Ana uwezo mkubwa wa kubadili mawazo ya wengi kwa kureason anavyotaka yeye na kwa kuwapa vithibitisho vya kisayansi na vithibitisho vingine ambavyo wale wanaomchallenge hushindwa kuleta vithibitisho ivyo wanaishia tu either kumtishia atachomwa moto ambao yeye hauamini maana kama hakuna Mungu basi hakuna shetani na hakuna moto wa milele. Kinachonivutia sana kuhusu kiranga ni uwezo wake wa kureason na kwa kutumia mifano midogo midogo na rahisi kushindana na wanaompinga.
Na kapata wafuasi wengi tu ambao wanamkubali, pia amefanya wengu wajiulize twice wanambishia for the sake of kumbishia au kuna ukweli wowote.
Funzo ambalo na lipata kutoka kwa
Kiranga ni kureason critically. Tutumie maarifa yetu na akili tulizonazo kujiuliza how, why?
yani nikikuuliza au kuulizwa swali nilijibu kama nilivyoulizwa.
Pia anasaidia kufanya watu wachimbe zaidi ili waweze kubishana nae maana anataka uthibitisho utautoa wapi kama unabishana porojo tu