MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,299
Hakika Watanzania hawana shukrani kabisa, badala ya kuimiminia pongezi za dhati nchi ya Algeria kwa kutubeba katika mchezo wa jana bila aibu tunaipongeza Taifa Stars kwa kufuzu baada ya kutoka sare na timu ngumu iliyoamua kutoifunga Taifa Stars, kwani ilikuwa na uwezo kwa kuifunga Taifa Stars hata magoli 10.
Binafsi naipongeza sana Algeria kwa moyo wa huruma wa kutubeba.