swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,906
Hahahaha kama mawani ya kagame.hao ni mabinti gani mkuuHahahahaaaa..... mbavu zangu nyie....Mawani ya Kagame, yupi na yepi?
![]()
Hahahaha kama mawani ya kagame.hao ni mabinti gani mkuuHahahahaaaa..... mbavu zangu nyie....Mawani ya Kagame, yupi na yepi?
![]()
Zima. Chomoa line. Weka sokoni.
kaka hiyi chukua tu hamna zambi hapo...huyo sista ni --------...
Kwani ndugu yako huyo? Mjini hapa endelea na shughuli zako kama una ndugu yako hana simu nakushauri umpatie.
Ipige bei wewe ajifunze siku nyingine aache dharau. Chomoa line tupa kule.
Usitishike wewe tanzania sio ulaya.uza kimoja kimoja kama vipi ila usirudishe
Usimrudishie simu chomoa line mpe housegirl simu au mdogo wako.Wanadharau sana hawa watu haswa akishakua na kigari
Mpotezee na umtose mazima awe na adhabu siku nyingine anaitwa na watu
Sent from my iPhone using JamiiForums app
potezea bwana, ipige bei...tuambie ni simu aina gani, mi nitatoa offer..ni smartphone? cz nimetumia tochi hadi nimechoka, haifi!!
Mle kabang' mpaka utoke na tope kisha umpe simu yake.
Dharau, uza
mrudishie kwa sharti la kumpiga kibao kwenye kalio
yaani nyie wote mntaka jino kwa jino!!hamna hata mkristo anayejua kusamehe kati yenu!!wengine eti mle kabang!!Chukua wewe acha ubwege
ndo maana mm huwa sipiti ubungo plaza!me simlaumu huyo dada dunia ya leo IMEHARIBIKA sana WABAYA ni wengi kuliko WEMA, ukijifanya wakusikiliza kila anaekuita huko barabarani yatakukuta makubwa, nahisi hata mm ninge react vibaya japo nisingeweza kukufyonya na kukupiga ila tu nisingegeuka wala kutaka kukusiliza ningeingia tu kwenye gari langu na kuondoka, manake sasahivi hata kumsaidia mwenye shinda imekuwa ngumu sababu wenye shida na matapeli wote wanafanana huwezi kujua yupi ni yupi
ndo maana mm huwa sipiti ubungo plaza!
Kwani ubungo plaza kuna nn?
watu wasio na huruma!!we unaona kuchapwa kibao ni kazi ndogo!!Kwani ubungo plaza kuna nn?
watu wasio na huruma!!we unaona kuchapwa kibao ni kazi ndogo!!Hata mimi ningependa kupata majibu ya swali hili
watu wasio na huruma!!we unaona kuchapwa kibao ni kazi ndogo!!
mkuu tutachakachua uzi wa mshikaji!nitakupandia pm!mkuu hebu ongezea ufafanuzi kidogo hapo
mbona hii stori iko kama ya mwanza buzuruga..
mkuu tutachakachua uzi wa mshikaji!nitakupandia pm!