KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,068
Mi natamani wafungwe ili waache kutembea kwa mikogo na kutengeneza dreads.
yaani kama rwanda wamepiga mtu goli dakika ya 4 tu mpaka raha
uwajawapa raha uliza aliefunga goli
""niyonzimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
Nilijuwa, wachezaji wetu ni majuha!Ni kweli tumelala 1-0?