Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
- Thread starter
- #21
Game imeishaanza mbele wako Samata na Ulimwengu wakisaidiwa na Henry na Ngassa na Nizar ushindi upo japo mapema sana
Dakika ya 30 Tanzania tunacheza kwa kujiamini sana tumekosa magoli 2 ya wazi, hawa jamaa weupe kwa kweli
Huyu kocha akipigwa leo anafungashiwa vilago kwa nini hajawapanga wachezaji wa Yanga??
Any updates?
Bado ni bilabila.