ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,053
- 49,736
Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania Twiga Stars imefuzu mashindano ya WAFCON 2024 Morocco licha ya kupoteza Kwa Togo.
Tanzania imefuzu kwa Aggregates.Hongera sana kina dada.
---
Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake (Twiga Stars) imefanikiwa kufuzu Michuano ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2024 inayotarajiwa kufanyika Nchini Morocco.
Twiga imepata mafanikio hayo licha ya kufungwa magoli 2-0 na Togo katika mchezo wa marudio wa kufuzu, leo Desemba 5, 2023 kwa kuwa matokeo ya jumla Twiga imeshinda magoli 3-2.
Mara ya mwisho mwisho Twiga kushiriki WAFCON ilikuwa Miaka 13 iliyopita (Mwaka 2010) Nchini Afrika Kusini, tangu hapo imekuwa ikiondolewa kila inaposhiriki katika mechi za kufuzu.
My Take
Nyota ya Rais Samia inaendelea kuliangazia Taifa kwenye nyanja zote kuanzia uchumi Hadi michezo.

- Taifa Stars Afcon
- Twiga Stars WAFCoN
- Dart tuko World Cup
- Worldcup Women Olympic Qualifiers