Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....

Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu.Mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,akanisonya tena msonyo wa dharau sana na nikajuta kumgusa bega kwasababu ya kibao alichonipiga.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu,wala sikuizima.

Nafika town simu hiyo ikaita nikapokea kwa shauku ya kujua nani,haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji.

Mimi; Hallo habari yako
Yeye; Nzuri
Mimi; nani wewe
Yeye; Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
Mimi; Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao Pale stand ya ubungo leo na ukanisonya
Yeye; Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane
Mimi; Nitakwambia baadaye (nikakata simu na kuzima)

Swali nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake?

shigingo type
 
hiyo laini ina mpesa au tigo pesa na simbanking? kama ipo ni pm nikupe mchakato wa kufyonza hela yote kwene hizo akaunti zake ajifunze mwanamke gani mpuuzi namna hii
 
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu.Mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,akanisonya tena msonyo wa dharau sana na nikajuta kumgusa bega kwasababu ya kibao alichonipiga.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu,wala sikuizima.

Nafika town simu hiyo ikaita nikapokea kwa shauku ya kujua nani,haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji.

Mimi; Hallo habari yako
Yeye; Nzuri
Mimi; nani wewe
Yeye; Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
Mimi; Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao Pale stand ya ubungo leo na ukanisonya
Yeye; Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane
Mimi; Nitakwambia baadaye (nikakata simu na kuzima)

Swali nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake?

Kaiuze ukatoe Sadaka kwa kuchapwa kibao,hawa madada wakiishapata vigari vyao basi wanajiona wao ndio wao.
Hata ukimpa siku ya pili atafanya hivyohivyo kwa mwingine.Hiyo ni tabia na haiwezi kuwa fundisho hata ukimrejeshea.
Ila kama ukiisepisha basi atatia akili atajua kwamba binadam wote ni sawa.

Na inaonekana mshenzi huyo,ukijirengesha tu kumrejeshea sim tu basi ujue umekwisha,anaweza kukuchomea kwa Polisi umemuibia au kumkaba,na hapo kwa vile anavijisenti na ni mwanamke atakupoteza jela.
Usimpe hata Line,ili ajue Dunia shule.

Wala usitishwe kwamba kuna tracking sytem,hapa ndio Bongo inaflashiwa system nzima,na inasetiwa upya.
Tracking sytem hata sim maarufu za tochi zinazo,sio lazima smart phone,mbona zinaibiwa hovyo na hakamatwi mtu
Kila siku magari yanatekwa na sim zinaibiwa,kwanini Jeshi la polisi na mitambo yao ya kisasa wasikamati hizo smart phones.
Hii ni ile akili ya zamani(80s) eti ukiwa na Computer basi unaweza kumgeuza mtu nyani au ukitaka pesa unabonyeza zinatoka tu,full kutumia.
 
Mi nadhani utafute shahidi, mweleze mkasa kabla ya kumweleza ulipo ili asije akakugeuzia kibao ukaitwa mwizi. Sehemu nzuri ni kituo cha polisi au kwa mtendaji. Otherwise, tafuta sehemu ya wazi, weka simu kaa pembeni kidogo, mwambie aende akaichukue simu yake wewe ukiwa mbali huku ukimwambia unaogopa kusonywa.
 
mwambie upo dodoma so akutumie nauli na vocha. akituma umwambie umepata dharula na pesa umeitumia. akituma nyingind mzuge umepanda basi na akusubiri ubungo, mida fulani mwambie umekwama moro na huwezi kufika dar so akufuate. akisafiri mpk moro mwambie ulipata rifti na sasa upo dar halafu kiroho safi mpe simu yake...atajifunza kitu
 
mkuu hizi smart phone zina tracking system usije kuchuma janga,mpe tu simu yake Mwache na ujinga wake!!

Ampe ila amwambie live kuwa tabia yake chafu na siku moja itamsababishia madhara makubwa kiliko kupoteza sim
 
The same story kutoka sports extra clouds fm FB fan page natumaini ni same person too alieleta hapa very interesting.
 
nenda police karipot tukio zima,then mpigie umwambie ulipo ili aje umpatie cm yake kituoni,huyo ni malaya asije kukujazia watu,usimpe mtaani.
 
akukupe mzigo ndipo umpe maana tumechoka sasa!
ila usije ukaweka humo line yako na usiiuze Tanzania.....onyo!
 
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu.Mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,akanisonya tena msonyo wa dharau sana na nikajuta kumgusa bega kwasababu ya kibao alichonipiga.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu,wala sikuizima.

Nafika town simu hiyo ikaita nikapokea kwa shauku ya kujua nani,haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji.

Mimi; Hallo habari yako
Yeye; Nzuri
Mimi; nani wewe
Yeye; Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
Mimi; Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao Pale stand ya ubungo leo na ukanisonya
Yeye; Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane
Mimi; Nitakwambia baadaye (nikakata simu na kuzima)

Swali nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake?

wakati unamuita alikuwa umbali gani?
 
Kwa kweli sisi akina dada tumevuka mipaka, huu usawa tulioomba umeingia katika mipaka ya wengine.

Kuhusu simu, kwanza nikupe pole sana kwa yaliyokukuta, nia yako ilikuwa ni kutaka kumjulisha juu ya simu yake lakini ukaambulia kupigwa kofi na kudhalilishwa kwa kusonywa. Ili asije rudia tena kwa jambo lolote hiyo simu ni halali yako kibao kimelipia thamani yake, utu wako ni mkuu kuliko rundo la fedha.
 
Back
Top Bottom