Leo ndio leo - TAIFA STARS vs CHAD uwanja wa Taifa

wakuu mnaonaje hilo game, kuna lolote la kutegemea au hali inaweza kutugeukia kuwa mbaya .
 
Kenya tayari wapo mbele kwa bao mbili! Sisi hawa jamaa tunawachelewesha nini!
 
Half time 0-0 kocha inabidi afanye mabadiliko amtoe Ngassa aingie John Boko kwa kweli hii timu ikitufunga mie siji tena taifa kucheki mechi yoyote maana ni wabovu sana. Henry Joseph ambaye ni Captain pamoja na Nizar wameonyesha kweli wao ni mapro wamemiliki vizuri sehemu ya kiungo, wachezaji tunao ila nina wasiwasi na uwezo wa kocha, ngoja tuone ngwe ya lala salama
 
Tupo pamoja!
 
kama tutashindwa kuifunga timu hii, basi tusitegemee jipya huko tunakong'ang'ania kwenda
 
Yawezekana una imani zaidi na timu yetu ni kweli m ni mmoja waowanaoipenda
niko uwanjani na kila dalili ya kuumia iko wazi

nionavyo kama tutaendelea hivi hayo juu ndio matokeo ya mwisho ya mpira wa leo na watatufunga
dk ya 1-10 kipindi cha pili...kama dk 24 za mwanzoni atutawafunga basi kipindi cha pili watatumaliza
samahani kwa hili ila jitahdi kuomba tushinde
 
Tusijipe moyo na chenga za wachezaji wetu la maana tuombe mungu wasitufunge dk kumi za mwanzo
 
Samata anapiga bonge la shuti linagonga mwamba dah kijana anaujua, Nizar anaotea katika kutaka kumalizia re-bound, on the other hand CHAD wanandika bao la kwanza kosa la mabeki Taifa Stars 0-1 CHAD nomaaaa
 
Mkuu nenda newpost tafuta thread yangu ya hii mechi nimejaribu kusali kabla ya kuanza kipindi cha pili na hayo ndio matokeo niliyoyaona ila nimeomba radhi watanzania sio mimi..ila nimeomba tushinde na nikaonyeshwa kama watatufunga kuanzia dk 0-10 kipindi cha pili basi tumengoka mpwa
 
Taifa stars hata haiaminiki na ni headache kwa kweli kuwapa sapoti hawa jamaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom