Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....

Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....

.............mpaka muda huu fundisho ameishalipata; mwambie uliko ili aje achukue simu yake; bilashaka hawezi kurudia kufanya kama alivyokufanyia siku nyingine; kwa vile nayeye ameomba msamaha basi msamehe bure tu.
ila AKIJA KAMA ANAWEZA KUMUOMBA MECHI SIO MBAYA ANGALAO WAFUNGANE MAGOLI, tetetetetetetete.
 
mkuu upo mitaa gani mida hii tuje tufanye biashara!?
 
teh teh,alihisi wataka kumuapproach,..mpotezee liwe fundisho
 
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu.Mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,akanisonya tena msonyo wa dharau sana na nikajuta kumgusa bega kwasababu ya kibao alichonipiga.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu,wala sikuizima.


Nafika town simu hiyo ikaita nikapokea kwa shauku ya kujua nani,haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji.

Mimi; Hallo habari yako
Yeye; Nzuri
Mimi; nani wewe
Yeye; Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
Mimi; Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao Pale stand ya ubungo leo na ukanisonya
Yeye; Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane
Mimi; Nitakwambia baadaye (nikakata simu na kuzima)

Swali nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake?

Ukimrudishia bila masharti yoyote utakuwa jasiri na wakipekee kwake,tena shujaa kushinda kibasha labda kilicho muhonga ilogari na sim,kashajiona mjinga namba moja wala usihitaji msamaha wake muache kama alivyo na daharau zake..naamini ipo siku atakuja kukuta kwenye anga ambazo hakutegemea atakupigia magoti..Believe me haya huwa yanatokea sio ndoto sababu tunaishi kweney dunia ambayo maisha yake na umbolake vinafanana
 
Ushauri maridhawa. Kibinti hakichelewi kuja na polisi kikakubambika kesi ya wizi. Videmu vingine vina laana kama mawani ya Kagame.

atanikuta wapi mieee....
 
Mkuu.. Unajua hawa dada zetu akili zao ni zakuvukia barabara. They don't think what will the next after their quick decision they always make. Na ''nisamehe'' ndio silaha yao kuu inayowasaidia kutokana na jinsia yao. Angekuwa mwanaume wala hali isingefikia huko hakika nakwambia.
We mwelekeze, na kabla ya kumrudishia mwambie dada kwa ulilonifanyia ningekuwa mtu wa aina nyingine nisingekurudishia, chukua simu yako na uwe na hekima mbele za watu wa rika lote, mpe then achana nae, kama ataguswa na hilo na akaomba namba yako ya simu mpe. Naimani mtakuja kuwa marafiki wazuri na atajifunza mengi kupitia kwako over.
 
Mkuu bampami, hilo ndo tatizo la ndugu zetu hawa viumbe. They are very pessimistic, yaani hajui unamwitia nini lakini ukorofi tu. Mkuu usiizime manake ataripoti kampuni ya huo mtandao wake na watakublock na huo ndo utakuwa mwisho wako na yeye. Iache on na akipiga pokea, endelea kumpa ushauri kuhusu UTU na heshima kwa wote kama siku tatu then muelekeze aje umrudishie simu yake!
 
Last edited by a moderator:
Tehtehteh.....
Nimecheka hadi basi, duh kibao cha uso asubuhisubuhi, mpotezeee ili atie adabu


Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu.Mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,akanisonya tena msonyo wa dharau sana na nikajuta kumgusa bega kwasababu ya kibao alichonipiga.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu,wala sikuizima.


Nafika town simu hiyo ikaita nikapokea kwa shauku ya kujua nani,haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji.

Mimi; Hallo habari yako
Yeye; Nzuri
Mimi; nani wewe
Yeye; Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
Mimi; Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao Pale stand ya ubungo leo na ukanisonya
Yeye; Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane
Mimi; Nitakwambia baadaye (nikakata simu na kuzima)

Swali nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake?
 
Kama walivyosema wadau hapo juu.Mrudishie tu bila hata sharti,atajisikia aibu mwenyewe.
 
Ainunue km alivyoinunua mara ya kwanza hataki basi achana nae ila km ni smart phone zima tupa lain weka stoo usiitumie
 
Kama wewe ni mkristo zingatia maandiko yanasemaje. Usiue, Usiibe, Usizini na kadhalika. Tunafundishwa pia tusali Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe na kuna kipande kinasema Utusamehe makosa yetu, kama nasi tulivyo wasamehe wadeni wetu.

Ndugu mpigie simu, mrudishie simu yake. Ujitengenezee azina yako mbinguni.
 
Mkuu,hiyo simu usimrudishie mpaka uhakikishe umempatia kile ambacho alidhani kwa mawazo potofu kuwa unataka kutoka kwake,huyo lazima umle Mpododo ndio jeuri itamuisha huyo,nilishawahi kupatwa na mkasa kama huu Arusha,but mwishoni mimi nikawa mshindi kwa yule Mmanzi alieniletea jodo na kunidhalilisha huku nikiwa na lengo zuri la kumsaidia.
 
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu.Mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,akanisonya tena msonyo wa dharau sana na nikajuta kumgusa bega kwasababu ya kibao alichonipiga.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu,wala sikuizima.


Nafika town simu hiyo ikaita nikapokea kwa shauku ya kujua nani,haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji.

Mimi; Hallo habari yako
Yeye; Nzuri
Mimi; nani wewe
Yeye; Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
Mimi; Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao Pale stand ya ubungo leo na ukanisonya
Yeye; Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane
Mimi; Nitakwambia baadaye (nikakata simu na kuzima)

Swali nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake?

Tatizo lako kubwa ni exposure! Inaonekana mawazo yako bado ni ya kikalamba kalamba na yamefungiwa kwenye box fulani hivi. Dunia ya leo iliyojaa kila aina ya hila na inda umemzukia tu mtu kwa kushika bega eti unamwita umweleze umepoteza simu? Kwanini usitamke direct dada umeangusha simu ili aupate ujumbe. Kuna thread humu wanaelezea watu wanavyopuliziwa dawa za usingizi kwa kuitikia miito ya watu wasiowajua halafu wewe unaleta ukalamba wako hapa. Angalia kwenye nchi za watu utakuja kuishia sehemu mbaya sana...
 
Mnawezas kuanzisha mahusiano mazuri kam hajaolewa au wewe haujaoa...Ila mrudishie simu yake
 
Mkuu,hiyo simu usimrudishie mpaka uhakikishe umempatia kile ambacho alidhani kwa mawazo potofu kuwa unataka kutoka kwake,huyo lazima umle Mpododo ndio jeuri itamuisha huyo,nilishawahi kupatwa na mkasa kama huu Arusha,but mwishoni mimi nikawa mshindi kwa yule Mmanzi alieniletea jodo na kunidhalilisha huku nikiwa na lengo zuri la kumsaidia.
mkuu jamaa asipo kuwa makini anaweza kuja na wajomba akampa kesi vilevile akamlagahi kua papucha atapewa akiingia kingi kaisha
 
Back
Top Bottom