BRAVO 2 ZERO
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,213
- 1,278
mkuu hizi smart phone zina tracking system usije kuchuma janga,mpe tu simu yake Mwache na ujinga wake!!
Usitishike wewe tanzania sio ulaya.uza kimoja kimoja kama vipi ila usirudishe
mkuu hizi smart phone zina tracking system usije kuchuma janga,mpe tu simu yake Mwache na ujinga wake!!
Wanadamu ni wasahalifu sana wa wema.she needs equal reaction to learn.Msamehe bure na mrudishie bila sharti lolote. Kama ni mwelewa atajuta kwa alilokufanyia na inaweza ikampa somo la maana sana maishani mwake.
mkuu hizi smart phone zina tracking system usije kuchuma janga,mpe tu simu yake Mwache na ujinga wake!!
Labda ndio mwenye simu, anajaribu kuweka mkwara!mkuu hizi smart phone zina tracking system usije kuchuma janga,mpe tu simu yake Mwache na ujinga wake!!Kwani amekwambia ni smart phone?
Usimrudishie simu chomoa line mpe housegirl simu au mdogo wako.Wanadharau sana hawa watu haswa akishakua na kigariLeo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo;
mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari
kake akadondosha simu;
mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,ak
anisonya tena msonyo wa dharau sana na
nikajuta kumgusa bega ka sababu ya kibao
alichonipiga.
Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu
nakuondoka zangu;
wala sikuizima.
Nafika town simu hiyo ikaita
nikapokea kwa shauku ya kujua nani....
haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji..
mimi;Hallo habari yako...
yeye;Nzuri;
mimi;nani wewe ...
yeye;Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
mimi;Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao
pale stand ya ubungo leo na ukanisonya ....
yeye;Basi kaka nisamehe naomba unambie
ulipo nije tuelewane ....
Mimi;Nitakwambia baadaye ..
(nikakata simu na kuzima)
Swali nimwambie napatikana wapi au
nimpotezee ili liwe fundisho kwake?
Usimrudishie simu chomoa line mpe housegirl simu au mdogo wako.Wanadharau sana hawa watu haswa akishakua na kigari
Wanadamu ni wasahalifu sana wa wema.she needs equal reaction to learn.
Ukimrejeshea hatojifunza na kumkaa akilini.adhabu ni funzo kulingana na tabia ya mtu mwenye dharau kama huyo dada
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo;