Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....

Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....

yaani nyie wote mntaka jino kwa jino!!hamna hata mkristo anayejua kusamehe kati yenu!!wengine eti mle kabang!!
We ndio umenena, sio kidini tu hata katika mazingira ya kawaida tu kama mtu amekukuta sehemu akakufanyia dharau ya kukushusha, dawa yake akiingia kwenye anga zako na kukuta sivyo kama alivyokufikiria ni kumchukulia poa kwani itamrekebisha na hawezi kurudia kumfanyia mtu mwingine
 
hivi jamani binadamu wengine...who do they think they are?

Binadamu!!
Mwambie mtu straight umeangusha simu dada,sio unamshika bega anageuka unaanza kukenua! Kibao lazima kikuhusu.
 
Nia yako kaka ilikuwa nzuri kabisa ulipomshitua.

Lakini tuangalie na upande wa pili wa shilingi. Wasichana/wanawake mara nyingi huashiriwa (kwa kuguswa kupigiwa miluzi, na kufanyiwa vitendo vingine vya unyanyasaji wa kijinsia) na kukerwa. Labda katika 10 wanaowaashiria ni moja tu mwenye nia nzuri kama wewe.

Hivyo reaction ya huyo dada si ya ajabu sana. Kamilisha nia yako nzuri ya awali umpe simu yake.
 
Mkuu nitapingana na hoja yako, uchomaanisha ndio kile tunaita" steriotypes" yaani kwa kuwa huyo dada aliwahi kuguswa na akatongozwa basi kila anaye mgusa anadhani ana nia ya kumtongoza! Hii si sahihi na usije kuwa mhanga wa hilo,
Halafu nikwambie kitu.. , kuna wadada by default ni wakorofi tu, mfano jana nilisafiri siti moja na dada mmoja kibri sana ,mimi nilikaa dirishani yeye kwenye aisle ,sikuwa na maongezi naye zaidi ya salamu wakati anaingia niliyomsalimia na hakujibu, sasa wakati natoka kuelekea maliwatoni nikamgusa kwa bahati mbaya , reaction yake alinipush kwa nguvu kama vile tuna ugomvi fulani, mind you ,hanijui simjui tumekutana safarini tu, kimbembe baada ya kutua yeye ana conect kuelekea durban hafu hajui utaratibu. mimi ndo nimeshafika destination yangu, nikamkuta nje ameduwaa, akanifuata kiaibu aibu na kuniuliza "eti anko domestic check in counters zipo wapi mi naelekea durban", kwa jinsi alivo behave kutoka dar, sikumjibu chochote .
 
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu.Mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,akanisonya tena msonyo wa dharau sana na nikajuta kumgusa bega kwasababu ya kibao alichonipiga.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu,wala sikuizima.

Nafika town simu hiyo ikaita nikapokea kwa shauku ya kujua nani,haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji.

Mimi; Hallo habari yako
Yeye; Nzuri
Mimi; nani wewe
Yeye; Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
Mimi; Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao Pale stand ya ubungo leo na ukanisonya
Yeye; Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane
Mimi; Nitakwambia baadaye (nikakata simu na kuzima)

Swali nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake?

uongo tena uongo,,, japo kuna funzo ndani yake but hii stor ni ya kutunga na ipo mda mrefu hasa facebook na pia jukwaa la MMU ni kama ilikuwepo.
 
[Hata mimi nashangaa, amepost saa 6.58am, hayo yote hadi anafika mjini yametokea saa ngapi?]
alipofika ofisini ndo akaandika, kuwa muelewa

Sasa shaka hapa inatoka wapi? Kwani unajua ofisi ya huyu jamaa iko wapi? Halafu kumbuka kuwa inawezekana alikuwa anaondoka baada ya kumsindikiza mtu. Na mabasi huwa yana anza kuondoka ubungo saa 6:00
Inawezekana kabisa hilo kufanyika.
 
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu.Mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,akanisonya tena msonyo wa dharau sana na nikajuta kumgusa bega kwasababu ya kibao alichonipiga.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu,wala sikuizima.

Nafika town simu hiyo ikaita nikapokea kwa shauku ya kujua nani,haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji.

Mimi; Hallo habari yako
Yeye; Nzuri
Mimi; nani wewe
Yeye; Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
Mimi; Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao Pale stand ya ubungo leo na ukanisonya
Yeye; Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane
Mimi; Nitakwambia baadaye (nikakata simu na kuzima)

Swali nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake?
Muite ili akija akulegeze kwa ahadi ya kumgegeda ili umpe simu!
 
kichaa huwa haponi, sana sana atatulia tu, lakini mwezi ukiwa mchanga ataanza tena, hiyo ni tabia yako, chomoa line weka sokoni, mpe ndugu yako ambaye hana simu kama huna shida nayo au peleka sokoni ukapate za kwendea kwenye kiti kirefu

Ja ha ha ha ha poa mzanzibar.
 
Mkuu bampami, tena mpe simu yake kwa roho nyeupe, tena akifika ofisini kwako au mahali mtakapoahidiana, akishafika unamkabidhi halafu hakuna kuongea naye neno hata moja!!! Itamuuma maisha yake yote kwa kuwa na domo kaya kama sinia. Wanasema mdomo uchome kwa chakula si maneno wala matusi. Aibu yake, unasonya mtu mzima?? Hana malezi kabisa huyu.

Zongwale nimekusoma kiongozi....
 
ulitaka kitendo chake cha kudondosha simu kiwe mtaji wa kujenga mahusiano pale ulipomgusa bega kaka!
Sio vizuri. Esabu tuu kwamba yamekukuta.
 
Muite mlale kwanza ndio umpe sm *****

Mkuu hisia kwa mwanamke au hata kwa mwanaume ni lazima zimabatane na kuelewana, wewe mtu ameshakusonya na kukutukana hizo hisia za kula mbunye yake zitatoka wapi? Si ukikumbuka katikati ya mechi mzee atazimika tu. Mapenzi ni hisia za ukweli kama unataka kufaidi na si kumaliza haja zako.
 
mdada kapoteza simu tu anasumbua hvyo, last week nimepoteza MH370 ila nipo kimya....
Nikigoogle MH370 result napata ''Still Missing''
 
Back
Top Bottom