Leo ndio leo - TAIFA STARS vs CHAD uwanja wa Taifa

Taifa stars bado kabisa! Hatua ya makundi itakuwa aibu. Kama ningekuwa kocha ningechukua wachezaji wengi wa timu ya jeshi- JKT Oljoro na baadhi ya wachezaji strikers kuongeza nguvu
 
Hongera Taifa Stars! Yote kwa yote tusisahau kwamba ushindi ni ushindi, na qualification ya Taifa stars ni qualification ya Tanzania/watanzania wote, wewe, mimi, Mbwana Samata, Rejao, Tundu, etc.
 
LEO NDIO TUMEAMINI KUTOSHINDA KWA TAIFA STARS NDIO INAONESHA UKWELI WA VILABU VYETU HIZI SIMBA NA YANGA NI TIMU ZA RUSHWA NDOMANA ZINASHINDA SANA SIMBA NA YANGA KUFUNGWA KWAO SIMBA NA YANGA WAKICHEZA WENYEWE KWA WENYEWE!!! wanapokuja kuwa pamoja timu kila siku inafungwa utafikiri wachezaji wanakuwa na wivu wa wenyewe kwa wenyewe Pasi zilivyo mbovu hayo ni maoni yangu sijui nyie.
 
halafu kocha alikuwa anataka atoke sare ya ugenini then aje kuifunga chad nyumbani, kweli huyu kocha amekuja kupumzika tu bongo......dah
 
Chad wamelia machozi baada firimbi ya mwisho. Ni wazuri pia ndiyo maana waliwah kuja nchini kabla ya Starz kujiandaa vema
 
Wamefungwa mechi ila wameshinda michuano. Kama wameshindwa kupigana kurudisha goli mbele ya timu yenye kiwango cha chini. Je, watafanya nini kwa Morocco, Ivory Coast na Gambia? Stars lazima iongeze kiwango, vinginevyo wasitegemee lolote waendako.
 
LEO NDIO TUMEAMINI KUTOSHINDA KWA TAIFA STARS NDIO INAONESHA UKWELI WA VILABU VYETU HIZI SIMBA NA YANGA NI TIMU ZA RUSHWA NDOMANA ZINASHINDA SANA SIMBA NA YANGA KUFUNGWA KWAO SIMBA NA YANGA WAKICHEZA WENYEWE KWA WENYEWE!!! wanapokuja kuwa pamoja timu kila siku inafungwa utafikiri wachezaji wanakuwa na wivu wa wenyewe kwa wenyewe Pasi zilivyo mbovu hayo ni maoni yangu sijui nyie.

mkuu kwani huo mpira wenyewe wa simba na yanga basi ni mpira!....makelele tu na vyombo vya habari, taifa stars ndio product iliiyotengenezwa kutoka huko, sasa sijui tunategemea nini.
 
Sasa nazani tujaribu makocha wetu wa kata kuongoza timu ya taifa hawa wazungu wanatuangusha tuu kila siku
 
tena nyumbani ni huzuni kubwa sana.watatufanya tuache watanzania kufika uwanjani maana ni presha tupu taifa stars hata ikicheza na Red sea Fc bado itakuwa kushinda kwao ni kubahatisha tu kama ilivyo kwa clubs zetu za ligi kuu.
 
Hata Pirates(Somalia) wamewadindia Ethiopia ndomana kule kwa michuzi tungepata aibu kile kichwa cha habari aliandika tumeicharaza Chad 2-1 mie navyojuwa mtu anacharazwa kuanzia 3-0 leo kusingekalika uwanjani. tushukuru tumepita. kama navyosema Nchi hapa Tanzania tushazoea kushinda kwa vilabu tu vya Simba na Yanga wakishawapa Marefa vibahasha tabia hizo ndio zinaharibu wachezaji wetu mpira wakati ni wachezaji wazuri washalemaa na kubebwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom