Leo ndio leo - TAIFA STARS vs CHAD uwanja wa Taifa

Pdidy acha hizo bana sie twaiombea starz ushindi nawe badili maazo ili tuombe kwa pamoja
 
Mkuu angalia upuuzi wanaocheza ni aibu mpwa nimeomba mpaka maombi ya mwisho wapi
 
Nizar halfan anatoka anaingia nurdin bakari nahsii kurudisha goli anyway ulipo zidi kuomba
 
tatizo siyo kocha ni wachezaji, ata kama kocha afundishi nyie si mnajuwa mnacheza tu. wachezaji wetu wanapenda kutembeaje sijui, kama samatta huwezo mkubwa sana akipunguza yale madoido yake ya kuukimbiza mpira, yani wanacheza kimnato, ingawa muda bado,lakini inapaswa wabadilike sana hata kama mnafungwa mtu unasema ni mchezo lakini wanaume wamejituma
 
Watanzania tuendelee kuomba naona goli likifungwa na nurdin bakari/thomas ulimwengu dk ya 35-43 usiache kuomba chad nao watakuwa wamejizatiti na omben mabeki wasijishau sana sana
 
Mmmh wakuuu najaribu kupiga maombi hii fgr ya moja ifutike naona wapi mpaka dk ya 45 filimbi inalia tumelala moja bila anyaway nisiwakitishe tamaa naomba nisiendelee sana
 
Tusijipe moyo na chenga za wachezaji wetu la maana tuombe mungu wasitufunge dk kumi za mwanzo

Kwanini tumwombe mungu wakati wa mchezo,,walipaswa jana waache mazoezi na kwenda kanisani au misikitini.

Huyu mungu hawezi akawa upande wetu kila siku,, kwanza yuko bize.
 
Chad wanacheza kama wako nyumbani vile!!! Loh kweli ngombe wa maskini azai dk ya 36 kipindi cha pili
kama awatapewa penalti basi akuna dalili ya hata draw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom