Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

Mie nakunywa gongo babangu, natanguliza shukurani.

Enjoy your day rafiki. Mungu wa kingasti akujaalie miaka mingi, ya afya njema lakini kikubwa akupe nuru ya rohoni (naomba tusijadili hili, sio leo)

Hiyo mbona ipo tu, ila imepewa jina lililopitishwa na wale watu wa Wizara ya Mambo ya Nje walipokutana pale Palm Beach, inaitwa "moonshine" nimeitaja hapo juu. Kwa vinibu. Unavijua vinibu wewe?
 
Last edited by a moderator:
Leo ndiyo birthday ya Kiranga wakuu.

Tujumuike japo virtually.

Asanteni.

HBD mkuu!!! Sina la kusema zaidi ya kila la heri na maisha marefu!! J.f ,intelligence forum in particular, needs u!!
Bado tunakuhitaji sana hapa
j.f!!!
 
Heri ya kuzaliwa Mkuu. Ila kuanzia sasa inabidi uwaonee huruma watu ambao "kingleza cha malkia" kinaleta shida.Maana ni shida.
 
Heri ya kuzaliwa Mkuu. Ila kuanzia sasa inabidi uwaonee huruma watu ambao "kingleza cha malkia" kinaleta shida.Maana ni shida.

Asante mkuu.

"Kingleza" shida kwetu sote tu.
 
Kiranga keki imecheleweshwa....anyway
AtheistBirthdayCake2.jpg
 
Back
Top Bottom