Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....

Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....

Hujawajuwa wadada wa bongo hii kwa nyodo, hapa mjini kuna watu lakini VIATU ndo wengi. Mi sishangai, Tena kama sie wengine wenye sura ngumu yanatukuta mengi.

Haa haa Baba V usituchekeshe....inategemea lakini, kama muokota simu kamgusa pengine na si bega? Au labda alivyomgusa bega hicho anachokisema hata hakisikiki anakoroma chini chini...labda ndio maana huyo dada akamuona jamaa mzushi tu...
 
japo imekaa kistori zaidi lakini kuna fundisho
muungwana ni kitendo mrudishie bila gharama yoyote ataumia zaidi kuliko nawe ukilipiza kwa lolote
 
Kiongozi usimpe hiyo simu kwani haujaiba, ulikuwa na nia ya dhati ya kumpatia lakini ukaambulia makofi na mfyonzo, ukimrudishia hatajifunza na pia anaweza kusema wewe ni kibaka ulimwibia akaja na polisi. Tabia yake ni ya kiwendawazimu hivyo basi kama ni smartphone restore factory settings itumie kama mshahara wa kofi ulilopigwa kwa wema wako. How if dada yako au mzazi wako au mbebez wako angekuwa anapita aone unanaswa kibao. Si wasingekuelewa. Hiyo tumia, ili iwe fundisho kwake
 
"Elimu ya mjinga ni majungu bora kukosa mali upate akili kwani akili ndio kila kitu" hivyo huyo dada alikuwa ni mjinga sasa mjinga hana akili then njia bora ya mjinga ni kumpa kitu chake bila masharti yoyote
 
Madem mda mwingine wanazingua,tukikutana nao mtaani wananata,ila ukimkuta Kona bar ananyenyekea
 
Mpotezee Malaya huyo kwanza mpaka hapo Alisha kudhalilisha atatia adabu
 
Umesonywa, umelambwa kibao, umedharauliwa na watu wengine waliokuona, tena unatenga muda kumsubiri uje umpe simu halafu aishie kusema asante.
Hahaaaaaa kweli we mtu.
 
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo;
mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari
kake akadondosha simu;
mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,ak
anisonya tena msonyo wa dharau sana na
nikajuta kumgusa bega ka sababu ya kibao
alichonipiga.
Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu
nakuondoka zangu;
wala sikuizima.


Nafika town simu hiyo ikaita
nikapokea kwa shauku ya kujua nani....
haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji..

mimi;Hallo habari yako...
yeye;Nzuri;
mimi;nani wewe ...
yeye;Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
mimi;Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao
pale stand ya ubungo leo na ukanisonya ....
yeye;Basi kaka nisamehe naomba unambie
ulipo nije tuelewane ....

Mimi;Nitakwambia baadaye ..
(nikakata simu na kuzima)
Swali nimwambie napatikana wapi au
nimpotezee ili liwe fundisho kwake?

...Mkuu usitegemee atakuja peke yake huenda atakuja na polisi + baunsa !!! wewe tupa chooni hiyo simu ila kama unajiamini msubiri na umpatie simu yake.....

Tafakari !!!!!
 
Umesonywa, umelambwa kibao, umedharauliwa na watu wengine waliokuona, tena unatenga muda kumsubiri uje umpe simu halafu aishie kusema asante.
Hahaaaaaa kweli we mtu.

...ha ha ha ha then anakuja na polisi na kukugeuzia kibao !!!!
 
...ha ha ha ha then anakuja na polisi na kukugeuzia kibao !!!!

Watu wengine wanashangaza kweli. Yeye kakosa ustarabu toka anapoteza simu huyo mwanamke. Unadhani huo ustaarabu anautoa wapi tena.
 
Huo ni wakati muafaka wa kumjua huyo mwanamke aliyekupiga kibao,mwache kidogo kama siku mbili au tatu hivi bila kumrudishia simu na usiiwashe kwa kipindi chote hicho,nadhani itakuwa adhabu tosha kwake.
Jitahidi usiichungulie simu yake maana utakayokutana nayo humo ni balaa tupu na hutoweza kuamini.
 
Watu wengine wanashangaza kweli. Yeye kakosa ustarabu toka anapoteza simu huyo mwanamke. Unadhani huo ustaarabu anautoa wapi tena.

...True Mkuu yalishanikuta kama haya !!!!

lazima ujiandae kupata matokeo aina mbili kama ukiweka uungwana.....
 
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo;
mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari
kake akadondosha simu;
mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,ak
anisonya tena msonyo wa dharau sana na
nikajuta kumgusa bega ka sababu ya kibao
alichonipiga.
Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu
nakuondoka zangu;
wala sikuizima.


Nafika town simu hiyo ikaita
nikapokea kwa shauku ya kujua nani....
haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji..

mimi;Hallo habari yako...
yeye;Nzuri;
mimi;nani wewe ...
yeye;Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
mimi;Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao
pale stand ya ubungo leo na ukanisonya ....
yeye;Basi kaka nisamehe naomba unambie
ulipo nije tuelewane ....

Mimi;Nitakwambia baadaye ..
(nikakata simu na kuzima)
Swali nimwambie napatikana wapi au
nimpotezee ili liwe fundisho kwake?

Kijana, kwanza hongera sana kwa hekma uliyoonyesha. sasa wewe iwashe akikupigia mwambie ulipo umpe ila kabla hujampatia mwashe kibao kitakatifu kisha msonye. Nadhani utakuwa umetimiza wajibu kijana
 
Maranyingi hizo ndio tabia za hawa dada zetu sijui wakoje? Yani inasikitisha sana sas fanya hivi fanya nae mawasiliano kwa text ili kujiwekea ushahid tena tumia cm yako dhen akija kuchukua kua mjanja hakikisha ww unatangulia kumuona kabla ya yy ili kujiridhisha kama kunausarama au laa ndipo ujitokeze.
 
Back
Top Bottom