiza ga kokaya, makoye, mamilemo, koyomba no bamnho, onyalali, kweta chiza mu Seba, pye mamihayo.

Hapa namaliza internal service.

Naona nishaandika Kiswahili, Kiingereza,Kifaransa na Kisukuma thread moja hii hii.
 
SEZAE Ntuzu gashi nu Kiranga o gukaya?
Nachene ole mishi noh! Gashinaga olenshosha ng'ombe!? Kayaya! Yeaaah! Wakolaga lolo nyanda one! Oshoke ng'wasebha!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom