Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....

Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....

Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu.Mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,akanisonya tena msonyo wa dharau sana na nikajuta kumgusa bega kwasababu ya kibao alichonipiga.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu,wala sikuizima.

Nafika town simu hiyo ikaita nikapokea kwa shauku ya kujua nani,haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji.

Mimi; Hallo habari yako
Yeye; Nzuri
Mimi; nani wewe
Yeye; Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
Mimi; Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao Pale stand ya ubungo leo na ukanisonya
Yeye; Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane
Mimi; Nitakwambia baadaye (nikakata simu na kuzima)

Swali nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake?

Mkuu bila iana nawe akija mzabe kibao cha ukweli tena umsonye ndo umpe simu yake, hapo ni jino kwa jino kaka
 
Story ya uongo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
msamehe 7x70 kwani ameshajifunza hapo alipo
ana la kusema cha kufanya wewe uonane naye kisha
mkabidhi hiyo simu ila lazima akulipe kwa yale makofi aliyokupiga

Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu.Mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,akanisonya tena msonyo wa dharau sana na nikajuta kumgusa bega kwasababu ya kibao alichonipiga.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu,wala sikuizima.

Nafika town simu hiyo ikaita nikapokea kwa shauku ya kujua nani,haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji.

Mimi; Hallo habari yako
Yeye; Nzuri
Mimi; nani wewe
Yeye; Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
Mimi; Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao Pale stand ya ubungo leo na ukanisonya
Yeye; Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane
Mimi; Nitakwambia baadaye (nikakata simu na kuzima)

Swali nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake?
 
ustaarabu kitu cha muhimu sana
pole kaka kwa yaliyokukuta..ila tu usithubutu kukutana nae ukiwa peke yako
 
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu.Mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,akanisonya tena msonyo wa dharau sana na nikajuta kumgusa bega kwasababu ya kibao alichonipiga.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu,wala sikuizima.

Nafika town simu hiyo ikaita nikapokea kwa shauku ya kujua nani,haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji.

Mimi; Hallo habari yako
Yeye; Nzuri
Mimi; nani wewe
Yeye; Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
Mimi; Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao Pale stand ya ubungo leo na ukanisonya
Yeye; Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane
Mimi; Nitakwambia baadaye (nikakata simu na kuzima)

Swali nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake?

usibadilishe line ukaweka yako hapo utanaswa, as long as umeokota na unataka kumfundisha mtu adabu, itupilie mbali...au uza spea za simu ful stop. atajifunza next time.
 
Ainunue km alivyoinunua mara ya kwanza hataki basi achana nae ila km ni smart phone zima tupa lain weka stoo usiitumie

mkuu hizi smart phone zina tracking system usije kuchuma janga,mpe tu simu yake Mwache na ujinga wake!!

una akili na hekima mno mkuu...huu ndio ushauri wa kuufuata wewe mtoa mada....

ukiformat au ukiflash simu inakuwa nyuu na application zote kutrack alizo install zinaondoka.
 
Ingekua mimi ningeitumbukiza chooni!
Kwanza ningemtext ninachotaka kufanya kisha nikasubir majibu yake halafu nitaitupa chooni!
 
Hahahahaaaa..... mbavu zangu nyie....Mawani ya Kagame, yupi na yepi?

m_Ivan-kagame-Paul-kagame-ange-kagame.jpg

Ushauri maridhawa. Kibinti hakichelewi kuja na polisi kikakubambika kesi ya wizi. Videmu vingine vina laana kama mawani ya Kagame.
 
1.Inatufundisha tusiwe na dharau kwa watu tusiowajua
2.Hasira hasara

Kusema ukweli wakina dada wengi ndivyo walivyo, unaweza kumuita kwa faida yake tena ukaanza na samahani, yeye hataki kugeuka anahisi anataka kutongozwa tu
 
Kwa kweli sisi akina dada tumevuka mipaka, huu usawa tulioomba umeingia katika mipaka ya wengine.

Kuhusu simu, kwanza nikupe pole sana kwa yaliyokukuta, nia yako ilikuwa ni kutaka kumjulisha juu ya simu yake lakini ukaambulia kupigwa kofi na kudhalilishwa kwa kusonywa. Ili asije rudia tena kwa jambo lolote hiyo simu ni halali yako kibao kimelipia thamani yake, utu wako ni mkuu kuliko rundo la fedha.
Big up
 
Hahahahaaaa..... mbavu zangu nyie....Mawani ya Kagame, yupi na yepi?

m_Ivan-kagame-Paul-kagame-ange-kagame.jpg

Fundi mchundo, kuna binti anakuzimikia. Fuatilia thread ya Ungependa kutoka na nani JF page ya mwisho, kama thread haijatembea sana. Kakutaja kimtindo nlivomwendea PM akanambia asee. Umedondokewa mjukuu wa Sambayuka. Kazi ni kwako.
 
kama hii stori haikuchomolewa mwanza buzuruga , basi iyo simu usimrudishie, kama una simu chukua iyo simu peleka kanisani au msikitini ukute ni Mungu sio ya uyo dada!
Alaf mtu akishakufanyia dharau ivo tayari na wewe unapaswa kumdharau ili mwende sawa! Natumai apo ubungo watu walikuona kenge baada ya kupigwa kibao, na wewe ione iyo simu kama ya kenge itoe sadaka au ipasue tu.
Kwa wadada wazuri na wenye hekima ilibidi akusikilize then ndo atoe jibu, kama unamtongoza ndo akushangae au akubali, na je kama ulikuwa unaomba lift?kafanya utu?je kama ulikuwa haujala siku tatu na ndo ukamwona mwokozi wako?anaishia kukusonya? Mabinti wengi wa mjini ni wahu-ni ndo maana ukimwita hata kama unaulizia njia, yeye au kama nakuona unafaa anaanza kutabasamu, kama hajakupenda anatoa sura mbaya...mkuu , potezea uyo kiumbe akatafuta nyingine!
 
wakuu mnadanganyana eti smartphone ina tracking system ivo asiitumie, acheni wehu, track records zinawekwa na user na zinaondolwea na any user...kama mna woga niuzie mm nione atatrack vipi...nitaondoa details zake zoote labda awaambie watengenezaji wa iyo simu kuwa kila nikiweka data nyingine ikatae.
Wajanja wanaua mpaka details za simu itakuwa track records?ilete!
 
Back
Top Bottom